Nyamaza huna akili mshipa wa ngiri wewe!Chadema wakiibomoa ccm huoni ccm wakilialia sasa ccm iibomoe chadema hivyo vilio sasa
Wakati wana ccm wakijidanganya kuwa cdm inakufa,
Mambo ni kinyume mkoani singida ambapo mh Nyarandu anazidi kuzoa wana ccm na kujiunga na cdm kila uchao.
Pongezi ziwafikie wana cdm popote pale walipo kwa juhudi za kukijenga chama.View attachment 1151328View attachment 1151329
CCM imebaki kuwa chama dola tu!!
Sio upinzani inaitwa vyama mbadala na itikadi ya vyama mbadala ni itikadi na imani thabiti moyoni sio mamilioni ya kadi za watu unaomiliki, mfano tu Azam na utajiri wao wote wameshindwa kuzipiku watoto wa kariakoo, timu za kariakoo zina watu wengi ambao wana imani thabiti juu yao,CCM inasifa za kuwa na dola tu ila siasa mmhChadema imo mioyoni mwa Watanzania pamoja na uhuni na unduli wa mwendawazimu wa Ikulu bado Chadema kinapendwa SANAAAA kila kona nchini.
Labda wenye mshipa ndiyo wanalia lia
Majibu ya ufika kama kawaida yenu hamnaga hojaNyamaza huna akili mshipa wa ngiri wewe!
Songa mbele NyalanduWakati wana ccm wakijidanganya kuwa cdm inakufa,
Mambo ni kinyume mkoani singida ambapo mh Nyarandu anazidi kuzoa wana ccm na kujiunga na cdm kila uchao.
Pongezi ziwafikie wana cdm popote pale walipo kwa juhudi za kukijenga chama.View attachment 1151328View attachment 1151329
Mungu ibariki ChademaChadema imo mioyoni mwa Watanzania pamoja na uhuni na unduli wa mwendawazimu wa Ikulu bado Chadema kinapendwa SANAAAA kila kona nchini.