Mwanahabari Huru
JF-Expert Member
- Mar 9, 2015
- 14,242
- 34,917
Kwani kwenye uongozi wamewakumbuka?HIVI KWANINI CHADEMA ISSUE ZA MAENDELEO MNAPELEKA ARUSHA LAKINI LINDI NA MTWARA MMETUSAHAU
Kama si ka mchezo ka kuwakusanya watu wachache mkapiga picha kwenye mabomba ya maji ya zamani tu basi hongereni!kudanganya ni jadi yenu!haya huyo muota ndoto/mbeba maono ya chama chenu kawafanyia nini?Naibu Meya wa Jiji la Arusha Mh. Viola Lazaro akizindua mpango wa maji safi na salama kata ya Moivaro jana Jumamosi.
Mpango huo ulionufaisha mitaa miwili ni jitahada binafsi za Mh. Diwani wa Moivaro Ricky Moiro. Mradi huu umepunguza kero kubwa ya maji katika mitaa hiyo ya Sekei na Oldonyomasi ambayo haikuwahi kuwa na maji safi ya bomba tangu kundwa kwa kijiji cha Moivaro na hatimaye kata sasa.
Wakazi wa mitaa hiyo wameona kama ni ndoto kwa mradi huo kufika katika mitaa hiyo, kwani hawakuwahi kuamini kuwa maji yatafika katika maeneo yao.
HONGERA SANA DIWANI WA CHADEMA
Wakati mnachagua CCM mlitegemea nnHIVI KWANINI CHADEMA ISSUE ZA MAENDELEO MNAPELEKA ARUSHA LAKINI LINDI NA MTWARA MMETUSAHAU
.....Peoplessss[emoji111]
umeshambiwa ni jitiada binafsi za diwani na huku Arusha kwani siyo TanzaniaHIVI KWANINI CHADEMA ISSUE ZA MAENDELEO MNAPELEKA ARUSHA LAKINI LINDI NA MTWARA MMETUSAHAU
Huko Si mlikataaa mabadiliko.HIVI KWANINI CHADEMA ISSUE ZA MAENDELEO MNAPELEKA ARUSHA LAKINI LINDI NA MTWARA MMETUSAHAU
Naibu Meya wa Jiji la Arusha Mh. Viola Lazaro akizindua mpango wa maji safi na salama kata ya Moivaro jana Jumamosi.
Mpango huo ulionufaisha mitaa miwili ni jitahada binafsi za Mh. Diwani wa Moivaro Ricky Moiro. Mradi huu umepunguza kero kubwa ya maji katika mitaa hiyo ya Sekei na Oldonyomasi ambayo haikuwahi kuwa na maji safi ya bomba tangu kundwa kwa kijiji cha Moivaro na hatimaye kata sasa.
Wakazi wa mitaa hiyo wameona kama ni ndoto kwa mradi huo kufika katika mitaa hiyo, kwani hawakuwahi kuamini kuwa maji yatafika katika maeneo yao.
HONGERA SANA DIWANI WA CHADEMA
yanayoendelea hapo dolihood vipiNaona kama kasarakasi flani picha ina wakinamama watano na watoto kibao siku hizi sitazami bongo movie natazama chadema movie .
....yanayoendelea hapo dolihood vipi
Wewe umeshindwa nini kupiga picha japo hata Baba yako mama yako,mkeo na watotowako kwenye mabomba ya maji uje utudanga jinsi chama chako cha kijani kinavodanganya watu?Kama si ka mchezo ka kuwakusanya watu wachache mkapiga picha kwenye mabomba ya maji ya zamani tu basi hongereni!kudanganya ni jadi yenu!haya huyo muota ndoto/mbeba maono ya chama chenu kawafanyia nini?