JAKOBO
JF-Expert Member
- Jan 28, 2013
- 934
- 194
KKKT wananishangaza, huyu kafia guest akiwa mtupu lakini kazikwa na Askofu. Wengine wanafariki wachamungu wananyimwa hata mchungaji!
Jamani KKKT fanyeni hivyo kwa watu wote sio baadhi ya watu tu, hukumu na msamaha ni kwa bwana sio wanadamu. RIP Mollel
Mwanzo niliposikia kwamba kafia guest nilidhani alikuwa safarini kumbe hapo Arusha ndio nyumbani kwake?.Ilikuwaje aende guest tena vyumbani wakati ana kwake na viongozi wa dini wamfanyie ibada au nawao ndio kujikomba komba kwa chama tawala?