manga mseke
JF-Expert Member
- Jan 30, 2015
- 470
- 90
hua nawasikitikia cdm mkoa wa kigoma wanashindwa hata kufanya mikutano kwa hofu ya kuzomea wamekua wakisafirisha watu kwa magari kama ccm poleni
sera yao kwa sasa imekua ni udini na zito hana baba
sera yao kwa sasa imekua ni udini na zito hana baba