Kibanga Ampiga Mkoloni
JF-Expert Member
- Aug 9, 2007
- 19,079
- 9,245
Hahahaaaaa! wakati wa uchaguzi ni chama gani kinakuwa kimeshikilia serikali?
na jeshi linapaswa kulinda maslahi ya chama au nchi?
kwani kama vyama vimetofautiana juu ya matokea ya uchaguzi nini jukumu la Jeshi?
nafikiri Jeshi linapaswa kulinda usalama wa nchi mpaka suluhu ya nani mshindi wa halali ipatikane!
CCM pengine ni nafasi nyingine ya kumvua Kamanda Lema ubunge kwa kulitumia jeshi vibaya, hahahaa, wanasubiri nini??
NB. Mioyo ya watanzania imevunjwa vya kutosha na magamba sasa tunasema basi..tunataka mioyo yetu ipone 2015!
[Mgawe alisema: Ebwa ehh! Na wewe sasa unataka kuniingiza kwenye siasa, mimi sitaki kuingia huko, lakini nikueleze kuwa sisi kama wanajeshi tuko royal (utii) kwa Serikali iliyoko madarakani, alisema Mgawe.]
Hujui unachoakiongea!!!
Jifunze tofauti kati ya mwanajeshi na mwanajeshi mstaafu. Pia jifunze kuongea mambo kwa evidence...
Akijibu hoja za Chadema kuhusiana na tamko lilitolewa na aliyekuwa Mnadhimu wa jeshi hilo Shimbo aliyewataka wanasiasa kutogomea matokeo wakati wa Uchaguzi Mkuu uliopita, Mgawe alisema: Ebwa ehh! Na wewe sasa unataka kuniingiza kwenye siasa, mimi sitaki kuingia huko, lakini nikueleze kuwa sisi kama wanajeshi tuko royal (utii) kwa Serikali iliyoko madarakani, alisema Mgawe.
...Akijibu hoja za Chadema kuhusiana na tamko lilitolewa na aliyekuwa Mnadhimu wa jeshi hilo Shimbo aliyewataka wanasiasa kutogomea matokeo wakati wa Uchaguzi Mkuu uliopita, Mgawe alisema: Ebwa ehh! Na wewe sasa unataka kuniingiza kwenye siasa, mimi sitaki kuingia huko, lakini nikueleze kuwa sisi kama wanajeshi tuko royal (utii) kwa Serikali iliyoko madarakani, alisema Mgawe.
Mgawe alisema: "Ebwa ehh! Na wewe sasa unataka kuniingiza kwenye siasa, mimi sitaki kuingia huko, lakini nikueleze kuwa sisi kama wanajeshi tuko royal (utii) kwa Serikali iliyoko madarakani," alisema Mgawe.
Hujui unachoakiongea!!!
Jifunze tofauti kati ya mwanajeshi na mwanajeshi mstaafu. Pia jifunze kuongea mambo kwa evidence...
Mkuu zeMaracopolo
Ukiona mwenzio kapewa ukuu wa mkowa nawewe ndo umekalia kiti chake baada ya yeye kustaaafu na kuwa kada, je
hutashawishika kutetea maslahi ya chama ili nawewe ujepewa ukuu wa mkoa hapo baadaye? imekaaje hii!!
Fuatilia Elimu ya Mnyika, utaelewa ni Kichwa hatari!Una uhakika na ulichokiandika hapo? Point tatu form six? Hamuogopi hata kudanganya?
Mnyika ana uwezo na ayafanyayo hata kama elimu yake sio kubwa. Ila hakuna haja ya kudanganya kuweka elimu au matokeo ambayo hana.
Ndomba alipokuwa Mkuu wa Mkoa alikuwa amestaafu sio? Na Mkuu wa Mkoa ni mjumbe wa kamati ya mkoa ya CCM! Sasa hivi Ndomba ni nani jeshini!? Ndio maana Mboma na Mahita walipostaafu uCDF na uIGP wakaenda kugombea ubunge kupitia CCM, na Tubaigana pia!
Hivi mnyika ameishia darasa la ngapi hasa kielimu?shimbo alivitaka vyama vya siasa visigomee matokeo yatalapotangazwa akimaanisha vyama vyote ikiwemo ccm,sasa mnyika alijuaje kwamba ccm ndio watashinda hivyo ushauri wa jeshi unakilenga chadema na cuf tu?halafu mkiambiwa mna miliki kadi mbili mbili mnatoa povu,unaingia kwenye uchaguzi ukijua unaenda kushindwa si bora usishiriki basi