Chadema wanatafuta muafaka?

Kadogoo

JF-Expert Member
Feb 26, 2007
2,073
341
baada ya wabunge wa CUF kususia hotuba za Rais wa Zenji miaka iliyopita na Maalim Sefu kuwa na mazungumzo na balozi za USA na EU na matokeo yake ni miafaka hewa na mwisho ni maridhiano ya kuunda serikali ya umoja wa kitaifa!

Jee, kususia hotuba ya Rais Jk, inamaana Chadema wanataka kufuata nyayo za Cuf ili kuwa na miafaka na baadae kuunda serikali ya mseto miaka ya baadae? Maana tumeshaona slaa akitembelea balozi za Amerika na kufanya mazungumzo ya siri na umoja wa ulaya!
 
Muafaka wa Zanzibar umekuja baada ya wafuasi wa cuf kupoteza maisha yao na wengine kuwa wakimbizi Kenya na Somalia, hivyo kama wafuasi wa chadema wakotayari kujitoa mhanga na kuhimili misukosuko ya kisiasa kama walivyopitia akina Ngangari basi labda kutakuwa na uwezekano wa kuunda Serikali ya mseto wa CCM na Chadema! vinginevyo chadema wasahau kutawala TZ!!!!
 
Chadema always siwakurupukaji niwasomi wenye uelewa mpana"hawakuanza na mdrasa wao walianza na chekechea"hivyo wanachokifanya siyokuiga cuf chadema the're thinking big!wanamdhihirishia JK kwamba ushindi ulilnao chadema haiukubali ila lazima tuwatumikie wananchi waliotuchagua lakini siyo kukusikiliza wewe ambaye unaushindi tata.
 
chadema always siwakurupukaji niwasomi wenye uelewa mpana"hawakuanza na mdrasa wao walianza na chekechea"hivyo wanachokifanya siyokuiga cuf chadema the're thinking big!wanamdhihirishia jk kwamba ushindi ulilnao chadema haiukubali ila lazima tuwatumikie wananchi waliotuchagua lakini siyo kukusikiliza wewe ambaye unaushindi tata.

sijui lengo lako ni nini kuleta issue za madrasa na chekechea ktk topic hii ila kuhusu chadema na kuwatumikia wananchi hilo litategemea dhamira zao na namna watakavyo fanya kazi na wananchi kwani hata cuf walikuwa wakichaguliwa huko visiwani kila wakati wa uchaguzi lakini wabunge wao walikuwa wakisusia hotuba za karume na hiyo haimaanishi kuwa hawakuwa wakiwatumikia wananchi!!!!!

sasa swali langu bado hujalijibu, jee, chadema wako ktk mchakato wa kutafuta muafaka na ccm ili kuingia madarakani kama wenzao wa cuf visiwani? Habari za madrasa na chekechea sijui zinaingiaje hapa!!!!
 
muafaka wa zanzibar umekuja baada ya wafuasi wa cuf kupoteza maisha yao na wengine kuwa wakimbizi kenya na somalia, hivyo kama wafuasi wa chadema wakotayari kujitoa mhanga na kuhimili misukosuko ya kisiasa kama walivyopitia akina ngangari basi labda kutakuwa na uwezekano wa kuunda serikali ya mseto wa ccm na chadema! Vinginevyo chadema wasahau kutawala tz!!!!

sidhani kama chadema watakuwa tayari kujiunga na serikali ya umoja wa kitaifa maana huo ndio utakuwa mwisho wa upinzani tz na tutarudi kule kule kwenye chama cha shika hatamu!!!!!
 
baada ya wabunge wa CUF kususia hotuba za Rais wa Zenji miaka iliyopita na Maalim Sefu kuwa na mazungumzo na balozi za USA na EU na matokeo yake ni miafaka hewa na mwisho ni maridhiano ya kuunda serikali ya umoja wa kitaifa!

Jee, kususia hotuba ya Rais Jk, inamaana Chadema wanataka kufuata nyayo za Cuf ili kuwa na miafaka na baadae kuunda serikali ya mseto miaka ya baadae? Maana tumeshaona slaa akitembelea balozi za Amerika na kufanya mazungumzo ya siri na umoja wa ulaya!

Chadema hawako tayari kushirikishwa kwenye serikali ya Kifisadi na mafisadi
 
Muafaka wa Zanzibar umekuja baada ya wafuasi wa cuf kupoteza maisha yao na wengine kuwa wakimbizi Kenya na Somalia, hivyo kama wafuasi wa chadema wakotayari kujitoa mhanga na kuhimili misukosuko ya kisiasa kama walivyopitia akina Ngangari basi labda kutakuwa na uwezekano wa kuunda Serikali ya mseto wa CCM na Chadema! vinginevyo chadema wasahau kutawala TZ!!!!

Sasa CCM wanapotudanganya kuwa TZ ni kisiwa cha amani sijui wana maana gani?? Kumbe kuna waTZ wanaona bora waishi Somalia kuliko TZ!
 
Yaani ni bora punda afe mzigo ufike.
Hakuna cha mwafaka hapo.
Chadema ikomboeni Tanzania kutoka mikononi mwa mafisadi.
 
Back
Top Bottom