Tundu Lissu he is mor of a laywer than a politician
Marando ndio game zake hizi......
this is politics,hakuna genuine tamko hapo
Sijapenda, hata kidogo. huyu mtu kasababisha madhara makubwa kwa mahubiri na kuhamasisha watu. Huyu ilibidi awekwe detention kama sheria ya detention bado inafanya kazi. Naipenda CDM, lakini kwa hili hapana.
Halina mvuto!
Hivi ungekuwa wewe ungetoa tamko gani? Hebu liandike hapa tuone! Kusema Sheikh Ponda kama raia wa nchi hii anastahili dhamana ni kutafuta umaarufu? Wakati mwingine kukaa kimya ni busara zaidi kuliko kuropoka.Wanataka kutumia nafasi hii ya dhahabu kupata kuumgwa mkono na waislamu.
Good move strategicaly
leo tutashuhudia wafuasi wa chadema wakipingana na chama chao kwa mara ya kwanza.
Kisa, ni ishu ya waislam.
Kama ulikuwepo sasa ndio utajua kuwa wafuasi wa CDM ni watu wa aina gani.Nilishauri CDM watoe tamko naona wametoa, nimefarijika. Lakini wafuasi wengi wa CDM ni wadini. Na kwao wanaamini kuwa CDM ni chama cha Kikristo kama sio cha Kichagga.
Mie chadema damu ila ponda anatakiwa anyongwe!!
....
........hatuwezi kuficha ukweli kwamba Sheikh Ponda kama raia wa Jamhuri ya Muungano au mkazi wa Jamhuri hii, anayo haki ya kusikilizwa na kupewa dhamana. Makosa ambayo Sheikh Ponda ameshitakiwa yanadhaminika kwa mujibu wa sheria, hivyo ni makosa kwa serikali kufanya hila kumnyima dhamana kiongozi huyu wa kidini, .... matatizo yanayotokea sasa, yameletwa na CCM kutokana na hatua yao ya kuwatumia baadhi ya waislamu kupandikiza mbegu ya udini nchini.
Jamani hawa jamaa wamesema wamesema mengi, lakini kwa sasa yanatosha kueeleza hayo.
Mie chadema damu ila ponda anatakiwa anyongwe!!
Ngoja kwanza niwe msomaji wa huu uzi kabla sijachangia chochote.