CHADEMA yafunika Mang'ula kwa mkutano wa kihistoria

CHADEMA yafunika Mang'ula kwa mkutano wa kihistoria

Kamanda Mtoi hapo Mangula kuna kashfa ya ..Mbunge Rwakatare Getrude kuuziwa Kiwanda kikubwa kabisa cha MITAMBO ..cha Mangula ( inadaiwa hata deni manunuzi la PSRC hakulipa ) ..Badala yake ameingoa MITAMBO yote ambayo ni mizuri na kwenda kuipima scrapper nje ya Nchi ....wiziiii
Hichi ni Kiwanda mama kabisa ..kilichokuwa na lengo la kuchonga mitambo ya viwanda vingine nchini na kusaidiana na kile cha Kilimanjaro Machine Tools ambacho kilikuwa na lengo la Kuchonga spares ...yaani unapeleka sample tu wanafytuaa

Mkuu.

Tulilifanyia utafiti wa haraka na namna lilivyo waathiri wananchi. Tumelichukua kama kwa hatua za mbeleni lakini pia litakuwa miongoni mwa hoja kwenye mikutano ya leo pale kijiji cha Ruaha na mikumi centre kabla hatuja hitimisha Morogoro mjini.

Asante kwa kufuatilia na kuguswa na swala hili la kifisadi na kutojali maslahi ya nchi.

Haiwezekani kiwanda kiuuzwe kwa sh 600M halafu srepa pekee ziuzwe nje kwa kiasi cha 800M achilia mbali athari za moja kwa moja kwa wananchi hao kwa maana ya ajira na multiplier effects kwa eneo husika.
 
Leo mwenyekiti Taifa amefanya mikutano mitano kwenye majimbo matatu ya Ulanga Magharibi, Ulanga Mashariki na Kilombero.

Mikutano yote ilikuwa mikubwa sana na yenye hamasa kubwa huku wenyeviti saba wa CCM wa vijiji kwenye jimbo la Ulanga Mashariki wakirudisha kadi za CCM na kujiunga na CHADEMA na kuahidi kuongeza nguvu zaidi kwenye Operation Delete CCM ambapo watasaidia wagombea watakao simamishwa na Chadema pamoja na vyama vingine vya UKAWA.

Kesho itafanyika mikutano minne ambapo mkutano wa mwisho utafanyika jimbo la Morogoro mjini na kuhitimisha ziara ya mwenyekiti wa chama Taifa (Mh Mbowe); baada ya mwenyekiti Taifa kuhitinisha ziara mkoa wa Morogoro, katibu mkuu wa chama (Dr slaa) atampokea kijiti na kuendeleza ziara ya kanda ya kati kwenye mikoa ya Dodoma na Singida.

Ziara za chama ndio zimeanza rasmi na zitakuwa endelevu bila kukoma mpaka 2015.

kanywe kiroba ww
 
Ni sheeeeeedah! Magamba wanahaha, Kinana anawaza atanzia wapi kijibu mapigo, akienda kusini, kaskazini panawaka moto hahahaa...2015 mapema tu ikulu yetu.
 
Leo mwenyekiti Taifa amefanya mikutano mitano kwenye majimbo matatu ya Ulanga Magharibi, Ulanga Mashariki na Kilombero.

Mikutano yote ilikuwa mikubwa sana na yenye hamasa kubwa huku wenyeviti saba wa CCM wa vijiji kwenye jimbo la Ulanga Mashariki wakirudisha kadi za CCM na kujiunga na CHADEMA na kuahidi kuongeza nguvu zaidi kwenye Operation Delete CCM ambapo watasaidia wagombea watakao simamishwa na Chadema pamoja na vyama vingine vya UKAWA.

