CHADEMA yaandaa mapokezi ya kifalme kwa Millya

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimetangaza kumwandalia sherehe kubwa ya kumpokea mwanachama wake mpya, James Ole Millya aliyekihama chama cha mapinduzi CCM na kujiunga na chadema akidai ccm ni gari lenye pancha kibaooooooooooooo.

Millya mbaye alikuwa mwenyekiti cha UVCCM mkoa wa Arusha,anatarajia kukabidhiwa kadi kifalme sanjari na sherehe kubwa ya kihistoria ambapo wananchi wamejitolea kuchangia sherehe hiyo kijijini kwake wilayani Simanjiro,ikiwemo kujitolea ngómbe wa nyama.

Akizungumza leo kwa njia ya simu , Katibu wa Chadema Mkoa wa Arusha, Amani Golugwa, alisema kuwa kwa sasa chama hicho , wanafanya mawasiliano na Viongozi wa Chama hicho kutoka Mkoa wa Manyara na Wilayani Simanjiro, juu ya kuweka mazingira ya kumkabidhi kadi ya uwanachama wa chadema ndani ya wiki hii.

Masikini mchama changu CDM!!A!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Cjasema kwamba watu hawako makini jombaa,Think 1000 n do once.CDM ni chama makini na hilo liko uchi wala huitaji kulivua nguo ndio utambue kwamba CDM ni machine ya watu makini, ila nachosema na nasema tena CDM kwa hili Umakini uzidi kuliko saizi ya kawaida kwani hata Shibuda alikuja kwa mbwembwe kuliko milya leo hii yuko wapi???? huo ni mtazamo wangu tu makamanda msijenge chuki tupo kwenye meli 1. Pipooooooooooooooooooooooooooo ooz.

Nachelea kulazimika kukuelewa, wanaosoma bandiko lako la awali na majibu yangu kwako wanaona kama nionavyo unavyosomeka, hata ulivyonijibu umeendelea kusisitiza "kwa hili cdm umakini uzidi" jibu langu kwa mfumo wa swali, nani kakwambia hatuko makini? kuhusu shibuda! leo nikwambie, kuna hasara ambazo ni faida. shibuda na ufyongo wake ameongeza idadi ya wabunge wa chadema, kwa wingi huo umeongeza pia nafasi ya mbunge wa kuteuliwa! usiyahukumu m.av.i kwa ubaya, kumbuka ni mbolea hiyo!!!!!
 
Hivi kamanda Lema ameshamaliza yale maombi yake ya siku saba? Naona maombi yanafanya kazi ukimaliza maombi naona na Nape atajivua gamba.
 
"Nampongeza Millya kwa kujiunga Chadema kwani CCM hawana jipya¡*kazi zao ni kutii amri, lakini utekelezaji haupo, hivyo nimekatisha ziara yangu kwa ajili ya kumpokea Millya rasmi Chadema wakati wowote"
Kwaupande wake, Katibu wa Chademawa Mkoa wa Arusha, Amani Golugwa alisema baada ya Millya kujiunga Chadema, amepokea taarifa kutoka kwa viongozi wawili ngazi ya Mkoa wa CCM, Wilaya ya Monduli mmoja, Arumeru Mashariki mmoja na wenyevitiwa vijiji saba vya Arumeru Magharibi, kutaka kujiunga na chama hicho, lakini aliwataka wasubiri kwanza wawafanyie tathmini kwani hawako tayari kupokea hadi ¡®mayai viza¡¯.

Source;Habari leo
Huu ni upuuzi... there is no better way to explain it

Kwahiyo akija mwingine utaahirisha na wakiwa wanakuja kila wiki ratiba yake itakuwa ni kupokea wageni

WHAT A MEDIOCRE STRATEGY!!
 
vumilia tu najua inauma
 
Lema anatakiwa afuate ratiba. Millya yupo tu

Anaanza kuikabili kazi ngumu right out. kuhamasisha wananchi tarajia kupigwa mabomu ya machozi, kukurupushwa na polisiccm, kumwagiwa maji ya kuwasha, kunyimwa vibali vya mikutano n.k mabomu pekeyake yanafuta element za u-ccm kichwani, kama ulikuwa unatania sasa utamaanisha unachokifanya! Pia watu wanahamu ya kusikia maneno kutoka mdomoni kwa millya, nao watabadilika, IMPACT yake itakuwa ni majuto kwa ccm.
Mh. Lema uko sahihi, nakuunga mkono. UKIMSHIKA MKONO MILLYA HATAJISIKIA MPWEKE tena hatakumbuka "MISRI" soon mtashuhudia EXODUS.
 
Huyo ni Millya tu mbaye ni kivuli anaweweseka hivi, Je angekuwa mamvi mwenyewe si angewehuka huyu?
 
Nimehairisha

Sio Kiswahili sahihi. Ingekuwa sawa ungeandika "Nimeakhirisha".

Jifunze lugha yako ya Taifa, kwa faida yako na ya wajukuu zako.
 
Huu ni upuuzi... there is no better way to explain it

Kwahiyo akija mwingine utaahirisha na wakiwa wanakuja kila wiki ratiba yake itakuwa ni kupokea wageni

WHAT A MEDIOCRE STRATEGY!!

