CHADEMA wanamwogopa Mwigulu Nchemba kuliko kitu chochote

Tumwogope kwa lipi, spika mbona hakumchukulia hatua alipotuita tuna hang-over, domo kubwa kama pua lake lilivyo.
 
Mwigulu mbunge aliyeruhusiwa kusema/kuongea uongo bungeni, na huwa haambiwi athibitishe hata siku moja kama wabunge wengine hasa wa chadema, kwanini sasa mtu kama huyo asithibitiwe ili asiendelee kuupotosha umma.

Jana anawatuhumu viongozi wa dini kukaa vikao na chadema singida, je kulikuwa na viongozi wa dini bungeni ili kukanusha hilo? hairuhusiwi kumsema mtu aliye nje ya bunge maana hawezi kujitetea!
 
Huyu mwimba taarabu noma,namchukia automatically yeye ndo anawaogopa chadema jiulize kwanini alituma watu wakawafanyie vurugu? Kwanini anaratibu mipango yote ya kuihujumu chadema? Huyu jamaa anaiwazia chadema zaidi hata ya mkewe
 
Yaani unamuona chizi kaingia ofisini kwako na kuanza kushika documents zako za muhimu na wewe kuwa chizi zaidi yake ukadhani anataka kuzisoma kama si kuzipanga vyema, so unamsubiri amalize kufanya akili yako imekutuma kuamini anataka fanya na badala yake atakuchania docs zako.
 
Sidhani kama kweli CHADEMA inamuogopa Mwigulu....nadhani wewe ndio unamsujudia kabisa mpaka suruali inakuteremka.........99.99999% ya post zako humu JF ni kuhusu kumtukuza Mwigulu tu!
 
Yaani Chadomo wakimsikia Mwigulu anaongea wanatetemeka balaa mpaka wengine wanakimbilia chooni kujisaidia anavyowashtua matumbo yao
 
Taarifa,: swala la kumfanamisha jj mnyika na mwigulu mchemba ni udalilishaji kabisa,na ningependa kutoa rai kwa watanzania wote kuwa hawa jamaa hawafanani, ni sawa na kufananisha mwanamke anaejiuza manzese anaeweza kutoa matusi makubwa popote Na mtu makini ambaye hawezi kutukana mbele yatu na kujieshm
 
Taarifa,: swala la kumfanamisha jj mnyika na mwigulu mchemba ni udalilishaji kabisa,na ningependa kutoa rai kwa watanzania wote kuwa hawa jamaa hawafanani, ni sawa na kufananisha mwanamke anaejiuza manzese anaeweza kutoa matusi makubwa popote Na mtu makini ambaye hawezi kutukana mbele yatu na kujieshm
 
Lazima aogopewe sababu anaratibu watu kung'olewa kucha, meno na macho bila ganzi Ccm hoyeeeeeeeeeeeeeeee
 
hivi profession ya kuajiriwa uwt wanaqualify wana singida zaidi eh? mwigulu, ighondu .......... ongezea list wapo wengi sn. au ndio wana karama ya roho mbaya?
ila mi mwigulu namshangaaga sana, siionagi elimu yake kila nikiangilia vituko vyake, yuko tofauti na elimu inayodaiwa anayo, na kweli kama anayo hiyo elimu basi karibu atakuwa kichaa, kwa sababu elimu kaiacha pembeni anatumia akili nyingine
 
Nimepata majibu kuwa CHADEMA WANAMWOGOPA MWIGULU NCHEMBA. Kama mwigulu huongea vitu vya hovyo kwa nini akianza kuongea chadema wote wanafanya vurugu kuhakikisha haongei. Hii ina maana kuwa chadema kuna uovu ambao kwa hulka ya ujasiri wa wake chadema huofia atausema na kuibomoa chadema. Ilikuwa hivyo bunge liliopita chadema wote waliomba mwongozo wakati mwigulu anachangia na jana hivyo. Kama anaongea vitu vya ajabu si mmwachie wananchi tumwone? Jana vijiwe vya iramba vilichukua sura tofauti baada ya watu kubaki kusema wanaliogopa hili lijamaa. Longola nzagamba yiitu ikuze

ukweli mwigulu ni mwiba mchungu kwa chadomo,,hakika amewaondolea utulivu,politics anayoifanya mwigulu ni tactics nzuri sana,kawajua wanajazba anawatandika kweli ukiona mtu mzima ananiki kiasi kama cha akina Lesso ya Tundu ujue kuwa anawashika,,,,emela Papo nzagamba
 
Jina lako la Sha Makala linaonyesha wewe ni Myiramba na ndie uliomchagua huyo Mpuuzi. Wapi maendeleo ya Jimbo la Iramba?

Acheni ushabiki wa kijinga ndugu zangu.
 
Wanaomuogopa nchemba wananishangaza sana, huyu kwangu haongei kwa kuwa nilicheza nae mchezo wa kujificha tukiwa watoto tulichokuwa tunamfanya huko mafichoni mungu anajua, mimi ni mjanja wake nataka mwichemba akanushe kama anaweza, nitaanika historia yake
 
Hawa Chadema kwa sasa wameacha ku focus kwenye habari zao za M4C wanaweka attention yao yote kwa Mwigulu Mchemba hata CCM tena wameisahau. Amewashika pabaya kweli kweli.
 
Anawachezea na wanachezea badala kufocus kwa hoja wao wanahangaika na Nchemba amewapoteza mbaya sana
 
KICHAA yeyote LAZIMA AOGOPWE NA KUZUILIWA kabla ya kuleta madhara kwa wasio VICHAA!
 
Back
Top Bottom