CHADEMA wanaweweseka

CHADEMA wanaweweseka

CDM hawafanyi siasa za maji taka tena...
Wanajiandaa kuchukua nchi...
 
Musipombadilisha huyo malaika wenu mtatumia fedha nyingi kupiga ngumi ukuta. Wananchi wanataka kusikia ubovu wa serekali na CCM mkienda kuanza story za Mbowe wakati wananchi hawamsikii mbowe kuwataja mnabugi ndio zomea inaanza na p0lice hawawezi kuzuia mtu asizomewe.
Mbona wanahangaika sana,Mbowe hawajibiki kwa namna yoyote kwa uchumi au rushwa ilivyo kithiri kwa kuwa chama chake si chama tawala na wala hawakusanyi kodi.Ni chama cha upinzani cha ajabu tu kinaweza kumsuta Mbowe au Chadema.Kazi wanazo fanya ACT haitofautiani na ile anayo fanya Nape au Kinana.The good thing is wana nchi wame wa gundua na watazomewa kweli hadi wataziogopa jezi za Mbeya city
 
nani kakudanganya kwamba cuf wako tayari kuongozwa na padri!
Hawako tayari kwa Padre retired kwa kufuata kanuni bali nyie CCM mko tayari kuongozwa na Padre on duty Augustino Ramadhani?
 
kuzomea ni tabia ya kivuta bangi.na chadema kwao wameona hiyo ni sifa nzuri.nawahakikishia hakuna mvuta bangi atakayeingia ikulu.chadema ikulu mtaisikia tu.ngojeni muone mwaka huu mnabaki na wabunge wangapi.

Unadhani kura zinapigwa na familia yako tu?
 
CDM hawafanyi siasa za maji taka tena...
Wanajiandaa kuchukua nchi...
Hawajamaa ni wa ajabu kweli,eti wanaikataa zomea zomea ya mbeya eti zito alisha ondoka.Huyo Zito hajapata pata zomea zomea ya ukweli bado.Siku atakapo pata yenyewe,ata acha siasa siku hiyo hiyo.
 
Nimecheka sana jioni ya leo,waiter ebu niongezee hiyo castle bariiiidiiiiii
kweli Mshume Kiyate mijitu mingine ni MBWIGA kwelikweli
kumbe Mmawia inakunywa huku inajibu hovyohovyo tu mradi ni kupinga post yoyote against CHADEMA
KURA zikihesabiwa ndio wa kwanza kudai zimeibiwa
Mwenyekiti wake akimlabua Msimamizi wa uchaguzi kaonewa sio JINAI hiyo
badala ya kutetea au kupinga HOJA anarukia post yoyote
ngoja pommbe za ulanzi imuishie kichwani maana saahizianaweza niporomoshea matusi ya BAVICHA
 
Wewe endelea kumbwelambwela tu maana cdm kamwe hamto iweza,walishindwa wenye vitendea kazi!,itakuwa nyinyi vibaraka?
 
Itafuteni hii thread ya 2010 Kuna watu walikua na upeo wa hali ya juu sana chonde muiweke hapa tuisome nimechukua kipande ila tuiweke tuisome mtamjua mwema na mbaya tumechelewa sana .
[h=2]Re: Zitto: Nitagombea Ubunge 2010[/h]
quote_icon.png
By Fidel80

Watu mnachuki binafsi na Zitto mmmh!

zitto HANA LOLOTE LA MAANA!he is full of politics!hamna kitu kabisa,ngoja amalizie zile mil 100 za RA halafu tuone.........​

Ni hotuba zipi na za viongozi gani mahiri unaowasifu kuwa chadema wanaweweseka kutokana na hoja za act?? Au mtu mmoja ndani ya act sasa amebeba jina la viongozi mahiri ndani ya act??
 
Mkiambiwa nyie act ni wasaliti na pia ni watoto wa ccm mnatokwa na povu...kwa maneno yenu mnasema mnavunja ngome za vyama vya upinzani....yaan nyie ni wapumbavu sana na hamjielewi mnachokifanya...
Halafu mbona kilimanjaro na arusha hamuendi???
 
Hawako tayari kwa Padre retired kwa kufuata kanuni bali nyie CCM mko tayari kuongozwa na Padre on duty Augustino Ramadhani?

ccm watia nia 40 chadema mna mgombea wa maisha na mmeshamtawaza majukwaani padri Slaa. Hapo vipi!
 
ccm watia nia 40 chadema mna mgombea wa maisha na mmeshamtawaza majukwaani padri Slaa. Hapo vipi!

Ukiona utitiri wawatia nia kwenye chama kimoja ujue hakuna anayeaminiwa kuwavusha salama.Na kwa upande wapili hakuna binadamu anaweza kugombea maisha kuna nyakati na kukubalika kwa mtu
 
Ukiona utitiri wawatia nia kwenye chama kimoja ujue hakuna anayeaminiwa kuwavusha salama.Na kwa upande wapili hakuna binadamu anaweza kugombea maisha kuna nyakati na kukubalika kwa mtu

Hakuna cha nyakati za kukubalika mtu wala nini, hilo ni changa la macho tu,we kajaribu kusema Slaa asigombee usikie!
 
mimi nilikuwepo ni kweli Zito alizomewa Mbeya mjini na Tunduma. watu walipiga mayowe kwa kusema Yudaaaaaaaaa
 
ccm watia nia 40 chadema mna mgombea wa maisha na mmeshamtawaza majukwaani padri Slaa. Hapo vipi!
Hicho sasa kiherehere! Mbona Chadema mchakato haujaanza wewe unakuja na vioja? Huyo Slaa kagombea 2010 pekee unamwita wa maisha lakini watu kama Mwandosya ambao tokea 1995 wanatafuta nafasi hiyo huwashangai.
 
Back
Top Bottom