CHADEMA yaandaa mapokezi ya kifalme kwa Millya

Labda mniambie ana polonium, kinyume chake NO! hana uwezo hata wa kichawi kuisambaratisha cdm, kumbuka walishindwa madiwani watano (5) hakuna asiyejua maumivu ya pua, halafu ajipeleke akaiangukie subuuutu, naamini, narudia tena, naamini kwa cdm usemi time time before time times you si mpya, dhahabu itajaribiwa kwenye tanuru la moto mkali.

mKUU HEBU JISETIRI BASI UELEWA WAKO.... sijaona sehemu nimesema kukisambaratisha chadema, nimesema jamaa ni hatari kama jellyfish na sababu kubwa ni tamaa, uwezo na upeo

Pia nimezungumzia Mbowe na wenzake kuharibu EALA position (tamaa na fadhila)

Sikumbuki pia kuzungumzia madiwa, maana ningeenda huko labda ningemzungumzia Rev. Mzito K, Shibuda, wewe, Komu, nk

sasa unazungumzia nini wewe..... UMEFUKA SANA HAPO MKUU

SIO KILA HATARI HUSAMBARATISHA, VINGINE HUHARIBU TU CIRCADIAN CYCLE!!!
 
Nashindwa kuelewa kulikuwa na ulazima gani wa Lema kuahirisha ratiba kisa anamsubiri Millya!what is so special with Millya?shibuda alipokelewa kwa mbwembwe pia!
 
Kuna mapunguani huwa always yanajifanya kuwa na busara za kichawi kumloga jirani usiku then asubuhi wa kwanza kumjulia hali!! Unadhani wewe na akili yako ya lapa utaishuri nini CDM juu ya suala la Millya magamba tulizeni mshono utajafumuka njia....
 
ni kwa kuwa hamna sera, chama cha matukio mtapokea wengi2 wasiojuwa demoksasia
 
Yaani Milya ana umuhimu kiasi cha Lema kuahirisha safari! Oh my God!
 
CDM inapaswa kuwa makini sana na UJIO wa Millya. Mtakuja kukubaliana nami wakati CDM imekwishasambaratishwa na MIllya kwani Millya ni MAMLUKI anakwenda CDM kukiua/kukivuruga ili siku moja ndoto ya sisiem kuichukua tena 'A-town' ifikie. HII NI STRATEGY KALI SANA YA SISIEM; huu ni mchezo kama na kina Guninita; akishamaliza kazi atarudi sisiem na kupewa cheo tena ktk chama.

Ningekuwa mie ni sehemu ya uongozi wa CDM ningetafakari mara nyingi niwezavyo na kufanya upelelezi kuhusu 'Motive<hidden agenda>' ya Millya kabla ya kumpa kadi ya CDM.

Nimesoma naye '1st Degree' pale 'Tumaini University -Iringa University College' na alipata kuwa Raisi wa TUSO(TU-Students Organ'). 'He is quite opportunistic and strategic' katika kutafuta madaraka.

Urafiki wa hali ya juu kati yake na EL na Mkulu ni wa kutilia mashaka saaaaaaaaaaaaaaaaaana!!!!!!!!!!!

TUMIENI UMAKINI ZAIDI KULIKO USHABIKI KAMA MTAAMUA KUMPOKEA MTU HUYU

NIMETIMIZA WAJIBU WANGU KUWATAHADHARISHA KATIKA HILI KAMA SEHEMU YA MCHANGO WANGU KUKISAIDIA CHAMA HIKI KISIFE PALE 'A-town'.

Millya anaitaka Simanjiro. thats it. Ww unafikiri yule mpinzani wake Lowassa ndugu Sendeka atapona 2015... NEVA
 
CDM inapaswa kuwa makini sana na UJIO wa Millya. Mtakuja kukubaliana nami wakati CDM imekwishasambaratishwa na MIllya kwani Millya ni MAMLUKI anakwenda CDM kukiua/kukivuruga ili siku moja ndoto ya sisiem kuichukua tena 'A-town' ifikie. HII NI STRATEGY KALI SANA YA SISIEM; huu ni mchezo kama na kina Guninita; akishamaliza kazi atarudi sisiem na kupewa cheo tena ktk chama.

Ningekuwa mie ni sehemu ya uongozi wa CDM ningetafakari mara nyingi niwezavyo na kufanya upelelezi kuhusu 'Motive<hidden agenda>' ya Millya kabla ya kumpa kadi ya CDM.

Nimesoma naye '1st Degree' pale 'Tumaini University -Iringa University College' na alipata kuwa Raisi wa TUSO(TU-Students Organ'). 'He is quite opportunistic and strategic' katika kutafuta madaraka.

Urafiki wa hali ya juu kati yake na EL na Mkulu ni wa kutilia mashaka saaaaaaaaaaaaaaaaaana!!!!!!!!!!!

TUMIENI UMAKINI ZAIDI KULIKO USHABIKI KAMA MTAAMUA KUMPOKEA MTU HUYU

NIMETIMIZA WAJIBU WANGU KUWATAHADHARISHA KATIKA HILI KAMA SEHEMU YA MCHANGO WANGU KUKISAIDIA CHAMA HIKI KISIFE PALE 'A-town'.

Hata alipokuja Marando mlileta propaganda hizohizo na kukandamiza na mifano hai ya huko alikotoka lakini CDM bado inapaa nawaomba ngoma ya jirani acheni kuivalia kibwebwe
 
Huu ni upuuzi... there is no better way to explain it

Kwahiyo akija mwingine utaahirisha na wakiwa wanakuja kila wiki ratiba yake itakuwa ni kupokea wageni

WHAT A MEDIOCRE STRATEGY!!

