sinza pazuri
JF-Expert Member
- Aug 16, 2014
- 2,571
- 7,437
Mkuu kuna mambo na nyakati ambazo hazihitaji hisia za chama, udini au ukabila, moja wapo ni maafa ya asili kama haya mafuriko ya Hanang.Akufaae kwa dhiki ndio rafiki wa kweli.
Baada ya matatizo yaliyowakumba ndugu zetu wa Hanang tumeona CHADEMA wakitumia muda mwingi kuishambulia na kuikosoa serikali namna inavyodili na crisis ya mafuriko.
Watu wa Hanang wanahitaji misaada sana kuliko kelele ambazo haziwaongezei lolote.
Hawahitaji magorofa wala mavitu makubwa wanataka wapate chakula maji mavazi vikinga baridi na sehemu za kujihifadhi.
Kama ambavyo uwa mnakuwa wepesi viongozi wenu wa kitaifa wakiwa kwenye kesi mnachangishana basi changishaneni hata viroba vya sukari au mashuka mpeleke kwenye majanga achaneni na kelele tupu haziwasaidii waanga.
Punguzeni janja janja watu wanauhitaji uko.
Na hata wasingeongea bado mngesema mbona wako kimya.Akufaae kwa dhiki ndio rafiki wa kweli.
Baada ya matatizo yaliyowakumba ndugu zetu wa Hanang tumeona CHADEMA wakitumia muda mwingi kuishambulia na kuikosoa serikali namna inavyodili na crisis ya mafuriko.
Watu wa Hanang wanahitaji misaada sana kuliko kelele ambazo haziwaongezei lolote.
Hawahitaji magorofa wala mavitu makubwa wanataka wapate chakula maji mavazi vikinga baridi na sehemu za kujihifadhi.
Kama ambavyo uwa mnakuwa wepesi viongozi wenu wa kitaifa wakiwa kwenye kesi mnachangishana basi changishaneni hata viroba vya sukari au mashuka mpeleke kwenye majanga achaneni na kelele tupu haziwasaidii waanga.
Punguzeni janja janja watu wanauhitaji uko.
Kofia ya boss ilionekana?Akufaae kwa dhiki ndio rafiki wa kweli.
Baada ya matatizo yaliyowakumba ndugu zetu wa Hanang tumeona CHADEMA wakitumia muda mwingi kuishambulia na kuikosoa serikali namna inavyodili na crisis ya mafuriko.
Watu wa Hanang wanahitaji misaada sana kuliko kelele ambazo haziwaongezei lolote.
Hawahitaji magorofa wala mavitu makubwa wanataka wapate chakula maji mavazi vikinga baridi na sehemu za kujihifadhi.
Kama ambavyo uwa mnakuwa wepesi viongozi wenu wa kitaifa wakiwa kwenye kesi mnachangishana basi changishaneni hata viroba vya sukari au mashuka mpeleke kwenye majanga achaneni na kelele tupu haziwasaidii waanga.
Punguzeni janja janja watu wanauhitaji uko.
Naunga mkono hoja, kwenye majanga ya Kitaifa, lets stand united as one, kushikana mikono kusaidia na kusaidiana!.Akufaae kwa dhiki ndio rafiki wa kweli.
Baada ya matatizo yaliyowakumba ndugu zetu wa Hanang tumeona CHADEMA wakitumia muda mwingi kuishambulia na kuikosoa serikali namna inavyodili na crisis ya mafuriko.
Watu wa Hanang wanahitaji misaada sana kuliko kelele ambazo haziwaongezei lolote.
Hawahitaji magorofa wala mavitu makubwa wanataka wapate chakula maji mavazi vikinga baridi na sehemu za kujihifadhi.
Kama ambavyo uwa mnakuwa wepesi viongozi wenu wa kitaifa wakiwa kwenye kesi mnachangishana basi changishaneni hata viroba vya sukari au mashuka mpeleke kwenye majanga achaneni na kelele tupu haziwasaidii waanga.
Punguzeni janja janja watu wanauhitaji uko.
@Pascal Mayalla...Mkuu kuna mambo na nyakati ambazo haya hitaji hisia za chama, udini au ukabila. Moja wapo ni maafa ya asili kama haya mafuriko ya Hanang.
