Unahoji mambo ya Chaddema? Lazima watakutukana usitegemee kama watakupa majibu.
Sijui nikuite kijana au mzee kwani unaleta swali la kizushi! Kwa upande wa CHADEMA mtu aombi kuteuliwa kuwa mgombea wa nafasi ya urais bali huombwa kutokana na sifa na vigezo vinavyowekwa na wataalam elekezi ambao hufanya uchambuzi yakinifu kwa sifa za wanachama hai wa CHADEMA. Kigezo hiki cha kuombwa huepusha mtu kutoa rushwa ili kununua nafasi hii.
"Kim kardashian girls" i wish ungejua maana ya hao girls huku pande za Obama ni wa aina gani na wakoje halafu na ww umeji 'aka' si shangai ni ulimbukeni tu wa watz !

unachanganya mambo makusudi kwa kawa huna hoja,ni wapi nilipoji a.k.a. kama ulivyoandika?nukuu nionyeshe.Hiyo marekani yako wewe ya wapi uliwahi kumuona mtu anaitwa kwa au kutumia id yangu?
Na pia huko marekani kwako kuna kitu kinaitwa hivyo ulivyoandika kweli?eti "kim kardashians girls" jamani kama ki2 hukijui usikurupuke kujiandikia unaweza kuwa amabukeni wa marekani matokeo yake kama hivi
Jaribuni kuwa na fikra pana sio kujiamkia na kuandika ss unapouliza kitu ambacho kiko wazi kwenye katiba au wewe unaposema unaulizia mambo ya chadema hakuna atake kujibu. Kama mambo ya chadema hayamhusu anayaulizia ya nn
mzee acha hiyo utaiponza thread yangu ifungwe sasa hivi mods wamekuwa wakali sana kwenye threads zangu siku za hivi karibuni,leo sitaki kugombana nao kabisa ndio mana nimejitahidi sana kuweka vitu ambavyo wanapenda kusikia.
Hivi kwanini kila tukitaka kujua jambo kutoka chadema mnajaribu kufanya jitihada za makusudi kushut down mijadala,ila ingekuwa ni issue ya kujadili watu(Nape na lowassa kwa mfano)ndio mnapenda na kujiona great thinker kwa kujadili watu,tuache kujadili watu tujadili issues kama hili la katiba unadhani kila mtu ana muda wa kusoma katiba za vyama vyote mpaka tppp maendeleo n.k. tusadiani kwa mnaojua ya cdm si mtuambie
Wewe una makengeza hamna memba anayeitwa KIM KARDASHIAN ambaye amechangia huu mjadala.
kwa sabau unatoka mkoa ule ndio maana sisi hatutoki huko inabidi mtusaidie tuWewe si walewale tu? kwa maelezo yako hapo tumekugundua kuwa unapeleleza uhuru wetu! shida wanafki hamchelewi kujulikana
mzee acha hayo maneno yatakucost si unajua aina ya wake tuliona ni wake za watu..acha iyo aise mbaya kwako zaidi kuliko kwanguwanatumia rushwa ya ngono,pilau,buku kumikumi nk.
unachanganya mambo makusudi kwa kawa huna hoja,ni wapi nilipoji a.k.a. kama ulivyoandika?nukuu nionyeshe.Hiyo marekani yako wewe ya wapi uliwahi kumuona mtu anaitwa kwa au kutumia id yangu?
Na pia huko marekani kwako kuna kitu kinaitwa hivyo ulivyoandika kweli?eti "kim kardashians girls" jamani kama ki2 hukijui usikurupuke kujiandikia unaweza kuwa amabukeni wa marekani matokeo yake kama hivi
Wanawa-consult maaskofu