baada ya wabunge wa CUF kususia hotuba za Rais wa Zenji miaka iliyopita na Maalim Sefu kuwa na mazungumzo na balozi za USA na EU na matokeo yake ni miafaka hewa na mwisho ni maridhiano ya kuunda serikali ya umoja wa kitaifa!
Jee, kususia hotuba ya Rais Jk, inamaana Chadema wanataka kufuata nyayo za Cuf ili kuwa na miafaka na baadae kuunda serikali ya mseto miaka ya baadae? Maana tumeshaona slaa akitembelea balozi za Amerika na kufanya mazungumzo ya siri na umoja wa ulaya!