CHADEMA yaaibika Kigoma

CHADEMA yaaibika Kigoma

Mh!Mkuki kwa nguruwe.Ulivyotukana tukakuvumilia ukadhani hatujui kashfa eh.Pole Ukiona mtu yuko kinyume naye usianze kumtukana kwani na huyo mtu naye anayajua.Pole.

Ulipoanza nilikuvumulia kwa muda nilipoona unafanya mazoe nikamuua kukuonyesha kuwa hata mimi na uwezo wa kujibu kama unavyofanya.A golden rule usichopenda kutetendewa usimtendee mwenzeko.

Mkuu hebu nionyeshe tusi hata moja toka nimeandika. Sijatumia tusi kama nilivyojibiwa, mara oooh mi nalawitiwa! mara mimi mpumbavu! n.k lakini sijathubutu kujibu hivyo, iweje unasema eti ulinivumilia mara sijui mkuki kwa nguruwe!, acha kusema uongo.
 
Tukiendekeza huu mfumo tutabaguana sana tu. Anglia hiyo list ya viongozi ACT Kigoma.

Kiongozi mkuu ACT Taifa - ZZK (Mwislamu)

Mwenyekiti mkoa Wa Kigoma - Ibrahim Sendwe (Mwislamu).

Katibu mkoa - Msafiri (Mwislamu)

Katibu mwenezi mkoa - Juma Ramadhani (Mwislamu)

Mweka hazina Mkoa - Akida Ayubu (Mwislamu)

Mwenyekiti ngome ya Wazee mkoa - Mzee Kasisiko ( Mwislamu)

Mwenyekiti ngome ya vijana - Bwandu Ndaje (Mwislamu)

Watia nia za Udiwani waislamu, Mtia nia Wa Ubunge tangu mwaka Jana 2014 ambaye ni mkristu ameamrishwa kumuachia ZZK (Mwislamu) achukue nafasi hiyo.

Acha kupotosha kwa kudokoadokoa majina na vyeo visivyo na meno, niorodheshee mtiririko huo niliokupa.
 
Ni upuuzi kuendelea kucheza ngoma hii ya ubaguzi wa kikabila na kidini!Waliofilisika kimawazo ndio wanakuja na hoja hizi mfu!
 
Acha kupotosha kwa kudokoadokoa majina na vyeo visivyo na meno, niorodheshee mtiririko huo niliokupa.

Kanusha kwa kuweka majina na vyeo vyenye meno ili uwaaminishe watu.

Teh teh teeh!! Eti ACT wana vyeo vyenye Meno hata cjui ni vyeo gani hivyo.
 
act ni dawa ya tumbo nasikia ni miti shamba inapatikana loliondo je ni kweli?
 
Katika ------- namba moja jf wa mwaka 2015 wewe unahitaji tunzo....endelea kuzihirisha usenge wako ili upate na tunzo ya usenge wa mwaka kesho


mkutano wa chadema uliofanyika kigoma baada ya kuona wananchi hawataki kusikiliza habari zao za kikanda na kidikteta.

Wakaja na mbinu mpya ya kuwasafirisha watu kwenye magari ili waende kwenye mkutano .

La kuvunda halina ubani
attachment.php

 
Mkuu hebu nionyeshe tusi hata moja toka nimeandika. Sijatumia tusi kama nilivyojibiwa, mara oooh mi nalawitiwa! mara mimi mpumbavu! n.k lakini sijathubutu kujibu hivyo, iweje unasema eti ulinivumilia mara sijui mkuki kwa nguruwe!, acha kusema uongo.

Hebu rudi kwenye post zako kwanza.Unadhani nimekujibu bila sababu?Rudi kwenye post zKo zote then ujitete.
 
Ukweli unaujua ila umeamua kujitoa ufahamu, Kayoga ni nzuri sana tatizo ni matumizi tu.
 
wanajielewa wametambua mbinu za kanda ya kasikazini tuwatumia kama daraja pasipo mgawanyo sahihi wa nafasi kwenye chama -zzto jembe!
 
Jenga hoja ya misingi na itikad ya chama chako ili watu wakuelewe na si kuangalia ulikotoka. Kama ulitoka chadema sahau Cdm, maaana lengo lako syo chadema ila kushka hatamu ya uongoz ktk nchi. Kumbuken Ludism na Chartism.
 
Back
Top Bottom