CHADEMA, wananchi wamewachoka mtashindwa zaidi 2020. Hamna sera shawishi

Hatimae kipigo kimeendelezwa konondoni naamini kinafuatia kingine siha kuna haja CHADEMA mjitathimin aina ya siasa zenu yawezekana kuna kitu wapiga Kura hawa bado hawawaelewi au bado mna siasa za mwaka 47

CHADEMA ya SLAA sio ya sasa hii ya sasa nadhani NI mpya inayo elekea shimoni

CCM inapendwa kwa sera sio mtu
CCM imechokwa na inaonekana kama kinyesi cha mbwa. Muishukuru tume na policcm kuwaweka madarakani kwa nguvu.
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Hatimae kipigo kimeendelezwa konondoni naamini kinafuatia kingine siha kuna haja CHADEMA mjitathimin aina ya siasa zenu yawezekana kuna kitu wapiga Kura hawa bado hawawaelewi au bado mna siasa za mwaka 47

CHADEMA ya SLAA sio ya sasa hii ya sasa nadhani NI mpya inayo elekea shimoni

CCM inapendwa kwa sera sio mtu
Wewe kama wewe toka rohoni mwako Mungu ana kuona, was it fair election???
 
Hatimae kipigo kimeendelezwa konondoni naamini kinafuatia kingine siha kuna haja CHADEMA mjitathimin aina ya siasa zenu yawezekana kuna kitu wapiga Kura hawa bado hawawaelewi au bado mna siasa za mwaka 47

CHADEMA ya SLAA sio ya sasa hii ya sasa nadhani NI mpya inayo elekea shimoni

CCM inapendwa kwa sera sio mtu
Chadema ya sasa ndiyo ccm ya wakati uliyopita.

1. Kwa nguvu zote chadema ilipinga ufisadi. Lakini sasa fisadi akifikishwa mahakamani cdm wanampa wakiri wa kumtetea tena wakiilaumu serikali ya kuwa ni ya visasi.

2. Chadema iliwachukia majizi ya mali ya umma. Kwa sasa chadema imekuwa ni pango la kujificha majizi ya mali za umma.
 
Hatimae kipigo kimeendelezwa konondoni naamini kinafuatia kingine siha kuna haja CHADEMA mjitathimin aina ya siasa zenu yawezekana kuna kitu wapiga Kura hawa bado hawawaelewi au bado mna siasa za mwaka 47

CHADEMA ya SLAA sio ya sasa hii ya sasa nadhani NI mpya inayo elekea shimoni

CCM inapendwa kwa sera sio mtu
Ukweli wanaujua ila wananywea na serengeti hiyo mijamaa ujuaji ni mwingi na jazba za kipumbavu teknics kwenye siasa hawana wamebaki na cheap politics,wanajiona wao ndo wameenda shule kupita wengine shwaiiiin.
 
Mbowe aliyesababisha Aquiline kupoteza maisha kwa sasa anatanua na kutumbua ruzuku ya chama.
Upo naye bar gani nije nikununulie japo balimi moja maana umezoea kununuliwa vinywaji na ukishaleweshwa yanayofuata ni siri yako na aliyekununulia! Kama hivi upo na Mbowe sikushangai. Endeleeni kuitumbua hiyo ruzuku uliyoibeba nyuma yako!
 
Kamfuate pale ufipa utamwona.
 
Hatimae kipigo kimeendelezwa konondoni naamini kinafuatia kingine siha kuna haja CHADEMA mjitathimin aina ya siasa zenu yawezekana kuna kitu wapiga Kura hawa bado hawawaelewi au bado mna siasa za mwaka 47

CHADEMA ya SLAA sio ya sasa hii ya sasa nadhani NI mpya inayo elekea shimoni

CCM inapendwa kwa sera sio mtu
Kweli aisee cdm ya padre slaa Siyo ya leo kwa sababu haina unafiki
 
Hatimae kipigo kimeendelezwa konondoni naamini kinafuatia kingine siha kuna haja CHADEMA mjitathimin aina ya siasa zenu yawezekana kuna kitu wapiga Kura hawa bado hawawaelewi au bado mna siasa za mwaka 47

CHADEMA ya SLAA sio ya sasa hii ya sasa nadhani NI mpya inayo elekea shimoni

CCM inapendwa kwa sera sio mtu
Ila 2015 tuliambiwa tuchague MTU na si ccm,vipi wakati huo Sera zilikuwa zimeenda likizo? Anyway hongereni ccm kwa kuwa na sera
 
kama unaona hakuna haki mahakama zipo nendeni msitupigie kelele hapa
No one rules forever... Itafika siku tu.. Ningeomba hata yule aliyepigwa risasi angekuwa Dada yako..au Mwanao sidhan kama Ungekuja Kuandika Uozo huu hapa
 
kwani aliye pigwa. risasi ndio ameiletea CCM. Ushindi? au sijaielewa hoja yako
Tatizo lako Umezibwa macho huoni... Angekuwa amepigwa Risasi mama Yako au Dada Yako usingeongea Haya .... No one Rules Forever.. mugabe kaachia Nchi na Ubabe Wake

Kuna Watu wanaomboleza Sasa Hivi wewe unashangilia Ushindi
 
Anyone who counts on whining as a political strategy puts himself or herself on an election losing streak.

CDM needs a clean slate; current egocentric leaders must be replaced with more effective leaders to regain the party’s lost ground!
 
Back
Top Bottom