CHADEMA wanaweweseka

CHADEMA wanaweweseka

CHADEMA wanadhani wakipandikiza vijana wa kihuni kuzomea ndio watashinda uchaguzi, ni mawazo muflisi, msidhani.kuwa hata vyama vingine haviwezi kufanya mbinu za kupanga watu wa kumzome Slaa au.Mbowe lakini je ndio siasa za kistaarabu hizi? ngojeni oktoba dawa yenu inachemka.

Wakati huo tutakuwa ikulu
 
CHADEMA wanadhani wakipandikiza vijana wa kihuni kuzomea ndio watashinda uchaguzi, ni mawazo muflisi, msidhani.kuwa hata vyama vingine haviwezi kufanya mbinu za kupanga watu wa kumzome Slaa au.Mbowe lakini je ndio siasa za kistaarabu hizi? ngojeni oktoba dawa yenu inachemka.

Pole sana kwa kumbwela mbwela,cdm sasa hivi ndiyo habari ya nchini tanzania
 
Kwa hiyo Dkt mangungu unataka kusema kuwa chama Tawala CCM hivi sasa hofu yake iko kwa ACT maana hao wengine ni wa maonyesho? Unataka watu wenye akili waelewe hivyo?

Hao wanatumikia 700m
 
kuzomea ni tabia ya kivuta bangi.na chadema kwao wameona hiyo ni sifa nzuri.nawahakikishia hakuna mvuta bangi atakayeingia ikulu.chadema ikulu mtaisikia tu.ngojeni muone mwaka huu mnabaki na wabunge wangapi.

Naona siku ya kutangaza wabunge ndio utajitia kitanzi,andika kabisa wosia kwa watoto wako hata kama ni vishati vyako tu na yeboyebo tu
 
http://sundayshomari.com/2011/11/01/zito-kufanyiwa-upasuaji/
Watu hawaelewi tuu, ila tokea Zitto aende India na kufanyiwa upasuaji wa kichwa kwa ile malaria yake ambayo amesema ilimsumbua miaka kumi kumejitokeza tofauti kubwa sana za tabia na utendaji wake.
Mkuu upasuaji wa kichwa usipokuwa makini unaweza kuacha nati kadhaa katika ubongo zikiwa sio sawa, ila kwa vile kuna watu wana mahaba niue waweza kukuta badala ya kumshauri arudi akachunguzwe tena wao wanaona kila afanyacho ni sawa.

Mkuu kipindi kile alipelekwa na kwa kupitia ubunge wa cdm,leo hii atamjali nani? Hiyo ela ya kampeni anasubiri apewe na walio mtuma toka lumumba!
 
Kuna huyu member Mmawia.

Ni kiboko kwa kutuma post JF anaweza kuwa anaongoza.

Kila dakika moja anatuma post moja.
 
Last edited by a moderator:
Angalia huu wastani wake wa kutuma post.

1) 4:19

2) 4:20

3) 4:22

4) 4:23

5) 4:24

6) 4:25

7) 4:27

8) 4:29

10) 4:32


Hii speed siyo mchezo.
 
Wew hujui kitu ukiachilia tabora sehemu nyingine ambayo ACT itakuwa na ngome kubwa ni huko mtwara
Teeeeh,teeeeh,teeeeeh,mtwara hesabuni maumivu,ngome yenu ni mwandiga tu.
 
Wew hujui kitu ukiachilia tabora sehemu nyingine ambayo ACT itakuwa na ngome kubwa ni huko mtwara

Teeeeh,teeeeh,kwa mtwara msahau kabisa ngome yenu ni huko mwandiga na kayenzi.
 
Angalia huu wastani wake wa kutuma post.

1) 4:19

2) 4:20

3) 4:22

4) 4:23

5) 4:24

6) 4:25

7) 4:27

8) 4:29

10) 4:32


Hii speed siyo mchezo.

Nimecheka sana jioni ya leo,waiter ebu niongezee hiyo castle bariiiidiiiiii
 
CHADEMA WANAWEWESEKA

Baada ya ziara ya ACT Mbeya chama cha Demokrasia na maendeleo Chadema chazidi kuweweseka huku ngome zao zikiwa zinavunjwa kwa siasa na hotuba safi za wana ACT.

Chadema wametengeneza kipande cha video kinachoonesha watu kuzomea, ila hakioneshi anazomewa nani ingawa wao wanadai ni Zitto.

Kwa mujibu wa Afande Sele ni kwamba hawakuwa na ratiba ya mkutano Tunduma hivyo yeye na Zzk hawakushuka ndani ya gari, kauli ambayo imethibitishwa na wana ACT wengine waliokuwa katika msafara huo.

Mwanahabari wetu aliamua kuwatafuta wakazi wa Tunduma mkoani mbeya na kuwahoji juu ya hili.

Kijana mmoja aliyejulikana kwa jina la Mahenge Regan anadai wao ndio waliosimamisha msafara na kuomba wapatiwe hata neno moja, ndipo mwenyekiti wa ACT na katibu mkuu waliposhuka na kuongea machache kisha wakaondoka. Alipoulizwa kuhusu zomea zomea anasema kuna vijana wachache wa Chadema wakiongozwa na kada maarufu wa Chadema anayejulikana sana kwa jina Mdude Chadema ndio waliokuja na kutaka kuharibu ila Msafara ulikua ushaanza kuondoka.

Ikumbukwe mkakati wa zomea zomea Mbeya uliratibiwa na Mbunge wa Mbeya mjini Mbilinyi akisirikiana na Mary Mwanjerwa wa viti maalumu Ccm.

Kiongozi wa chama ACT Zitto amedai kutokushuka Tunduma na video hizozinazosambazwa ni muendelezo wa siasa chafu za Chadema.

Ikumbukwe pia moja ya mtihani waliopewa watangaza nia na wabunge wa Chadema ni kuhakikisha Ziara za ACT hazifanikiwi ili wapitishwe na chama kuelekea Uchaguzi mkuu, hili limeelezwa na kada mmoja wa Chadema aliyeombwa kuhifadhiwa jina kwa usalama wake.

Wananchi wa mkoani Mbeya wamesikitishwa sana kuhusishwa na uhuni huu unaoratibiwa na mbunge wao na kuonesha kuchoshwa na tabia zake za kuwafanya vijana wao misukule huku yeye anatengeneza pesa.

Mwandishi Huru
Mbeya

Always Lies will never prevail the truth.....nw kwa Uzi huu act ni branch ya massm.
 
Back
Top Bottom