CHADEMA yafunika Mang'ula kwa mkutano wa kihistoria

CHADEMA yafunika Mang'ula kwa mkutano wa kihistoria

Chadema kwa nini msijenge chama kuanzia ngazi ya shina na matawi mjini na vijijini? Hiyo mikutano ya Mbowe haina tija yoyote kwa Chama. Viongozi walioko mikoani wanalia njaa ruzuku haifiki Mbowe anatanua tu na Chopa. Ni matumizi mabaya ya ruzuku.

Mabalozi na wenyeviti wenu huko CCM mnawalipa shs ngapi na sisi tuwaige kama mfano mzuri wa matumizi ya ruzuku?
 
Mzee Slaa zama zake zilishapita, labda akagombee ubunge tena.

Hujasikia ya TWAWEZA juzi?

au hukumbuki maneno ya kamanda mwezio? Msome hapo chini!

Mzee wa ukakasi naona swala la kunawwa mikono pindi utokapo chooni kwako ni ndoto subiria tudilite ccm utabaki mwenyewe
 
Kama kawaida Mbowe na Dr Slaa wakitoka Ufipa Ccm wanatetemeka kama wametiwa ufunguo. Pumzika kamanda wa anga ukaongoze mapambano ya Escrow sasa, Dr wa ukweli apokee kijiti.
 
Msomali Kinana kuzungusha kote kiuno hawezi kuwa na umati kama huo
 
Chadema kwa nini msijenge chama kuanzia ngazi ya shina na matawi mjini na vijijini? Hiyo mikutano ya Mbowe haina tija yoyote kwa Chama. Viongozi walioko mikoani wanalia njaa ruzuku haifiki Mbowe anatanua tu na Chopa. Ni matumizi mabaya ya ruzuku.

kweli umelewa rushwa,mangula ipo mjini ?
 
Chadema kwa nini msijenge chama kuanzia ngazi ya shina na matawi mjini na vijijini? Hiyo mikutano ya Mbowe haina tija yoyote kwa Chama. Viongozi walioko mikoani wanalia njaa ruzuku haifiki Mbowe anatanua tu na Chopa. Ni matumizi mabaya ya ruzuku.

Kabla ujatushauri katafakari kwanini mafisadi wengi wanatokea ccm
 
Mkuu Mohamedi Mtoi nakushukuru sana kwa kazi njema unayoifanya, hakika chadema yatoshaaa!

Nyomi yote hii imekuja kwa hiari yao wenyewe!

No Fuso & semi trella
No Ndomondi
No bongo mavi
No Mabeseni na Masufuri ya Wali...

Mwaka huu ccm hakuna colour mtaacha kuiona!
 
Last edited by a moderator:
Hata Kalenga mlifanya "mikutano ya kihistoria" kisha mkaangukia pua.

Kinana anaanza ziara ya siku 16, mtaipata fresh!

Safari hii tunakula sahani moja,makanisani kwa misikitini,misibani kwa harusini kwenye ma bus mpaka kwenye ndege,tren na meli mpaka kitaeleweka tu na hatuibiwi kura safari hii nizamuyenu kulia
 
Hongerasana kamanda Mtoi,tulikuwa wote Kigoma majuzi nasasa tuko Bukoba mitaani tunatoa elimu kwa kijitegemea ilimradi tutimize malengo yakumkomboa mtanzania toka kwa shetani!
 
Mzee Slaa zama zake zilishapita, labda akagombee ubunge tena.

Hujasikia ya TWAWEZA juzi?

au hukumbuki maneno ya kamanda mwezio? Msome hapo chini!

ha ha ha! TWAWEZA ni sawa na ile kazi mliofanya juzi pale samunge kwenye kura zenu za maoni za CCM kumpitisha yule dada wa kirangi Zubeda kwa kutumia rushwa ya chakula neno kuu la ndugu zangu waarusha yaani kula na kunywa
 
attachment.php
 
Jamani dodoma tunawasubiri kwa hamu sana, katibu mkuu tunakusubiri uje tukuonyeshe jinsi wagogo tulivobadilika na kuikataa ccm kwa herufi kubwa.
 
Alafu utasikia watu wanauzulia kwa wingi sana mikutano yenu lakini hawapigi kula kama si uongo ni nini hicho ndio kipimo kwamba chama kinakubalika na wananchi
 
Leo mwenyekiti Taifa amefanya mikutano mitano kwenye majimbo matatu ya Ulanga Magharibi, Ulanga Mashariki na Kilombero.

Mikutano yote ilikuwa mikubwa sana na yenye hamasa kubwa huku wenyeviti saba wa CCM wa vijiji kwenye jimbo la Ulanga Mashariki wakirudisha kadi za CCM na kujiunga na CHADEMA na kuahidi kuongeza nguvu zaidi kwenye Operation Delete CCM ambapo watasaidia wagombea watakao simamishwa na Chadema pamoja na vyama vingine vya UKAWA.

Kesho itafanyika mikutano minne ambapo mkutano wa mwisho utafanyika jimbo la Morogoro mjini na kuhitimisha ziara ya mwenyekiti wa chama Taifa (Mh Mbowe); baada ya mwenyekiti Taifa kuhitinisha ziara mkoa wa Morogoro, katibu mkuu wa chama (Dr slaa) atampokea kijiti na kuendeleza ziara ya kanda ya kati kwenye mikoa ya Dodoma na Singida.

Ziara za chama ndio zimeanza rasmi na zitakuwa endelevu bila kukoma mpaka 2015.

Mwaka huu mmeamua kuua watu kwa pressure... Jamani hata huruma kwa Kinana hamna? Ameenda Uarabuni.. Sasa mikutano hiyo mnayoifanya itampeleka India kupunguza pressure.
 
Jamani dodoma tunawasubiri kwa hamu sana, katibu mkuu tunakusubiri uje tukuonyeshe jinsi wagogo tulivobadilika na kuikataa ccm kwa herufi kubwa.

Alafu utasikia watu wanauzulia kwa wingi sana mikutano yenu lakini hawapigi kula kama si uongo ni nini hicho ndio kipimo kwamba chama kinakubalika na wananchi
Piiiiiiiiipoooooozii!.....
 
Back
Top Bottom