CHADEMA yaibomoa CCM Singida chini ya Nyalandu

Chadema imo mioyoni mwa Watanzania pamoja na uhuni na unduli wa mwendawazimu wa Ikulu bado Chadema kinapendwa SANAAAA kila kona nchini.

 
CCM imebaki kuwa chama dola tu!!

Na hii yote ni kutokana na raia wengi kutokuwa na uelewa wa wa mambo mengi na ndio mtaji wao, wakati wa kura za maoni kuhusu vyama vingi, wananchi wengi walikataa ila matakwa ya kidunia yakatulazimisha, CCM bado ni dhahiri wanamapungufu mengi kwa kuwa ni one man show party
 
Chadema imo mioyoni mwa Watanzania pamoja na uhuni na unduli wa mwendawazimu wa Ikulu bado Chadema kinapendwa SANAAAA kila kona nchini.
Sio upinzani inaitwa vyama mbadala na itikadi ya vyama mbadala ni itikadi na imani thabiti moyoni sio mamilioni ya kadi za watu unaomiliki, mfano tu Azam na utajiri wao wote wameshindwa kuzipiku watoto wa kariakoo, timu za kariakoo zina watu wengi ambao wana imani thabiti juu yao,CCM inasifa za kuwa na dola tu ila siasa mmh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…