CHADEMA yaibwaga CCM Arumeru Mashariki; CCM Yakubali kushindwa (Zaidi ya kura 6,000)

Nataraji mpo macho. Naomba final results za uchaguzi wa Arumeru. Naendelea kufurahi na wanaCDM wote hadi kichwa kinauma. Peoplezzzzzzzzzzzzzzzzpaw.
 
Matokeo ya jumla
CHADEMA 32,535
CCM 26,296

Yamethibitishwa na Slaa,Zitto na Heche kwenye mitandao yao ya facebook na twitter..
 
Hivi hawa jamaa wa NEC hapo USA River wanajumlisha kwa kutumia visoda? Jimbo moja, vituo 327, inachukua over 8 hours kujumlisha (maana kura zilishahesabiwa)... Lubuva need to go too... this is beyond absurdity!

tatizo la NEC ni kusikiliza chama tawala kinataka iweje.
Ila hapa arumeru nguvu ya umma imeilemea dola, hawana jinsi watatangaza tu iwe isiwe.
 
Magamba mtajipanga mara chadema ikichukua nchi. Maana hamuishiwi na porojo,mara kilimo kwanza kiko wapi, mara walioiba fedha warudishe watasamehewa, mara sasa tunavua magamba nk. ngoja nguvu ya umma ishike hatamu. kushnei
 
Hivi hawa jamaa wa NEC hapo USA River wanajumlisha kwa kutumia visoda? Jimbo moja, vituo 327, inachukua over 8 hours kujumlisha (maana kura zilishahesabiwa)... Lubuva need to go too... this is beyond absurdity!

DU...umeniwahi mkuu,hapa nilikuwa najiuliza hawa jamaa vituo 4 tu muda wote huo?watufungie hesabu bwana tumuinue mshindi wetu juuu juuu....
 
Chadema tupo pamoja na 2015 safari ya ukombozi utakamilika rasmi, Viva Chadema!
 
Hivi hawa jamaa wa NEC hapo USA River wanajumlisha kwa kutumia visoda? Jimbo moja, vituo 327, inachukua over 8 hours kujumlisha (maana kura zilishahesabiwa)... Lubuva need to go too... this is beyond absurdity!

Kuna tukio linaandaliwa hapo......

Wamepoteana vibaya, amri za amri jeshi mkuu zimekwamishwa na WATU wa Arumeru.....

Dola inajibadili na kurudi kwenye umbo lake la "dudu mtu" tayari kuanza kunywa damu za WATU.....
 
umemaliza watatafutana ni nani mchawi na hawata mpata Kweli hii ni biashara haramu kwake imesha anza kumkata ila wana msumbua tu Rais wangu ilipaswa apumzike sasa

mkuu uchawi uliowaponza CCM ni yale matusi waliyokua wakiyatukana majukwaani tena mbaya zaidi Mwingilu akazidi kukiharibia chama chake kwa kusema eti wameru wanahitaji kusikia hayo matusi ya CCM that why wanatukana badala ya kutangaza sera.
Anko Ben hatomsahau vicent Nyerere kamwe.
 
Hata akiwawajibisha ukweli utabaki pale pale kwamba Watanzania tumeamka na tumeshachoshwa na siasa za ubabaishaji,kurithishana madaraka na kutishwa. Matokeo ya uchaguzi mdogo wa leo ni mvua za rasharasha na salam kwake na chama chake wajiandae kwa kwa mvua ya masika ya ushindi 2015,peoples power oyeeee!!!
 
Hao returning officers wanatembea kwa miguu mbona hawafiki makao makuu hadi sasa? Nadhani hata tukiwapa ccm hivyo vituo vinne vyote bado ushindi upo
 
Back
Top Bottom