KirilOriginal
JF-Expert Member
- Feb 13, 2012
- 2,161
- 1,147
Tumwogope kwa lipi, spika mbona hakumchukulia hatua alipotuita tuna hang-over, domo kubwa kama pua lake lilivyo.
Nimepata majibu kuwa CHADEMA WANAMWOGOPA MWIGULU NCHEMBA. Kama mwigulu huongea vitu vya hovyo kwa nini akianza kuongea chadema wote wanafanya vurugu kuhakikisha haongei. Hii ina maana kuwa chadema kuna uovu ambao kwa hulka ya ujasiri wa wake chadema huofia atausema na kuibomoa chadema. Ilikuwa hivyo bunge liliopita chadema wote waliomba mwongozo wakati mwigulu anachangia na jana hivyo. Kama anaongea vitu vya ajabu si mmwachie wananchi tumwone? Jana vijiwe vya iramba vilichukua sura tofauti baada ya watu kubaki kusema wanaliogopa hili lijamaa. Longola nzagamba yiitu ikuze