Kwani ruzuku si kodi zetuMnamchekea Mbowe usoni huku moyoni mnamchukia na kumtukana. Uoga wenu ndio umasikini wenu. Mbowe anatumbua tu pesa za ruzuku.
Hata Kalenga mlifanya "mikutano ya kihistoria" kisha mkaangukia pua.
Kinana anaanza ziara ya siku 16, mtaipata
Naenda toilet kisha nitakujibu msalani.
Kwa hiyo Kinana anatumia hatumbui? Mnatapata, maji shingoni.Mnamchekea Mbowe usoni huku moyoni mnamchukia na kumtukana. Uoga wenu ndio umasikini wenu. Mbowe anatumbua tu pesa za ruzuku.
Mwakani bila SHAKA UKAWA wanashinda uchaguzi.
Nipo vijijini huku Singida,ccm wana kazi pevu.
Kwa mara ya kwanza ccm itapoteza vijiji na vitongoji vingi sana.
Trust me,ccm ina hali mbaya kuliko kipindi chochote kwenye uhai wake.
Hata Kalenga mlifanya "mikutano ya kihistoria" kisha mkaangukia pua.
Kinana anaanza ziara ya siku 16, mtaipata fresh!
Hata Kalenga mlifanya "mikutano ya kihistoria" kisha mkaangukia pua.
Kinana anaanza ziara ya siku 16, mtaipata fresh!
Sasa wananchi kama hawa waliokaaa kwa utulivu policcm wana sababu gani ya kuwarushia mabomu?
acha pumba wewe ndio unamfundusha mbowe namna ya kufanya siasa?Chadema kwa nini msijenge chama kuanzia ngazi ya shina na matawi mjini na vijijini? Hiyo mikutano ya Mbowe haina tija yoyote kwa Chama. Viongozi walioko mikoani wanalia njaa ruzuku haifiki Mbowe anatanua tu na Chopa. Ni matumizi mabaya ya ruzuku.
Hata Kalenga mlifanya "mikutano ya kihistoria" kisha mkaangukia pua.
Kinana anaanza ziara ya siku 16, mtaipata fresh!
Leo mwenyekiti Taifa amefanya mikutano mitano kwenye majimbo matatu ya Ulanga Magharibi, Ulanga Mashariki na Kilombero.
Mikutano yote ilikuwa mikubwa sana na yenye hamasa kubwa huku wenyeviti saba wa CCM wa vijiji kwenye jimbo la Ulanga Mashariki wakirudisha kadi za CCM na kujiunga na CHADEMA na kuahidi kuongeza nguvu zaidi kwenye Operation Delete CCM ambapo watasaidia wagombea watakao simamishwa na Chadema pamoja na vyama vingine vya UKAWA.
Kesho itafanyika mikutano minne ambapo mkutano wa mwisho utafanyika jimbo la Morogoro mjini na kuhitimisha ziara ya mwenyekiti wa chama Taifa (Mh Mbowe); baada ya mwenyekiti Taifa kuhitinisha ziara mkoa wa Morogoro, katibu mkuu wa chama (Dr slaa) atampokea kijiti na kuendeleza ziara ya kanda ya kati kwenye mikoa ya Dodoma na Singida.
Ziara za chama ndio zimeanza rasmi na zitakuwa endelevu bila kukoma mpaka 2015.
Wakati mwingine ufikiria kuwa polisi wanafanya makusudi kuzidisha hasira za wananchi dhidi ya serikali!Mkuu.
Kwa taarifa yako tu ni kwamba wananchi hao jana walipigwa mabomu baada ya mkutano kuisha pale walipo amua kumsindikiza Mh Mbowe kwenye hoteli aliyo fikia.
Polisi kuulizwa sababu za kuwapiga mabomu wananchi wasio na hatia au kama kumsindikiza mgeni ambaye ni kiongozi wao hotelini ni kinyume na sheria wakajibu "...kuwaacha watu wamsindikize Mbowe mpaka hotelini huenda zingetokea vurugu na kuhatarisha amani..."
Huwa nashindwa kuelewa tafsiri ya neno AMANI linavyotumiwa na polisi wetu! Yaani kuwapiga mabomu watu walio amua kumsindikiza mgeni wao kwa amani hoteli aliyofikia ndio kulinda amani na kinyume chake ndio kuhatarisha amani au kutokea kwa vurugu?!
Kwa maana hiyo kwa tafsiri ya polisi ya jana ni kwamba, kupiga mabomu watu wanaomsindikiza mgeni wao hotelini ndio kulinda amani na kutokuwapiga mabomu ndio kungehatarisha amani.
Hizi ndio zile Karume anaita "...akili za samaki..." zisizo jua wala kukumbuka ile third law of motion ya nguli wa fizikia (Isaac Newton) ambayo naamini wengi waliisoma kidato cha pili au tatu, inayosema "...action and reaction are equal and opposite...".
Polisi wa Mang'ula wametumia nguvu kuwatawanya watu kwa mabomu huku idadi kubwa ya polisi haohao wakiishi kwenye kota za mbao na wengine wakiwa wamepanga mitaani.
Hiyo third law of Newton inge amuliwa kutumika na wananchi ingekuwaje?!
Hata Kalenga mlifanya "mikutano ya kihistoria" kisha mkaangukia pua.
Kinana anaanza ziara ya siku 16, mtaipata fresh!