CDM inapaswa kuwa makini sana na UJIO wa Millya. Mtakuja kukubaliana nami wakati CDM imekwishasambaratishwa na MIllya kwani Millya ni MAMLUKI anakwenda CDM kukiua/kukivuruga ili siku moja ndoto ya sisiem kuichukua tena 'A-town' ifikie. HII NI STRATEGY KALI SANA YA SISIEM; huu ni mchezo kama na kina Guninita; akishamaliza kazi atarudi sisiem na kupewa cheo tena ktk chama.

Ningekuwa mie ni sehemu ya uongozi wa CDM ningetafakari mara nyingi niwezavyo na kufanya upelelezi kuhusu 'Motive<hidden agenda>' ya Millya kabla ya kumpa kadi ya CDM.

Nimesoma naye '1st Degree' pale 'Tumaini University -Iringa University College' na alipata kuwa Raisi wa TUSO(TU-Students Organ'). 'He is quite opportunistic and strategic' katika kutafuta madaraka.

Urafiki wa hali ya juu kati yake na EL na Mkulu ni wa kutilia mashaka saaaaaaaaaaaaaaaaaana!!!!!!!!!!!

TUMIENI UMAKINI ZAIDI KULIKO USHABIKI KAMA MTAAMUA KUMPOKEA MTU HUYU

NIMETIMIZA WAJIBU WANGU KUWATAHADHARISHA KATIKA HILI KAMA SEHEMU YA MCHANGO WANGU KUKISAIDIA CHAMA HIKI KISIFE PALE 'A-town'.
 
kwa wale wanaCCM vijana waliohudhuria kongamano zanzibar watakubaliana nami kwamba Millya is intelligent, opportunist and sometimes more dangerous than a jellyfish

CHADEMA MSISEME HAMKUA WARNED

MAANA MMEHARIBU KWENYE EALA (TENA HII INKWENDA DIRECT KWA MBOWE) WATU TUMEKAA KIMYA.... CHAMA NI WATU NA SIO MWENYEKITI PEKEE

NIKIPATA NAULI NTAKUJA KUKWAMBIA USONI
 
Mimi nashauri kwamba; huyu Milya azungushwe na Lema na waanze Arumeru, waende Majimbo yeyote 4 mbeya wakianza na moja linalomilikiwa na cdm, waje la ccm, waje cdm, waje ccm, alafu ccm then waende Iringaaa! then Rukwaaa! then wapande morogoro
 
CDM inapaswa kuwa makini sana na UJIO wa Millya. Mtakuja kukubaliana nami wakati CDM imekwishasambaratishwa na MIllya kwani Millya ni MAMLUKI anakwenda CDM kukiua/kukivuruga ili siku moja ndoto ya sisiem kuichukua tena 'A-town' ifikie. HII NI STRATEGY KALI SANA YA SISIEM; huu ni mchezo kama na kina Guninita; akishamaliza kazi atarudi sisiem na kupewa cheo tena ktk chama.

Ningekuwa mie ni sehemu ya uongozi wa CDM ningetafakari mara nyingi niwezavyo na kufanya upelelezi kuhusu 'Motive<hidden agenda>' ya Millya kabla ya kumpa kadi ya CDM.

Nimesoma naye '1st Degree' pale 'Tumaini University -Iringa University College' na alipata kuwa Raisi wa TUSO(TU-Students Organ'). 'He is quite opportunistic and strategic' katika kutafuta madaraka.

Urafiki wa hali ya juu kati yake na EL na Mkulu ni wa kutilia mashaka saaaaaaaaaaaaaaaaaana!!!!!!!!!!!

TUMIENI UMAKINI ZAIDI KULIKO USHABIKI KAMA MTAAMUA KUMPOKEA MTU HUYU

NIMETIMIZA WAJIBU WANGU KUWATAHADHARISHA KATIKA HILI KAMA SEHEMU YA MCHANGO WANGU KUKISAIDIA CHAMA HIKI KISIFE PALE 'A-town'.

Tafadhali fafanua kwa vina na mizani, KUWA MAKINI SANA KUNAFANANAJE! tena ni nini ishara yake. tufanyizie mfano mmoja.
 
kwa wale wanaCCM vijana waliohudhuria kongamano zanzibar watakubaliana nami kwamba Millya is intelligent, opportunist and sometimes more dangerous than a jellyfish

CHADEMA MSISEME HAMKUA WARNED

MAANA MMEHARIBU KWENYE EALA (TENA HII INKWENDA DIRECT KWA MBOWE) WATU TUMEKAA KIMYA.... CHAMA NI WATU NA SIO MWENYEKITI PEKEE

NIKIPATA NAULI NTAKUJA KUKWAMBIA USONI

Labda mniambie ana polonium, kinyume chake NO! hana uwezo hata wa kichawi kuisambaratisha cdm, kumbuka walishindwa madiwani watano (5) hakuna asiyejua maumivu ya pua, halafu ajipeleke akaiangukie subuuutu, naamini, narudia tena, naamini kwa cdm usemi time time before time times you si mpya, dhahabu itajaribiwa kwenye tanuru la moto mkali.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom