Simiyu Yetu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2013
- 18,949
- 4,643
Napata shida sana juu ya CHADEMA ambacho kinajinasibu kuwa ni chama cha kutetea watanzania kumbe ni kundi la walaghai ambalo limejificha kwenye siasa kuendesha maisha yao na familia zao, hivi CHADEMA watatwambia nini baada ya hoja hizi kukosa mashiko?.
Ufisadi siyo hoja tena kwani viongozi wa CHADEMA ni vinara wa ufisadi kwa slaa kujikopesha hela za chama na kugoma kulipa, pia slaa alichukua hela za kanisa kinyume na utaratibu na bado hajakanusha popote.
Mbowe na Lema hawajawahi kusoma mapato na matumizi ya pesa wanazochangisha kwenye mikutano ya hadhara, je huu siyo ufisadi?
Sasa wameleta sera ya kupigana bungeni na kutukana hovyo na kutotii mamlaka ya kiti ngoja tuone hii nayo tamati yake ikoje.
CHADEMA sasa kwenye chama makundi kibao kundi la Mbowe, Slaa, Heche, Mwita, Zitto,
CHADEMA kinaongoza kuwanyima uhuru vijana ndani ya chama twajua sote Zitto, Shonza na mtela walivyofanyiwa ndani ya CHADEMA.
Wamevuruga bunge na kufanya kuwa na bunge la ngumi na matusi .
CHADEMA hawana jipya tena mwalimu alisema rais atatoka chama chochote kile lakini rais bora atatoka chama cha mapinduzi, kikubwa wakati wa CCM kuondoa mapungufu machache yaliyopo ili kiendelee kuwatumikia watu wake.