CHADEMA, wananchi wamewachoka mtashindwa zaidi 2020. Hamna sera shawishi

Hatimae kipigo kimeendelezwa konondoni naamini kinafuatia kingine siha kuna haja CHADEMA mjitathimin aina ya siasa zenu yawezekana kuna kitu wapiga Kura hawa bado hawawaelewi au bado mna siasa za mwaka 47

CHADEMA ya SLAA sio ya sasa hii ya sasa nadhani NI mpya inayo elekea shimoni

CCM inapendwa kwa sera sio mtu
Ni ngumu kuamini huu upuuzi umeandikwa na mtu au wale samaki aina ya "Changudoa"!
 
Ujuha ni mzigo mzito sana.

Hatimae kipigo kimeendelezwa konondoni naamini kinafuatia kingine siha kuna haja CHADEMA mjitathimin aina ya siasa zenu yawezekana kuna kitu wapiga Kura hawa bado hawawaelewi au bado mna siasa za mwaka 47

CHADEMA ya SLAA sio ya sasa hii ya sasa nadhani NI mpya inayo elekea shimoni

CCM inapendwa kwa sera sio mtu
 
Hatimae kipigo kimeendelezwa konondoni naamini kinafuatia kingine siha kuna haja CHADEMA mjitathimin aina ya siasa zenu yawezekana kuna kitu wapiga Kura hawa bado hawawaelewi au bado mna siasa za mwaka 47

CHADEMA ya SLAA sio ya sasa hii ya sasa nadhani NI mpya inayo elekea shimoni

CCM inapendwa kwa sera sio mtu

Hapa sio swala la siasa za mwaka 47 labda ungeniambia ccm ningekuelewa ila bila ya katiba mpya usitegemee miujiza!
 
Nashukuru Mungu kwa yote yanayoendelea. Najua hata wao wameoa ila ni kwa vile tu wamepewa upofu haya hawawezi kuyaona. Ila kisasi ni juu ya Mungu aliye mbinguni. Tunashukuru na kuomba katika jina la Yesu kristu Amina.
 
Hatimae kipigo kimeendelezwa konondoni naamini kinafuatia kingine siha kuna haja CHADEMA mjitathimin aina ya siasa zenu yawezekana kuna kitu wapiga Kura hawa bado hawawaelewi au bado mna siasa za mwaka 47

CHADEMA ya SLAA sio ya sasa hii ya sasa nadhani NI mpya inayo elekea shimoni

CCM inapendwa kwa sera sio mtu
Kwa hiyo unawaringishia,umenufaika nini uchaguzi huu hata ishinde chadema au ccm wewe raia unapata nini huku uchaguzi umegharimu bilions of money huku barabara mbovu wakidai hakuna pesa leo unafurahia mwansume mwenzio kuenda kula mihela ya bure.
 
walikosea sana kimsafisha mtu waliye mtuhumu kwa tuhuma lukuki kuwa mgombea.urais na hapo ndio mistake kubwa ilipo fanyika
I like this lakini umenishangaza kidogo.

Siku zote nilidhani wewe ni timu-gwanda. Au nadhani uzee unakula ubongo wangu.

Hapa nakubaliana na wewe %.
 
Hivi 2015 ambapo ndio cahdema ilizoa wabunge wengi na kura milion 6 ukiacha zilizoibiwa Slaa alikuwepo?
Walipa kura hizo kwasababu ya lowasa cha ajabu lowasa mwenyewe anampongeza magufuri na serikali yake .
 
Hatimae kipigo kimeendelezwa konondoni naamini kinafuatia kingine siha kuna haja CHADEMA mjitathimin aina ya siasa zenu yawezekana kuna kitu wapiga Kura hawa bado hawawaelewi au bado mna siasa za mwaka 47

CHADEMA ya SLAA sio ya sasa hii ya sasa nadhani NI mpya inayo elekea shimoni

CCM inapendwa kwa sera sio mtu
CCM haipendwi kamwe
Na Chadema hawajielewi
Kwa hio wananchi hawaoni hata wawachague kwa lipi.
In short watu wako confused
Na ni matokeo ya vituko vya mwaka 2015
 
Anyone who counts on whining as a political strategy puts himself or herself on an election losing streak.

CDM needs a clean slate; current egocentric leaders must be replaced with more effective leaders to regain the party’s lost ground!
like father slaa and profisi lipum!!!! sic
 
Back
Top Bottom