Itawachukua zaidi ya miaka Million kumuelewa Lema na anachofanya. Siasa za Lema ni next level, ngojea hiyo impact ya Ziara yake ya nchi nzima, ujiandae kupokea upako wa Lema.

Otherwise pole sana, Najua unaumia.
 
Huyo ni Millya tu mbaye ni kivuli anaweweseka hivi, Je angekuwa mamvi mwenyewe si angewehuka huyu?

Hapa nani anaeweweseka? Anaekaribisha mgeni? Au aletorokwa na mtoto?...

Ukarimu jambo jema, si anakuja mgeni kwako na ushamuona afu unatorokea mlango wa pili.
 
Millya ni mwana aliyekuwa amepotea. Ni wajibu wetu sasa kumuelekeza njia sahihi. Karibu sana nyumbani Millya.
 
Nimehairisha

Sio Kiswahili sahihi. Ingekuwa sawa ungeandika "Nimeakhirisha".

Jifunze lugha yako ya Taifa, kwa faida yako na ya wajukuu zako.
Hata wewe kiswahili hukijui. kuhairisha ni kibukoba na khi kwenye kiahirisha ni kikwenu.
 
Kuna mapunguani huwa always yanajifanya kuwa na busara za kichawi kumloga jirani usiku then asubuhi wa kwanza kumjulia hali!! Unadhani wewe na akili yako ya lapa utaishuri nini CDM juu ya suala la Millya magamba tulizeni mshono utajafumuka njia....
Sio kila anayetoa ushauri wa kukosoa mipango mibaya ni CCM wanachadema lazima tuanze kujenga utaratibu wa kuhoji vitu tusipokuwa hivyo tutarudi kulekule ccm ambako watu wote ni aina ya ndiyoooooooooooooo mzeeeeeeee!!!!!!!!!!!!!!!!!!! hatutake tufike huko kama watu wanatoa maoni kuwa Mh. Lema hakutakiwa kuahirisha ziara yake kwa sababu ya Milliya ni mawazo yao na sio lazima wawe magamba! unachotakiwa kufanya ni kuwaelewesha ni kwa nini unafikiri hatua hiyo ni njema!

Kwa upande wangu naona hatua hii ni njema kwa sababu zifuatazo;
1. Lema alikuwa anakwenda tanzania zima kuhamasisha na kuingiza wanachama wapya na kitendoa cha Milliya kuja chadema ni moja ya mafanikio katika ziara ya Lema kwani huyo ni mwanachama mpya
2. Milliya si mwanaccm wa kawaida ni kiongozi kama utaarange ujio wake vizuri obviously atakuja na wengi ambao Lema allikuwa atumie nguvu nyingi kuwapata!
3.Milliya ni mtu wa Arusha ambako ndio jimbo la mheshimiwa Lema (practically) kwa hiyo Lema anaonyesha ukarimu wake kwa wananchi wake wa Arusha.

Kwa saba hizo mimi sioni ubaya wowote kwa Lema kuahirisha ziara yake kwani alichokuwa anakwenda kukifanya kwenye ziara hiyo hakitofautiani sana na kinachotokea sasa (Kupokea wanachama wa ccm kwa maelfu)

Nawasilisha
 
Naamini kamanda lema atakua na maana,ujue james alikua ni mtu muhimu kwa ccm na pengine ndio alikua mstari wa mbele kutuhujumu chadema.hivyo basi endapo lema ataondoka nae kwenye ziara itakua inaleta uzito.kaa ujue katika vita hakuna kitu kitamu kama kumpika adui na si kumuua bali kukamata mateka na kuwanyanganya siraha zao na kukali eneo,vita tamu au ushindi wa vita tamu ni ule wa kukamata mateka kwani watakupa siri nyingi za kuweza kumng'oa adui.na hii ni pointa ya kwanza ya ushindi wa sisi katika rufaa ijayo.mtaniambia
 
Nahisi huu msafara wa mamba hautakosa na kenge pia cha msingi ni kufanya scrutiny ya kutosha ili walau tukajiridhisha whether these guys are meant for good CDM move ama they are made to destroy the centre of the move

CDM needs a closer two eyes watch upon this film.
 
kwa wale wanaccm vijana waliohudhuria kongamano zanzibar watakubaliana nami kwamba millya is intelligent, opportunist and sometimes more dangerous than a jellyfish

chadema msiseme hamkua warned

maana mmeharibu kwenye eala (tena hii inkwenda direct kwa mbowe) watu tumekaa kimya.... Chama ni watu na sio mwenyekiti pekee

nikipata nauli ntakuja kukwambia usoni

lawama nyingine hazisaidii uwezi kumlaumu mbowe kama mbowe. Na mbowe hawezi kuamua mambo ya chama peke yake hivyo acha chuki binafsi. Kama makosa yametokea, ni yamefanyika na viongozi/wanachadema wote. Acha za ccmafisi za kila mtu kumlaumu mwenzake. Na ukumbuke kuwa bila hao viongozi usingeijua cdm, wanapoamua kitu wanakuwa wamefanyia utafiti na kutafakari. Mbona hukulalamika mwaka 2005 cdm walipoacha kusimamisha mgombea wa urais, kuwa amewanyima haki wa kupata rais kutoka cdm. Tafakari,jiulize,kumbuka kabla ya kuandika/kulaumu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom