ACT-Wazalendo imeundwa kwa misingi ya kuwa anti-Chadema. Sasa utawashirikishaje kwenye UKAWA ambapo Chadema ndicho chama kikuu? Kajipange upya.
Makaburu walizungumza na ANC baada ya kuona kuwa hali huko mbele kwao si nzuri, hasa baada ya jeshi lao kushindwa kule Cuito Cuanavale, Angola na jeshi la Cuba/MPLA. They had lost the military leadership in South Africa.Hata Makaburu walizungumza na ANC licha ya kuwafunga na kuwaua
kuzungumza sio lazima mkubaliane...CHADEMA wanaweza kutoa 'masharti' ya kuikubali ACT ndani ya UKAWA
ikabaki kazi ya ACT kukubali au kukataa masharti
Makaburu walizungumza na ANC baada ya kuona kuwa hali huko mbele kwao si nzuri, hasa baada ya jeshi lao kushindwa kule Cuito Cuanavale, Angola na jeshi la Cuba/MPLA. They had lost the military leadership in South Africa.
Zitto amepoteza nini? He is anti-Chadema, and he is there kubomoa Chadema, kwa nini mtu kama huyu mmweke kwenye kundi lenu?
You might have had a valid argument lakini kwa tamko hili, umeharibu kila kitu. Unadai unajua wapo watu ndani ya CHADEMA wana obsession ya kummaliza Zitto! My God The Boss, are you serious? Je na mimi nikidai najua wapo watu ndani ya ACT wana mission/obsession ya kuidhoofisha Chadema? Kweli tutaelewana? La pili; upi ni ushauri wako kwa Zitto?...Najua wapo watu ndani ya CHADEMA wana obsession ya kummaliza Zitto....tatizo ni kwamba
'no one knows the future' .....watu wenye akili hukubali ku negotiate when they have power and are strong watu wajinga huenda ku negotiate wakiwa wameshashindwa au kujeruhiwa......CHADEMA now they have power....wasisubiri kujeruhiwa......
No, sijasema kuwa Chadema wazungumze na Zitto tu pale atakapokuwa na nguvu za kuijeruhi na kuimaliza Chadema. Tayari Zitto anaamini kuwa hizo nguvu anazo. Ninachosema ni kwamba Chadema isonge mbele without Zitto. Namfananisha Zitto na Zuberi Mtemvu 1959 alipojitoa TANU kwa kutokukubaliana na sera za TANU kuhusu uraia wa Tanganyika na kuanzisha chama chake cha Congress. Katika uchaguzi uliofuata TANU ilifunika na Mtemvu akawa history. The same fate awaits Zitto and his party.Ni kama unasema hadi Zitto apate nguvu ya kuijeruhi na kuiumiza CHADEMA ndo wakae nae kujadili
kama CHADEMA wanaamini Zitto is out to destroy CHADEMA that is a more reason to negotiate with him..
Zitto sio stupid anauwezo wa ku reason....ACT haiwezi moja kwa moja kuwa as big as CHADEMA overnight
it will take time...now kwa sasa watafute 'suluhu' ili wapeane space badala ya kutumia nguvu kubwa kujeruhiana...
Hata Makaburu walizungumza na ANC licha ya kuwafunga na kuwaua
kuzungumza sio lazima mkubaliane...CHADEMA wanaweza kutoa 'masharti' ya kuikubali ACT ndani ya UKAWA
ikabaki kazi ya ACT kukubali au kukataa masharti
Ni kama unasema hadi Zitto apate nguvu ya kuijeruhi na kuiumiza CHADEMA ndo wakae nae kujadili
kama CHADEMA wanaamini Zitto is out to destroy CHADEMA that is a more reason to negotiate with him..
Zitto sio stupid anauwezo wa ku reason....ACT haiwezi moja kwa moja kuwa as big as CHADEMA overnight
it will take time...now kwa sasa watafute 'suluhu' ili wapeane space badala ya kutumia nguvu kubwa kujeruhiana...
You might have had a valid argument lakini kwa tamko hili, umeharibu kila kitu. Unadai unajua wapo watu ndani ya CHADEMA wana obsession ya kummaliza Zitto! My God The Boss, are you serious? Je na mimi nikidai najua wapo watu ndani ya ACT wana mission/obsession ya kuidhoofisha Chadema? Kweli tutaelewana? La pili; upi ni ushauri wako kwa Zitto?
Mkuu The Boss, hii ni kitu inayoitwa busara za hali ya juu!, it is very unfortunately, Chadema haina watu wenye busara za level hii, wengi wao wanatawaliwa na chuki dhidi ya Zitto, hawataki kuchukua 'tahadhari yoyote kabla ya hatari', bali wako tayari kwa 'majuto ni mjukuu!'. Maadam umesema kuhusu wenye akili wanafanya nini na wajinga watafanya nini, sisi tukiwaita watu ni wajinga humu, tutashutumiwa tunawatukana!, nasisitiza Watanzania kama hawako tayari kuwaingiza 'wajinga' kwenye ikulu yao!.Najua wapo watu ndani ya CHADEMA wana obsession ya kummaliza Zitto....tatizo ni kwamba 'no one knows the future' .....watu wenye akili hukubali ku negotiate when they have power and are strong watu wajinga huenda ku negotiate wakiwa wameshashindwa au kujeruhiwa.
CHADEMA now they have power....wasisubiri kujeruhiwa.
Kwani usimshauri ZZK aongee na Limbu kwanza ?