Mosi, weka ushahidi hapa kuwa wananchi wanachama wa Chadema waliopo maeneo hayo hawajaadhirika?
Pili, weka ushahidi kuwa wananchi wanachama wa Chadema walio salimika hawajambo saidia majirani zoo waliodhurika. Au wamewasaidia kwa ubaguzi wa kichama.
Tatu, weka ushahidi kuwa wananchi viongozi wa Chadema wa mashina, vitongoji, vijiji/mitaa, kata, wilaya, mkoa na kanda mmoja mmoja au kwa makundi hawaja dhurika? hawaja shiriki kusaidia kutoa msaada? Na hawajashirikiana na wananchi wengine kwenye zoezi Zima la uokoaji?
Nne, ainisha kuwa kwa mujibu wa sheria ni nani mwenye wajibu wa kushughulika na maafa kifedha na kitaalum? Kisheria aliyetengewa fedha ya kushughulika na masfa ya asili?
Je, ni vyama vya siasa? Au serikali?
Tano, je watu kutoa maoni, kukumbusha na ushauri jinsi zoezi la uokoaji linavyoendelea kupitia hapa mitandaoni ni jambo baya? Hata wewe ulivyo toa maoni yako hapa mtandaoni unafikiri umefanya vibaya?
hawa wahuni pia ni wale wale kama ccm tu,kutumia ujinga wa wananchi kama mtaji.Akufaae kwa dhiki ndio rafiki wa kweli.
Baada ya matatizo yaliyowakumba ndugu zetu wa Hanang tumeona CHADEMA wakitumia muda mwingi kuishambulia na kuikosoa serikali namna inavyodili na crisis ya mafuriko.
Watu wa Hanang wanahitaji misaada sana kuliko kelele ambazo haziwaongezei lolote.
Hawahitaji magorofa wala mavitu makubwa wanataka wapate chakula maji mavazi vikinga baridi na sehemu za kujihifadhi.
Kama ambavyo uwa mnakuwa wepesi viongozi wenu wa kitaifa wakiwa kwenye kesi mnachangishana basi changishaneni hata viroba vya sukari au mashuka mpeleke kwenye majanga achaneni na kelele tupu haziwasaidii waanga.
Punguzeni janja janja watu wanauhitaji uko.
Siyo kazi ya vyama vya upinzani kufanya kazi za Serikali.Akufaae kwa dhiki ndio rafiki wa kweli.
Baada ya matatizo yaliyowakumba ndugu zetu wa Hanang tumeona CHADEMA wakitumia muda mwingi kuishambulia na kuikosoa serikali namna inavyodili na crisis ya mafuriko.
Watu wa Hanang wanahitaji misaada sana kuliko kelele ambazo haziwaongezei lolote.
Hawahitaji magorofa wala mavitu makubwa wanataka wapate chakula maji mavazi vikinga baridi na sehemu za kujihifadhi.
Kama ambavyo uwa mnakuwa wepesi viongozi wenu wa kitaifa wakiwa kwenye kesi mnachangishana basi changishaneni hata viroba vya sukari au mashuka mpeleke kwenye majanga achaneni na kelele tupu haziwasaidii waanga.
Punguzeni janja janja watu wanauhitaji uko.
Wewe pimbi Chadema wanakusanya kodi? Jee CCM mnaopata mabilioni ya ruzuku kila mwezi mumechangia nini?Akufaae kwa dhiki ndio rafiki wa kweli.
Baada ya matatizo yaliyowakumba ndugu zetu wa Hanang tumeona CHADEMA wakitumia muda mwingi kuishambulia na kuikosoa serikali namna inavyodili na crisis ya mafuriko.
Watu wa Hanang wanahitaji misaada sana kuliko kelele ambazo haziwaongezei lolote.
Hawahitaji magorofa wala mavitu makubwa wanataka wapate chakula maji mavazi vikinga baridi na sehemu za kujihifadhi.
Kama ambavyo uwa mnakuwa wepesi viongozi wenu wa kitaifa wakiwa kwenye kesi mnachangishana basi changishaneni hata viroba vya sukari au mashuka mpeleke kwenye majanga achaneni na kelele tupu haziwasaidii waanga.
Punguzeni janja janja watu wanauhitaji uko.
