coscated
JF-Expert Member
- Nov 17, 2010
- 4,337
- 4,323
mwambie atumie ya jombe
:bange:
mwambie atumie ya jombe
Watanzania hawa wahuni wa Chadema kweli ndiyo tuwape nchi?
Usijifanye huoni lori hilo mbele..... Msiwalazimishe watu bana hatutaki UNAFIKI wenu
Sioni haja ya kuthibitisha vitu vilivo wazi jaribu tu kurise fallacy lakini hata mtu ambae hajaenda shule hawezi kuja na vihoja vyako hivi
Unataka niweke picha au namba ya aliyenipa picha watukanajii muanze upuuzi wenu........
Na tunatoka Kigoma kuwaambia WATZ ukweli hatuwezi kuongozwa na chama kisicho na demokrasia
Kwanini uongozi wa chadema Mwanza umesimamishwa si kwasababu ya uswahiba wa wenje na mbowe wanakifanya ni Mali yao
Hatukitaki huku Kigoma chama cha kikanda
Kiashiria kwiiikwiiikwiii tazama vizuri waligoma hata kunyoosha vidole viwili
Nani anawachukia sasa? Tatizo hutaki kunielewa! Nasema, ile saccos yenu mnatulazimisha etu tuamini kuwa ipo kwa ajili ya ukombozi, sijui ukombozi gani tena! Mnashindwa kusema wazi kuwa chadema ni mradi wa kuwanufaisha nyinyi, mnang'ang'ania kutuaminisha kuwa ni ukombozi wetu wakati sisi kila mtu yuko huru anatafuta riziki yake kadri awezavyo. Leo Dar imejaa kila kabila na wako huru kutafuta maisha, wapo wamachinga, wafanyabiashara, wakulima,wafanyakazi, leo mnakuja na swaga eti kutukomboa! Kutoka wapi kutupeleka wapi? Hapo ndipo ninapowalaani wachaga kwa utapeli wenu wa kutaka kugawana nchi kwa uongo wa ukombozi fake! Siwachukii, bali hii saccos yenu irudisheni kwa Mtei mwenyewe, mwambieni dili limebuma, watanzania wameanza kushtuka.
Ukweli utabakia pale pale....
Kukodisha magari kwanini sasa
ACT na ccm lao moja tu.
Mkutano wa chadema uliofanyika Kigoma baada ya kuona wananchi hawataki kusikiliza habari zao za kikanda na kidikteta.
Wakaja na mbinu mpya ya kuwasafirisha watu kwenye magari ili waende kwenye mkutano .
LA KUVUNDA HALINA UBANI
![]()