Chadema wanatumia utaratibu gani kumpata mgombea urais?

wewe unahoji vipi hiki chama cha kikanda, kikabila na kidini? kuwa makini vitu vingine si vya kuhoji kabisa kwa baadhi ya vyama. yule boya wao muuza genge aka mgombea mwenza unamsikia siku hizi? hapo ndo ujue kwamba aliokotwa tu njiani.
 
serious jamani yule mgombea wetu mwenza yuko wapi siku hizi mbona hasikiki hata kwenye kampeni za ubunge kule uzini ambako ndiko maeneo yake ya kujidai hatukumsikia kabisa
 
mtei akisema fulani agombee anagombea, kwani siri?

uliza kama wanachama walihusika kumpata slaa, leo hii slaa kaharibu chama kuliko kawaida

mi bwana kusema ukweli siku hizi nimekua muoga sana kumuongelea dr. kuna watu hawapendi kabisa kusikia akisemwa vibaya hata kama ni ukweli,dk kaborou enzi zake akiwa katibu mkuu pale hakuwa mpiga mayowe bali alifanya siasa kisayansi hakuwa mtu wa kupenda kushangiliwa hata bila sababu.
 
Mzee Kim kardash mbona hii thread unajadili peke yako.

mbona wewe ni mmoja wapo?

yani unasema hivyo kwa kuwa inakuudhi sio?jifunze kuwa mvumilivu wa maoni tofauti hata usiyoyapenda,watu wote hao waliojitokeza kujadili unadhani ni mimi kwa id tofauti tofauti?

haya mwingine huyo kakujibu hapo juu,nae ni mimi?
 
Fanya kaz uongeze kipato,hizo hela za Nape zitakutokea puani,keshakuharibu masaburi..
 
Back
Top Bottom