CHADEMA yaandaa mapokezi ya kifalme kwa Millya

Sijaona ubaya Mh Lema Millya ili ajumuike nae sababukubwa kwangu kwamba bwana kwanza ndie atakae washawishi wana ccm wengi wenye Mawazo mgando
2.Lingine pindi Mh wakiwa pamoja especially maeneo ya Umasaini ushawishi wa Millya utakua umesaidia Chama kupata wanachama wengi,ni baadhi sababu kwann Mh Lema amsuburie bwana Millya kwanza?
 
huu ni upuuzi kuthamini watu ambao hawajaonyesha mchango kwenye chama.!
 
kupokea mwanachama sio kitu kibaya, shida kubwa ambayo napenda CDM waiangalie ili kujenga uimara wa chama ni kutokuwa tayari kupokea mradi tu wanatokea CCM, msije kuwa jamvi la watu kukimbilia na kisha kuja waletea shida ktk chama. Mbaya zaidi ni kukimbilia kuwapa watu wanaohamia madaraka--- kumbuka usumbufu unaotokea kwa issue ya Shibuda. kila la kheri.
 
Huu ni upuuzi... there is no better way to explain it

Kwahiyo akija mwingine utaahirisha na wakiwa wanakuja kila wiki ratiba yake itakuwa ni kupokea wageni

WHAT A MEDIOCRE STRATEGY!!

taratibu meza tu, najua inauma ila jikaze,wa kiume wewe
chungu lakini dawa....
na bado klorikwini inakuja, jipange kuimeza
 
asiwe kirusi tu!mengine fresh
Sidhani kama ni kirusi.............kwangu mimi huu ni ukombozi kifikra, kumbuka kuwa Millya ni Masai na kwa desturi zao Wamasai huwaheshimu sana wakubwa zao kwa umri hivyo Millya anajaribu kuwaonyesha njia vijana wenzake wa Kimasai kuwa heshima inaweza kubaki palepale ila mambo ya kiitikadi watu wanaweza kutofautiana.......itikadi sio mila............katika mfumo wa kukumbatia mila Wamasai walijikuta kuwa wanakuwa watiifu kupitiliza wa Malaigwanani kiasa cha hata kuelekezwa wachague chama gani na mtu wa kuwaongoza...........Hongera Millya kwa kuthubutu kwako kutenganisha itikadi na mila
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom