CHADEMA yaibwaga CCM Arumeru Mashariki; CCM Yakubali kushindwa (Zaidi ya kura 6,000)

Wakuu, mpaka sasa tumebakiza kukusanya matokeo ya vituo vinne tu, narudi vituo si kata, vituo vya kupigia kura katika kata nne tofauti. Matokeo mpaka sasa yanasomeka hivi;

CHADEMA 32, 535
CCM 26, 296
AFP 131
DP 72
NRA 32
SAU 22
TLP 16
UPDP 22

Naomba kuwasilisha wakubwa. Asanteni. Tusichoke kusubiri ushindi.
 
Tulianza na mungu na tumemaliza na mungu.
CHADEMA 4 life
movement 4 changes
peoples.........power \/
 
Wilbrod Slaa


Confirmed. Tumeshinda udiwani Kirumba, Lizaboni na Kiwira na tunaongoza Arumeru. We shall overcome.

app_2_2231777543_7567.gif
Like · · @wilbrodslaa on Twitter · 12 minutes ago via Twitter · Wilbrod Slaa
Confirmed. Tumeshinda udiwani Kirumba, Lizaboni na Kiwira na tunaongoza Arumeru. We shall overcom


[h=6]Zitto Kabwe
[/h][h=6]CHADEMA imeshinda kwa tofauti ya kura 6000. Joshua Nassari Mbunge wa 49 wa CHADEMA.[/h]
 
Kama CHADEMA itashinda ni uamuzi wa system ili kuendeleza stability ya kisiasa lakini si kuwa ni washindi wa kweli.

Wakishinda watafanya nini zaidi?
 
Its been a long day for me, i was so anxious toka jana i have'nt eaten properly sababu ya anxiety, nimeinuka now i felt how weak my body is , yote hii is because naipenda CHADEMA, its in my veins, why? Sio sababu ya ushabiki but ni sababu ya UKOMBOZI, leo in my 27 yrs hapa duniani i can proudly say mimi ni MTANGANYIKA/TZ mimi ni CHADEMA mimi ni sehemu ya UKOMBOZI
VIVA CHADEMA!
 
Back
Top Bottom