Kimwakaleli
JF-Expert Member
- Apr 16, 2018
- 3,896
- 5,349
Tupo kwenye maombi ya mwenyekiti!pia chanjo ni hiari.Ndugu wanajamvi..kwa mjibu wa uachaguzi wa 2020..mashabiki wa Chadema ni million5 na zaidi..na kwa mjibu wa viongozi wa Chadema walisema chanjo ni muhimu na ni lazima kila mtu kulazimishwa kuchanjwa kitu amabcho ni kizuri.Swali..nikwanini hadi sasa waliochanjwa ni laki 3.50 wakati kama chadema kwa umoja wao wangejitokeza kwenda kuchanywa ingeonyesha kiwa hii chanjo ni bora sana..Kwa sbab wananch wa kawaida hawachanji kwa sbb hawaiamni CCM hivyo nilitarajia CHadema ikaanzishq makongamano ya kuhamasisha wanachama na wapenzi wao kuchanja hapo tungeuona umaja ulw wa kutaka maandamano na mambo ya katiba yanaleta mawndeleo zaidi.So kwanini makongamano hayawatumii mashabiki kwenda kuchanja?