Kesho itafanyika mikutano minne ambapo mkutano wa mwisho utafanyika jimbo la Morogoro mjini na kuhitimisha ziara ya mwenyekiti wa chama Taifa (Mh Mbowe); baada ya mwenyekiti Taifa kuhitinisha ziara mkoa wa Morogoro, katibu mkuu wa chama (Dr slaa) atampokea kijiti na kuendeleza ziara ya kanda ya kati kwenye mikoa ya Dodoma na Singida.

Ziara za chama ndio zimeanza rasmi na zitakuwa endelevu bila kukoma mpaka 2015.

Napata raha sana japo naishi kwenye kibanda cha tembe
 
Hata Kalenga mlifanya "mikutano ya kihistoria" kisha mkaangukia pua.

Kinana anaanza ziara ya siku 16, mtaipata fresh!
Usilinganishe wanaKilombero na wanyalu (wanaohongwa kwa ulanzi). Muulize DED, DC na mwenyekiti wako wa chama Wilaya na Mkoa kwa nini hawataki kutangaza uchaguzi wa Diwani kata ya Kibaoni?
Kilombero hawahongeki kwa ubwawa kwani wao ni dozi kutwa mara tatu tena kwa samaki. Ukichinja ng'ombe wanakwambia wao hawali vyakula vya kisukuma na kimasai.
 
Mnamchekea Mbowe usoni huku moyoni mnamchukia na kumtukana. Uoga wenu ndio umasikini wenu. Mbowe anatumbua tu pesa za ruzuku.

Wewe huna akili kabisa, Utawezaje kuimarisha chama bila kutumia pesa? Uanataka Mbowe atembee kwa miguu ili kuwafuata wanachama ndiyoamseme hatumii pesa vibaya? Unafikiri hizo pesa zimetolewa kwa kazi gani? Hayo mashangingi ya CCM siyo uharibifu wa pesa za wanachi? Kikwete kutibiwa kwa mamilioni ya fedha marekani kwa tatizo linaloweza kutibika kwa uhakika hapo mwananyamala siyo uharibifu wa fedha za watanzania na dharau kwa madatari wa tanzania? Tumieni akili mnapochangia mada.
 
Kinana ataambatana na mafuso mangapi ya vijana wa vyuo vikuu wasiojitambua wanatumika kama toilet paper na uchaguz ukiisha mkopo hawana tena
 
Chadema kwa nini msijenge chama kuanzia ngazi ya shina na matawi mjini na vijijini? Hiyo mikutano ya Mbowe haina tija yoyote kwa Chama. Viongozi walioko mikoani wanalia njaa ruzuku haifiki Mbowe anatanua tu na Chopa. Ni matumizi mabaya ya ruzuku.

Nilijua watu kama nyie hamkosi kwenye nchi. Dalili ya mvua ni mawingu. Mara nyingi wazembe hawapendi wachapa kazi. Thibitisha hili mwenyewe kwa kuangalia alichofanywa Dr. Magufuli serikali ya awamu hii.
 
Mwaka huu mmeamua kuua watu kwa pressure... Jamani hata huruma kwa Kinana hamna? Ameenda Uarabuni.. Sasa mikutano hiyo mnayoifanya itampeleka India kupunguza pressure.
Kinana alienda Uarabuni kufanya nini? Na huko alikuwa libi? Mbona humu JF kuna taarifa kwamba anaanza ziara rasmi za kichama Lindi na Mtwara?
 
Yap hawa mafisadi wameuza kilimanjaro mashine tools kwa bei ya bure kwa mwekezaji hans. Tosk. A na ye miliki minjingu na fiberboard pia mashine zote kauza nje kama lwakatare
 
Mkuu.

Tulilifanyia utafiti wa haraka na namna lilivyo waathiri wananchi. Tumelichukua kama kwa hatua za mbeleni lakini pia litakuwa miongoni mwa hoja kwenye mikutano ya leo pale kijiji cha Ruaha na mikumi centre kabla hatuja hitimisha Morogoro mjini.

Asante kwa kufuatilia na kuguswa na swala hili la kifisadi na kutojali maslahi ya nchi.

