HahahahMliropoka hapa kwamba chadema haina hela kwahiyo mikutano haitafanyika. Naona mmeanza kuingiwa hofu tena.
Chama kiko mioyoni mwa watu. Kipa kitu kinaendeshwa na watu.
Unataka kusema wanaiba kama vile ccm wanavyosafirisha maliasili zetu kwenda arabuni?Ishu ya kufanya mikutano sio kazi ndogo ni ishu kubwa hasa inahitaji pesa sio tu pesa pesa haswa kutoka huku na huko zikusanywe ziwe mingi mfanye jambo.
Kuna vyama hata ile mikutano ya kusimama kwenye vituo vya dala dala hawawezi, ACT wazalendo licha ya kuwa ndani ya serikali hawawezi wapo wapo tu, swali ni je CHADEMA wanapata wapi pesa za kuzunguka nchi nzima kwa mikutano mikubwa na majukwaa ya kisasa?
Hili ni swali kama huna jibu kaa kimya tena kwa kutulia?
Hawana ruzuku kwa sasa?
Siwasikii wakichangishwa pesa mikutanoni kama zamani?
Hakuna taarifa yoyote ile ya wanachama kuwa chama kimepokea msaada kutoka nje hasa Ujerumani?
Tuliambiwa Mbowe aliyekuwa anatumia pesa zake binafsi kuwakopesha kisha anajilipa baadae amefirisiwa na serkali ya Magufuli na kubaki apeche alolo yupo yeye na gwanda zake tu?
Hawana wabunge walikuwa wanawachaji milioni kila mwezi?
Hawana madiwani wala halmashauri wanazo ongoza?
Tetesi;
Je, wamepewa pesa na serikali ya CCM (pesa za walipa kodi)?
Je, wameamua kumuangukia msajili na sasa wanachukua ruzuku ya Covid-19 kimya kimya?
USSR
Wanaiba!!Ishu ya kufanya mikutano sio kazi ndogo ni ishu kubwa hasa inahitaji pesa sio tu pesa pesa haswa kutoka huku na huko zikusanywe ziwe mingi mfanye jambo.
Kuna vyama hata ile mikutano ya kusimama kwenye vituo vya dala dala hawawezi, ACT wazalendo licha ya kuwa ndani ya serikali hawawezi wapo wapo tu, swali ni je CHADEMA wanapata wapi pesa za kuzunguka nchi nzima kwa mikutano mikubwa na majukwaa ya kisasa?
Hili ni swali kama huna jibu kaa kimya tena kwa kutulia?
Hawana ruzuku kwa sasa?
Siwasikii wakichangishwa pesa mikutanoni kama zamani?
Hakuna taarifa yoyote ile ya wanachama kuwa chama kimepokea msaada kutoka nje hasa Ujerumani?
Tuliambiwa Mbowe aliyekuwa anatumia pesa zake binafsi kuwakopesha kisha anajilipa baadae amefirisiwa na serkali ya Magufuli na kubaki apeche alolo yupo yeye na gwanda zake tu?
Hawana wabunge walikuwa wanawachaji milioni kila mwezi?
Hawana madiwani wala halmashauri wanazo ongoza?
Tetesi;
Je, wamepewa pesa na serikali ya CCM (pesa za walipa kodi)?
Je, wameamua kumuangukia msajili na sasa wanachukua ruzuku ya Covid-19 kimya kimya?
USSR
nguvu ya chadema si dola kama ccm bali wanachama ambao ndiyo wanaiendesha kwa michango ya kila wakati midogo midogo kwa kutumia hata mobile money au kuweka benki.Ishu ya kufanya mikutano sio kazi ndogo ni ishu kubwa hasa inahitaji pesa sio tu pesa pesa haswa kutoka huku na huko zikusanywe ziwe mingi mfanye jambo.
Kuna vyama hata ile mikutano ya kusimama kwenye vituo vya dala dala hawawezi, ACT wazalendo licha ya kuwa ndani ya serikali hawawezi wapo wapo tu, swali ni je CHADEMA wanapata wapi pesa za kuzunguka nchi nzima kwa mikutano mikubwa na majukwaa ya kisasa?
Hili ni swali kama huna jibu kaa kimya tena kwa kutulia?
Hawana ruzuku kwa sasa?
Siwasikii wakichangishwa pesa mikutanoni kama zamani?
