CHADEMA, wananchi wamewachoka mtashindwa zaidi 2020. Hamna sera shawishi

Mtoa mafa nenda kalale. Unajua unachokifanya. Sasa mmefikia kuwaua hata wanafunzi. Mtakiona 2020.
 
Mnavyozidi kututenganisha ndivyo tutakavyozidi kuungana. Subirini tu muone.
 
Sisi tuna people's power na ninyi mnakaribishwa polisi power kasome historia utanielewa
Kwani hao polisi sio people ama wale ni viumbe wa sayari nyingine?? CCM yenyewe ni "people" hao askari...Nec...hadi wafuasi wa CCM nao ni "people" so mjitafakari
 
Go and read Marxist revolution utapata majibu ya maswali yako
 
Hahahahaaaaaa Tunahitaji kuwa na KATIBA BORA KAMA YA KENYA NA SOUTH AFRIKA LKN KWA KATIBA HII ya Sisi Wananchi kuwa Watu wa kuburuzwa na Kuwa Watu na Ndio Mzeeee ni tatizo Serikali ya Awamu ya Tano Inatumia Vizur kujihami kupitia UDHAIFU WA KATIBA YETU yaani Serikali ndo iwe na Amri kuliko MAHAKAMA,BUNGE NA WANANCHI MH! U ndo U TANZANIA NI KICHWA CHA MWENDA WAZIMU
 
Nani kakwambia Kenya wana katiba bora...ingekua bora tusingeona mauzauza yao na wao kwenye huu uchaguzi wao uliopita ishu ni kwamba na wao watawala wao wanajua loopholes zote za hio katiba hawawezi kua wajinga kuruhusu katiba ya kuwakaanga wenyewe
 
Unaweza ukawa unaongea ukweli ila kwa tabia na sera za wafuasi wengi wa hicho chama hawapendi kukosolewa au kuambiwa mapungufu yao.
 
Na we jiandae tena kwenda kuandamana we si ni kamanda acha woga

Acha kukalili mdogo wangu sio kila mtu ni mfuasi wa chama cha siasa, tatizo lenu ccm mkiambiwa ukweli mnadhani anayewambiwa ni kada wa chama fulani sisi wengine ni raia tusio na vyama vya siasa tunaona uupuzi mnaofanya.

Hata nyinyi wenyewe nafsi zinawasuta kwa huu uupuzi mnaofanya mnaua ili muendelee kukaa madarakni AIBU ukweli.......Watanzania wanaona na Dunia inaona.

Kamaliziea homework unyooshae na sare za shule kesho ni shule.
 
Hatimae kipigo kimeendelezwa konondoni naamini kinafuatia kingine siha kuna haja CHADEMA mjitathimin aina ya siasa zenu yawezekana kuna kitu wapiga Kura hawa bado hawawaelewi au bado mna siasa za mwaka 47

CHADEMA ya SLAA sio ya sasa hii ya sasa nadhani NI mpya inayo elekea shimoni

CCM inapendwa kwa sera sio mtu
Wewe shimo limetanuka hawakutaki unawazia Chadema
 
Acha kukalili mdogo wangu sio kila mtu ni mfuasi wa chama cha siasa, tatizo lenu ccm mkiambiwa ukweli mnadhani anayewambiwa ni kada wa chama fulani sisi wengine ni raia tusio na vyama vya siasa tunaona uupuzi mnaofanya.

Hata nyinyi wenyewe nafsi zinawasuta kwa huu uupuzi mnaofanya mnaua ili muendelee kukaa madarakni AIBU ukweli.......Watanzania wanaona na Dunia inaona.

Kamaliziea homework unyooshae na sare za shule kesho ni shule.
Ndo umemaliza?? Basi leta na mengine ambayo na ww umekalili kwenye hilo kasha lako la kufugia nywele ....nafsi zitawasuta nyie kwa kulazimisha mambo ambayo hamuyawezi mwisho wa siku mnawatia kwenye matatizo watu wasiohusika
 
Hatimae kipigo kimeendelezwa konondoni naamini kinafuatia kingine siha kuna haja CHADEMA mjitathimin aina ya siasa zenu yawezekana kuna kitu wapiga Kura hawa bado hawawaelewi au bado mna siasa za mwaka 47

CHADEMA ya SLAA sio ya sasa hii ya sasa nadhani NI mpya inayo elekea shimoni

CCM inapendwa kwa sera sio mtu
Kinachofanyika ni kwamba CCM LAZIMA ISHINDE na hii haijalishi ni watu wangapi watauwawa, Ila CCM lazima ishinde,
Sioni tofauti ya kinachoendelea Tz now na kilichotokea Liberia kwa Charles Taylor na slogan Yake ya " he killed my father, he killed my mother but I'll vote for him "

Naanza kuelewa nini maana ya "shit hole "
 
You are wasting your time for Tanzania's politics.. Is poor...

Hakuna ata wapinzani wanatuzuga kwasababu Kama kambi yao kubwa ni kaskazini harafu still Nawao ni 0 kuna SIASA hapo ???
 
Hatimae kipigo kimeendelezwa konondoni naamini kinafuatia kingine siha kuna haja CHADEMA mjitathimin aina ya siasa zenu yawezekana kuna kitu wapiga Kura hawa bado hawawaelewi au bado mna siasa za mwaka 47

CHADEMA ya SLAA sio ya sasa hii ya sasa nadhani NI mpya inayo elekea shimoni

CCM inapendwa kwa sera sio mtu
Sawa mkuu umeongea vyema
 
Back
Top Bottom