Chadema wanatumia utaratibu gani kumpata mgombea urais?

"Head Hunting". Soko la siasa. Unajua chama hiki kina mizizi mizito na waasisi wake ambao wote ni wafanyabiashara na wajasiriamali. Teuzi zake ni za kibiashara zaidi. Sasa hivi wamo wanasiasa wachache mle akina Zitto na Mnyika.
 
Nadhani katiba ya chama inalisema hili but kwa ufupi kamati kuu ya chama inateua!!!!!!
 
Unahoji mambo ya Chaddema? Lazima watakutukana usitegemee kama watakupa majibu.

Jaribuni kuwa na fikra pana sio kujiamkia na kuandika ss unapouliza kitu ambacho kiko wazi kwenye katiba au wewe unaposema unaulizia mambo ya chadema hakuna atake kujibu. Kama mambo ya chadema hayamhusu anayaulizia ya nn
 
Sijui nikuite kijana au mzee kwani unaleta swali la kizushi! Kwa upande wa CHADEMA mtu aombi kuteuliwa kuwa mgombea wa nafasi ya urais bali huombwa kutokana na sifa na vigezo vinavyowekwa na wataalam elekezi ambao hufanya uchambuzi yakinifu kwa sifa za wanachama hai wa CHADEMA. Kigezo hiki cha kuombwa huepusha mtu kutoa rushwa ili kununua nafasi hii.

wewe atleast umetoa darasa linaloeleweka japo kama kawaida ulianza na ukinega asili lakini kumbe ulikua na jambo zuri angalau tumejua jinsi mnavyowapata candidate wenu.

swali la nyongeza sasa wataalam elekezi ndio waliowaelekeza "kitaalam" mumteua yule mgombea mwenza mliyelazimika kumkimbizia mafichoni au?
 
"Kim kardashian girls" i wish ungejua maana ya hao girls huku pande za Obama ni wa aina gani na wakoje halafu na ww umeji 'aka' si shangai ni ulimbukeni tu wa watz !

Wewe una makengeza hamna memba anayeitwa KIM KARDASHIAN ambaye amechangia huu mjadala.
 
"Kim kardashian girls" i wish ungejua maana ya hao girls huku pande za Obama ni wa aina gani na wakoje halafu na ww umeji 'aka' si shangai ni ulimbukeni tu wa watz !

unachanganya mambo makusudi kwa kawa huna hoja,ni wapi nilipoji a.k.a. kama ulivyoandika?nukuu nionyeshe.Hiyo marekani yako wewe ya wapi uliwahi kumuona mtu anaitwa kwa au kutumia id yangu?

Na pia huko marekani kwako kuna kitu kinaitwa hivyo ulivyoandika kweli?eti "kim kardashians girls" jamani kama ki2 hukijui usikurupuke kujiandikia unaweza kuwa wewe kumbe ndio limbukeni wa mambo ya marekani matokeo yake kama hivi
 
Sijui nikuite kijana au mzee kwani unaleta swali la kizushi! Kwa upande wa CHADEMA mtu aombi kuteuliwa kuwa mgombea wa nafasi ya urais bali huombwa kutokana na sifa na vigezo vinavyowekwa na wataalam elekezi ambao hufanya uchambuzi yakinifu kwa sifa za wanachama hai wa CHADEMA. Kigezo hiki cha kuombwa huepusha mtu kutoa rushwa ili kununua nafasi hii.

Hao wataalam elekezi wanachaguliwa na nani? je huwa nao wanaomba kuchaguliwa kwa kugombania ?
 
unachanganya mambo makusudi kwa kawa huna hoja,ni wapi nilipoji a.k.a. kama ulivyoandika?nukuu nionyeshe.Hiyo marekani yako wewe ya wapi uliwahi kumuona mtu anaitwa kwa au kutumia id yangu?