Hakuna taarifa yoyote ile ya wanachama kuwa chama kimepokea msaada kutoka nje hasa Ujerumani?
Tuliambiwa Mbowe aliyekuwa anatumia pesa zake binafsi kuwakopesha kisha anajilipa baadae amefirisiwa na serkali ya Magufuli na kubaki apeche alolo yupo yeye na gwanda zake tu?
Hawana wabunge walikuwa wanawachaji milioni kila mwezi?
Hawana madiwani wala halmashauri wanazo ongoza?
Tetesi;
Je, wamepewa pesa na serikali ya CCM (pesa za walipa kodi)?
Je, wameamua kumuangukia msajili na sasa wanachukua ruzuku ya Covid-19 kimya kimya?
USSR
Kwa mara ya kwanza tangu nikufahamu leo umeuliza swali zuri mno ! Hongera sana , sasa tukirudi kwenye swali lako nitajaribu kukusaidia ili upate majibu , usiogope ni rahisi sana .Ishu ya kufanya mikutano sio kazi ndogo ni ishu kubwa hasa inahitaji pesa sio tu pesa pesa haswa kutoka huku na huko zikusanywe ziwe mingi mfanye jambo.
Kuna vyama hata ile mikutano ya kusimama kwenye vituo vya dala dala hawawezi, ACT wazalendo licha ya kuwa ndani ya serikali hawawezi wapo wapo tu, swali ni je CHADEMA wanapata wapi pesa za kuzunguka nchi nzima kwa mikutano mikubwa na majukwaa ya kisasa?
Hili ni swali kama huna jibu kaa kimya tena kwa kutulia?
Hawana ruzuku kwa sasa?
Siwasikii wakichangishwa pesa mikutanoni kama zamani?
Hakuna taarifa yoyote ile ya wanachama kuwa chama kimepokea msaada kutoka nje hasa Ujerumani?
Tuliambiwa Mbowe aliyekuwa anatumia pesa zake binafsi kuwakopesha kisha anajilipa baadae amefirisiwa na serkali ya Magufuli na kubaki apeche alolo yupo yeye na gwanda zake tu?
Hawana wabunge walikuwa wanawachaji milioni kila mwezi?
Hawana madiwani wala halmashauri wanazo ongoza?
Tetesi;
Je, wamepewa pesa na serikali ya CCM (pesa za walipa kodi)?
Je, wameamua kumuangukia msajili na sasa wanachukua ruzuku ya Covid-19 kimya kimya?
USSR
ACHA KUULIZA MASWALI YA JELA Wote tupo JF nenda kawaulize wahusikaIshu ya kufanya mikutano sio kazi ndogo ni ishu kubwa hasa inahitaji pesa sio tu pesa pesa haswa kutoka huku na huko zikusanywe ziwe mingi mfanye jambo.
Kuna vyama hata ile mikutano ya kusimama kwenye vituo vya dala dala hawawezi, ACT wazalendo licha ya kuwa ndani ya serikali hawawezi wapo wapo tu, swali ni je CHADEMA wanapata wapi pesa za kuzunguka nchi nzima kwa mikutano mikubwa na majukwaa ya kisasa?
Hili ni swali kama huna jibu kaa kimya tena kwa kutulia?
Hawana ruzuku kwa sasa?
Siwasikii wakichangishwa pesa mikutanoni kama zamani?
Hakuna taarifa yoyote ile ya wanachama kuwa chama kimepokea msaada kutoka nje hasa Ujerumani?
Tuliambiwa Mbowe aliyekuwa anatumia pesa zake binafsi kuwakopesha kisha anajilipa baadae amefirisiwa na serkali ya Magufuli na kubaki apeche alolo yupo yeye na gwanda zake tu?
Hawana wabunge walikuwa wanawachaji milioni kila mwezi?
Hawana madiwani wala halmashauri wanazo ongoza?
Tetesi;
Je, wamepewa pesa na serikali ya CCM (pesa za walipa kodi)?
Je, wameamua kumuangukia msajili na sasa wanachukua ruzuku ya Covid-19 kimya kimya?
USSR
Ikikusanya kodi pesa zinakuwa za kwake, eti??Ndio inakusanya kodi
USSR
Umejibu vema mtumishi.Mliropoka hapa kwamba chadema haina hela kwahiyo mikutano haitafanyika. Naona mmeanza kuingiwa hofu tena.
Chama kiko mioyoni mwa watu. Kila kitu kinaendeshwa na watu.