Haiwezekani kiwanda kiuuzwe kwa sh 600M halafu srepa pekee ziuzwe nje kwa kiasi cha 800M achilia mbali athari za moja kwa moja kwa wananchi hao kwa maana ya ajira na multiplier effects kwa eneo husika.

Good ..

Huyu mama Hiyo Milioni 600 yenyewe aliyouziwa hakuilipa Zaidi ya ile pesa aliyo deposit Wakati wa bid ...na kibaha ni Kuuza MITAMBO ambayo ni MIPYA kabisa

Morogoro mji ulioakuwa na viwanda umehujumiwa Sana Sana ...kuna wataalamu waliojenga Kiwanda cha Maghula waliposikia chuma kinaaza KUZALISHwa Tanzania wakasema Sasa Ndio Wakati Kiwanda kingefanya kazi kubwa kabisa ..ya kumimina MITAMBO mikubwa ....kumbe mafisadi wameshapima chuma chakavu..

Mkiendelea Moro mjini Ndio masikitiko ...Aboud ...kannunua viwanda karibu vinne tena vilivokuwa vinaajiri maelfu ..Leo angalieni ni vingapi vinafanya kazi ...na kibaha amekopea Hivyo viwanda bank .

Kiwanda kinachouma Sana WANANCHI ni kile cha Morogoro Canvas Mill ...nacho kimemshinda na amekifunga pia ...hati zake nacho amekopea bank ...Hiki Kilikuwa ni Kiwanda cha kipekee kwa Ukanda huu wa Afrika

Kiwanda cha Morogoro shoes ..Kilikuwa maarufu kwa kutengeneza Viatu .....hicho kimehujumiwa na bwana mmoja anaitwa Mohamed Nur ....kwanza alikopeaa...,pili anahamishia mitambo Kigamboni DAR na kufungua Kiwanda chake ...Tatu ..alikichoma kile Kiwanda moto ...na bima wakamlipa fidia ..na Sasa kimebaki magofu

Angalau Mohamed Enterprise walionunua Kiwanda kikubwa kabisa cha NGuo na Moja ya vikubwa Afrika ....morogoro polytex..hichi kinafanya kazi japo sio kwa asilimia 100 % ambapo unaweza kuwaelewa ..lakini angalau kipo na kinaajiri wana wa morogoro ...

Viwanda Vya tumbaku vumeendelea kuwa mkombozi wa Moro ....

Wabunge Aboud na Rwakatare ..warudishe viwanda kwa kuwa vimewashinda na mitambo WALIOUZIA scraper irudi ...mikopo ya bank waliyokopa kwa hati Za viwanda na kuifuja kwa miradi tofauti walipe wenyewe
 
Yap hawa mafisadi wameuza kilimanjaro mashine tools kwa bei ya bure kwa mwekezaji hans. Tosk. A na ye miliki minjingu na fiberboard pia mashine zote kauza nje kama lwakatare

Hivi vyote ni backbone factories ambazo watu wamejitwalia

Umefika Wakati Sasa ...WANANCHI wahamashwe KUVitwaa hivi viwanda kwa Nguvu ya umma kwa Sababu waliojigawia wanashindwa kuvitumia Kuleta ajira kwa watu wa maeneo husika
 
Hata Kalenga mlifanya "mikutano ya kihistoria" kisha mkaangukia pua.

Kinana anaanza ziara ya siku 16, mtaipata fresh!

Umeona sasa raha ya Siasa CCM sasa lazima na nyie mtoke siyo zamani mlikuwa mnalala tu mnasubiri uchaguzi. Heko chadema kwa kuwafundisha CCM siasa.
 
Kinana alienda Uarabuni kufanya nini? Na huko alikuwa libi? Mbona humu JF kuna taarifa kwamba anaanza ziara rasmi za kichama Lindi na Mtwara?

Yuko lindi kupambana na ukawa baada ya kurudi toka uarabuni kwenye matibabu.
 
Back
Top Bottom