Masaburi bana Mtatiro ni mwalimu ana BA in Education, udsm. Anashindwa kufahamu maana ya neno "usaliti" ok why asiwaambie CCM ndio wanawasaliti? Cdm na ccm nani ana ndoa na cuf.
Bora tuwe wakweli Vyama vya siasa havitafika mbali kama havitokuwa na tabia ya kuachiana majimbo. Kama kweli CUF ina nguvu zaidi ya CDM basi CDM waiachie CUF Igunga vinginevyo ni kuwapa CCM ubwete wa kushinda.

Tatizo viongozi wetu wengi wanatumiwa vyama vikigundua hilo ccm ni kwishakazi ukitowa ushauli utaambia umetumwa au we nimagamba ukweli utabaki umimi utafanya ccm iendelele kupeta kwa kuchakachua au kujichakachua wenyewe cdm+cuf= ccm malehem igunga
Sheikh mbona umeitekanyara Avatar yangu! Au siye ni Mapacha!Kama hawana nguvu yoyote, haiwezekani wagawe kura. Kama wanaweza kugawa kura, basi wana nguvu. Something is missing katika kauli ya Mtatiro!

Mtatiro hajamwambia mwandishi yeyote kuhusu suala la usaliti wa chadema igunga.

Hutu aliyeleta mada hii aseme ni gazeti lipi na mwandishi yupi.

Pia mtatiro siyo mratibu wa kampeni za cuf igunga, mratibu wa kampeni zetu ni shaweji mketo, naibu mkurugenzi wa uchaguzi cuf taifa. Kuna watu humu wasipomshutumu mtatiro kwa maneno ya uongo na vijembe hawaoni raha. Mtatiro anabakia kuwa kiongozi makini na ambaye amesimamia historia ya mapambano na hadi leo hana rekodi ya udhaifu katika uongozi wake.

Mtatiro aliamua kujiunga cuf kwa utashi na akili yake na hakulazimishwa na mtu, kuwa kwake cuf kusiwe hoja kwa wanaoichukia cuf.

Mimi ni mohammed mtutuma - msaidizi maalumu wa mhe. Mtatiro
Kama Mtatiro ni mwanaume kweli atuambie nini maana ya OPERESHENI LIWALO NA LIWE???Ndoa ya kwanza ilikuwa kule Kigoma, sijui ya nani ile? hii ya CUF ya pili na imefana sana, wana makamu wa Rais. Unalo?

chadema chama cha kidini!!!!!!!!! ngoja nifanye uchunguzi.

Ameshaanza kutumika vibaya huyu bwana!Kauli yake yakuwa watawaeleza wana Igunga yote yaihusuyo CDM ni wazi kuwa wameamua kuisaidia CCM ishinde(wana ndoa hawa).....rejea jina la operesheni yao huko!

Mtatiro hajamwambia mwandishi yeyote kuhusu suala la usaliti wa chadema igunga.

Hutu aliyeleta mada hii aseme ni gazeti lipi na mwandishi yupi.

Pia mtatiro siyo mratibu wa kampeni za cuf igunga, mratibu wa kampeni zetu ni shaweji mketo, naibu mkurugenzi wa uchaguzi cuf taifa. Kuna watu humu wasipomshutumu mtatiro kwa maneno ya uongo na vijembe hawaoni raha. Mtatiro anabakia kuwa kiongozi makini na ambaye amesimamia historia ya mapambano na hadi leo hana rekodi ya udhaifu katika uongozi wake.

Mtatiro aliamua kujiunga cuf kwa utashi na akili yake na hakulazimishwa na mtu, kuwa kwake cuf kusiwe hoja kwa wanaoichukia cuf.

Mimi ni mohammed mtutuma - msaidizi maalumu wa mhe. Mtatiro

Huyu Jamaa kasahau kuwa yeye aliamua kuharibu pale Ubungo sema jimbo lile waimtabua kwamba jaaama anatumika na watu wa magamba na pale CUF yupo kimaslahi maana wenye akili wanajua kua baada ya Lwekatare kuondoka chama kilikosa mkristo so wakaona wamtumie maana yeye anatumia masaburi