CHADEMA yachukua uongozi udom

kanta

JF-Expert Member
Jan 24, 2011
343
65
Wapendwa watanzania wenzangu napenda kuchukua fursa hii kuwajulisha ya kuwa, Chuo kikuu cha Dodoma kimempata Raisi ambaye ni jembe(chadema) kukiongoza tena kwa kipindi kingine cha mwaka mmoja. tunafahamu ccm ilitumia mamilioni ya shilingi kufanikisha lakini nguvu ya umma ime play part.
 
hongera sana vijana wa Chadema.....jiandaeni tuwakabidhi nchi!!!

hakikisheni mnatumia fursa hii kuonyesha ukomavu wenu kisiasa....

regards!
 
Wapendwa watanzania wenzangu napenda kuchukua fursa hii kuwajulisha ya kuwa, Chuo kikuu cha Dodoma kimempata Raisi ambaye ni jembe(chadema) kukiongoza tena kwa kipindi kingine cha mwaka mmoja. tunafahamu ccm ilitumia mamilioni ya shilingi kufanikisha lakini nguvu ya umma ime play part.

Upuuzi mtupu,soma shule wewe maisha huyajui huku nje.Huyo kiongozi wako na usajili wa chama chako hapo chuo,unamsaada gani kwetu ama kwa Watanzania zaidi ya milioni 46?atapunguza bei ya bidhaa?.Zingatia masomo,uje uokoe Taifa vinginevyo utalamba disco na siasa zako ukingoni.
 
Mapovuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu!!!calm down....
 
kila siku udom udom mmetuchosha punguzeni viherehere mbona vyuo vingine hawana viherehere humu!
 
Yap UDOM,majembe ya ukweli tunawaaminia.........................................................
 
Hivi nyie si mshakatazwa kuchanganya siasa na elimu.

we mrembo nani kasema? Kwanza siasa ufundishwa huko huko. Alaf kuna vitu vinaitwa training,field n.k sasa nani kakataza siasa/elimu ktk vyuo vya elimu?
 
Upuuzi mtupu,soma shule wewe maisha huyajui huku nje.Huyo kiongozi wako na usajili wa chama chako hapo chuo,unamsaada gani kwetu ama kwa Watanzania zaidi ya milioni 46?atapunguza bei ya bidhaa?.Zingatia masomo,uje uokoe Taifa vinginevyo utalamba disco na siasa zako ukingoni.

alaf mleta mada namjua,ana first class mpaka sasa ana 4.8 GPA tena yuko semV,atamaliza na distinctiön, Alaf we unamtishia sup,we si ulikimbia shule?wacha maneno wewe!
 
kila siku udom udom mmetuchosha punguzeni viherehere mbona vyuo vingine hawana viherehere humu!

ni kweli kwa sababu wengi kama wewe uchanganya kiherehere na uzalendo/ukomavu/udadisi na weledi. Hawa vijana ni wasomi wa ukweli si nyie mliokimbia umande.
 
Nilisikia mdogo wake hussein bashe naye aligombea urais wa chuo kizima na alikuwa na influence sana nini kilimsibu mpaka akadondoshwa.
 
NINYI WENYEWE MLILETA HABARI YA UCHAGUZI WA UDOM KUGUBIKWA NA UDINI.....NA MKRISTO ALISHINDA....!
JE CHADEMA NI CHAMA CHA KIDINI...?
Au mliteleza kutuhabarisha? tena mlikuwa mkishangilia...."BWANA ASIFIWEEEE"
WEKENI SAWA
 
wewe unaona kuwa huu ni upuuzi lakini unatakiwa (think outside the box) kwani siasa inazuia nini kusoma, mbona CCM ndio walikuwa wakwanza kuwa na jumuiya za kisiasa katika vyuo vikuu, kumbuka hata harakati za wa nchi zilihusisha vijana wasomi katika kuweka mambo sawa, acha kukatisha tamaa au huna kazi ya kufanya????? hapa mpaka kieleweke...
 
hongeraaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa vijanaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa

sooooooooooooon kitakuwa chuo.......................siyo cha kata tenaaaaaaaaaaaa!!!!!!!!!!!!!!

nani aliyeshinda...........
 
Back
Top Bottom