Kirikou Wa Kwanza
JF-Expert Member
- May 24, 2013
- 3,564
- 1,992
fundimchundo Chadema haitutaki Kigoma.
Last edited by a moderator:
wewe hatuiihitaj CDM kg, huko hukoooo
Wanajaribu kusema kama siyo ACT-Wazalendo ni CCM
Ni kweli bana wanasomba watu kwenye lori Hahahaha hiyo picha umewaacha uchi.
Teh teh teh
Sijui utajipangaje ili ueleweke???? Nakuhurumia sana nyundo unazokutana nazo humu mpaka aibu!!!!""
Mkutano wa chadema uliofanyika Kigoma baada ya kuona wananchi hawataki kusikiliza habari zao za kikanda na kidikteta.
Wakaja na mbinu mpya ya kuwasafirisha watu kwenye magari ili waende kwenye mkutano .
LA KUVUNDA HALINA UBANI
![]()
Kamanda angalia vizuri mbele ya hiyo balloon hauoni lori limebeba makamanda.
Chadema haitutaki Kigoma.
kilichofanyika hapo juu ni mtoa mada kudanganya umma. mbona hajaweka hayo malori? hao watu waliokuwa wanasomba mbonq hatujaambiwa walitoka wapi? japikuwa hata siipendi ccm kwa kapicha hako juu hata ingekuwa wao kusema wanasomba watu ni kuwaonea.
tuwekee picha ya hilo lori.
Mbona ndani ya chadema kuna fisadi mkubwa mnamuogopa? Mafuso mabovu mmeuziwa kwa mamilioni, mnapanga ofisini kwake hadi leo kwa gharama kubwa, hamsemi, watu wanajikopesha ruzuku bila kulipa hamsemi! Wameagiza pikipiki toka japana bila utaratibu na kujipa kazi za uzabuni wakapiga mamilioni hamsemi! Ibada njema inaanzia nyumbani, Inakuwaje hapo kwenu hampaoni mko bize na wengine??
Chadema hatuitaki Kigoma.
sijaliona mkuu. nimeonalori ambalo halina uhusiano wowote na cdm. ebu tuwekee hilo lori hapa..
Ukweli utabaki ukweli hata ukiupinga kwa nguvu zote hiyo picha imepigwa na mmojawapo wa wafuasi waliokuwa kwenye msafara
Na ndio waliokodisha Lori na kuwasomba
mwambie atumie ya jombe
Kamanda mbona picture ipo juu hapo.tuwekee picha ya hilo lori.