Arusha Leo
Senior Member
- Mar 12, 2012
- 120
- 72
CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimetangaza kumwandalia sherehe kubwa ya kumpokea mwanachama wake mpya, James Ole Millya aliyekihama chama cha mapinduzi CCM na kujiunga na chadema akidai ccm ni gari lenye pancha kibaooooooooooooo. Millya mbaye alikuwa mwenyekiti cha UVCCM mkoa wa Arusha,anatarajia kukabidhiwa kadi kifalme sanjari na sherehe kubwa ya kihistoria ambapo wananchi wamejitolea kuchangia sherehe hiyo kijijini kwake wilayani Simanjiro,ikiwemo kujitolea ngómbe wa nyama. Akizungumza leo kwa njia ya simu , Katibu wa Chadema Mkoa wa Arusha, Amani Golugwa, alisema kuwa kwa sasa chama hicho , wanafanya mawasiliano na Viongozi wa Chama hicho kutoka Mkoa wa Manyara na Wilayani Simanjiro, juu ya kuweka mazingira ya kumkabidhi kadi ya uwanachama wa chadema ndani ya wiki hii.
Hahhahah! Olesendeka mjengoni alishanusa harufu ya M4C.
Hahhahah! Olesendeka mjengoni alishanusa harufu ya M4C.
ufalme wa ole millya unatokana na nini hasa?
KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA
uthubutu wake wa kuachana na maovu/waovu i.e ccmufalme wa ole millya unatokana na nini hasa?
KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA
ufalme wa ole millya unatokana na nini hasa?
KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA
Note that wanaompokea kifalme ni watu wa kijijini kwake, Simanjiro. Ni vyema ukawauliza hayo watu wa Simanjiro!ufalme wa ole millya unatokana na nini hasa?
Huwa hata masista duu hujificha hadi kwa masela wahidhani kuwa watamaliza kisirisiri,ila baadaye wanajikuta wamebeba, baadaye wanajikuwa mapromise na matozi sijui ya kuishi km Jay Z na Beyonce hayana dili tena.Mpokeeni lakini angalieni asijekuwa katumwa. Kunanini mpaka amuache fisadi papa ambaye alikuwa nae kwa muda mrefu (EL) mpaka ahamie CHADEMA?