Subiri uje kusikia sifa zitakazo mwagwa kwa mtu aliye fupisha ziara yake kwa sababu ya mafuriko hayo kama vile kafanya hayo kwa hisani kuu.Naunga mkono hoja, kwenye majanga ya Kitaifa, lets stand united as one, kushikana mikono kusaidia!.
P
Chadema ndio wanakusanya kodi pale kariakoo?Akufaae kwa dhiki ndio rafiki wa kweli.
Baada ya matatizo yaliyowakumba ndugu zetu wa Hanang tumeona CHADEMA wakitumia muda mwingi kuishambulia na kuikosoa serikali namna inavyodili na crisis ya mafuriko.
Watu wa Hanang wanahitaji misaada sana kuliko kelele ambazo haziwaongezei lolote.
Hawahitaji magorofa wala mavitu makubwa wanataka wapate chakula maji mavazi vikinga baridi na sehemu za kujihifadhi.
Kama ambavyo uwa mnakuwa wepesi viongozi wenu wa kitaifa wakiwa kwenye kesi mnachangishana basi changishaneni hata viroba vya sukari au mashuka mpeleke kwenye majanga achaneni na kelele tupu haziwasaidii waanga.
Punguzeni janja janja watu wanauhitaji uko.
Kwa hiyo uzembe wa serikali usizungumzwe?Akufaae kwa dhiki ndio rafiki wa kweli.
Baada ya matatizo yaliyowakumba ndugu zetu wa Hanang tumeona CHADEMA wakitumia muda mwingi kuishambulia na kuikosoa serikali namna inavyodili na crisis ya mafuriko.
Watu wa Hanang wanahitaji misaada sana kuliko kelele ambazo haziwaongezei lolote.
Hawahitaji magorofa wala mavitu makubwa wanataka wapate chakula maji mavazi vikinga baridi na sehemu za kujihifadhi.
Kama ambavyo uwa mnakuwa wepesi viongozi wenu wa kitaifa wakiwa kwenye kesi mnachangishana basi changishaneni hata viroba vya sukari au mashuka mpeleke kwenye majanga achaneni na kelele tupu haziwasaidii waanga.
Punguzeni janja janja watu wanauhitaji uko.
Akufaae kwa dhiki ndio rafiki wa kweli.

Maviongozi ya ccm yamekimbilia Hanang kufanya show zaidi ya kumshughulikia janga.Mkuu kuna mambo na nyakati ambazo haya hitaji hisia za chama, udini au ukabila. Moja wapo ni maafa ya asili kama haya mafuriko ya Hanang.
Mosi, weka ushahidi hapa kuwa wananchi wanachama wa Chadema waliopo maeneo hayo hawajaadhirika?
Pili, weka ushahidi kuwa wananchi wanachama wa Chadema walio salimika hawajambo saidia majirani zoo waliodhurika. Au wamewasaidia kwa ubaguzi wa kichama.
Tatu, weka ushahidi kuwa wananchi viongozi wa Chadema wa mashina, vitongoji, vijiji/mitaa, kata, wilaya, mkoa na kanda mmoja mmoja au kwa makundi hawaja dhurika? hawaja shiriki kusaidia kutoa msaada? Na hawajashirikiana na wananchi wengine kwenye zoezi Zima la uokoaji?
Nne, ainisha kuwa kwa mujibu wa sheria ni nani mwenye wajibu wa kushughulika na maafa kifedha na kitaalum? Kisheria aliyetengewa fedha ya kushughulika na masfa ya asili?
Je, ni vyama vya siasa? Au serikali?
Tano, je watu kutoa maoni, kukumbusha na ushauri jinsi zoezi la uokoaji linavyoendelea kupitia hapa mitandaoni ni jambo baya? Hata wewe ulivyo toa maoni yako hapa mtandaoni unafikiri umefanya vibaya?
Wanataka kuzungumzia sifa tuu. Nawaambia subirini sifa kemkem zitakazotolewa kwa kukatiza ziara ya Ughaibuni utadhani kafanya hisani. Kuna watu hata uwapige nyundo ya kichwa hawawezi kuzinduka akili zaoKwa hiyo uzembe wa serikali usizungumzwe?
Kila muhula majanga yale yale yanajirudia na kinachoendelea ni kupiga selfie za viongozi katikati ya majanga
Serikari ndiyo inakusanya kodi na tozo.Akufaae kwa dhiki ndio rafiki wa kweli.