Msulibasi
JF-Expert Member
- Dec 2, 2014
- 5,957
- 8,005
Wew hujui kitu ukiachilia tabora sehemu nyingine ambayo ACT itakuwa na ngome kubwa ni huko mtwara
Truvada wale jamaa wameteswa na kuhangaishwa wakiwa na CUF juu ya gesi watu hawana mda na chama kipya , kama ni uislamu CUF ni zaidi. Ukumbuke zk alialikwa na Lipumba nae akaalika wanachama wake na kuwapa coaster jamaa walitaka kuwafumua ila wakaombewa na Lipumba basi wakasamahewa na kuambiwa wakae kimya Lipumba alichukia sana hali hii ya zk kutaka kumzunguka alimponda sana kwenye media-kaka zk habebeki anaku-double-crosss dakika moja tu . Uliona Lipumba alipotangaza nia? mda mwingi alizungumzia mtwara na lindi.
Kaka nazifahamu hizi siasa nilionya ya mbeya watu wakasema sijui siasa naonya tena huko kusini kazi ipo bora cdm wanakuzomea tu , Cuf WAME-INVEST SANA HUKO KUSINI