Na pia huko marekani kwako kuna kitu kinaitwa hivyo ulivyoandika kweli?eti "kim kardashians girls" jamani kama ki2 hukijui usikurupuke kujiandikia unaweza kuwa amabukeni wa marekani matokeo yake kama hivi

teh teh teh! "Kim kardashians girls"

Huyo inaonesha huko Marekani anayokaa yeye haina mambo ya TV za cable.
 
Jaribuni kuwa na fikra pana sio kujiamkia na kuandika ss unapouliza kitu ambacho kiko wazi kwenye katiba au wewe unaposema unaulizia mambo ya chadema hakuna atake kujibu. Kama mambo ya chadema hayamhusu anayaulizia ya nn

hakuna mahali huwa mnachemka wana cdm kama kudhanichadema ni ya watu wachache fulani tu,iko ni chama cha kitaifa yeyote anaweza kujiunga nacho,nadini sera na katiba ya chama chenu kupata wafuasi wapya kila siku,sio kukalia hiki chetu wale hakiwahusu ndio mana wapinzani wenu wanasema iko chama cha kabila fulani kutokana na mnavyojifungia wenyewe
 
Uwe na undugu wa karibu na mtei, uwe unatokea mikoa ya kaskazini na la mwisho ukiwa padre ni added advantage.
Karibu kugombea kama una sifa
 
mzee acha hiyo utaiponza thread yangu ifungwe sasa hivi mods wamekuwa wakali sana kwenye threads zangu siku za hivi karibuni,leo sitaki kugombana nao kabisa ndio mana nimejitahidi sana kuweka vitu ambavyo wanapenda kusikia.

Wewe si walewale tu? kwa maelezo yako hapo tumekugundua kuwa unapeleleza uhuru wetu! shida wanafki hamchelewi kujulikana
 
Hivi kwanini kila tukitaka kujua jambo kutoka chadema mnajaribu kufanya jitihada za makusudi kushut down mijadala,ila ingekuwa ni issue ya kujadili watu(Nape na lowassa kwa mfano)ndio mnapenda na kujiona great thinker kwa kujadili watu,tuache kujadili watu tujadili issues kama hili la katiba unadhani kila mtu ana muda wa kusoma katiba za vyama vyote mpaka tppp maendeleo n.k. tusadiani kwa mnaojua ya cdm si mtuambie

Wewe hutakiwai kujua maan uko kundi la Wanafki! ukirekebika utayajua tu maana wenzako hayo kwa sasa hayatuumizi kabisa
 
Wewe una makengeza hamna memba anayeitwa KIM KARDASHIAN ambaye amechangia huu mjadala.

hilo ndilo tatizo la mtu kutoka kijijini kwenda moja kwa moja ughaibuni bila kuishi mjini angalau hata miezi mitatu,yani mjini alipita kupanda ndege tu..achana nae kamanda ni mtiririko wa vinega tu huo usiwajali na chama chao utawaeleza nini?
 
Wewe si walewale tu? kwa maelezo yako hapo tumekugundua kuwa unapeleleza uhuru wetu! shida wanafki hamchelewi kujulikana
kwa sabau unatoka mkoa ule ndio maana sisi hatutoki huko inabidi mtusaidie tu
 
unachanganya mambo makusudi kwa kawa huna hoja,ni wapi nilipoji a.k.a. kama ulivyoandika?nukuu nionyeshe.Hiyo marekani yako wewe ya wapi uliwahi kumuona mtu anaitwa kwa au kutumia id yangu?

Na pia huko marekani kwako kuna kitu kinaitwa hivyo ulivyoandika kweli?eti "kim kardashians girls" jamani kama ki2 hukijui usikurupuke kujiandikia unaweza kuwa amabukeni wa marekani matokeo yake kama hivi

tatizo la kutokujua ...
 
mtei akisema fulani agombee anagombea, kwani siri?

uliza kama wanachama walihusika kumpata slaa, leo hii slaa kaharibu chama kuliko kawaida
 
Mapadre wastaafu/ walioasi wako wengi tu na automatically wanakuwa wame qualify bila ya kipingamizi kuwa candidates.

CrusaDer's Movement
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom