CHADEMA wanakosea, Katiba ni kipaumbele kweli lakini bado wananchi hawajashirikishwa vya kutosha

Watashirikishwa lini? Mliwahi kukaa mezani na Chadema kujadili hili? Mnapita tuu na vipaza sauti na kusema kuna watu wameanza choko choko.
Kukaa mezani na wehu chadema ?mtapiga kelele wee ,katiba hamtafanikiwa kwa kulazimisha ,katiba itapatikana pale ambapo mama na ccm watakapoamua na si huyu disko joker na genge lake
 
Mkuu lakini bila makongamano kama haya lililokuwa lifanyike leo Mwanza Watanzania watajuaje huo umuhimu wa Katiba Mpya!? Wahuni hawa maccm wanajua fika kwamba Watanzania wengi wakiujua umuhimu huu basi kifo chao kitazidi kukaribia.
Hoja yake ina mashiko, leo nilikuwa naongea na Majirani zangu nikawauliza kuwa wao wanajali Katiba mpya au kuondolewa tozo kwenye miamala, wakasema tozo iondolewe kwasababu inawatesa 😁
 
Mkuu lakini bila makongamano kama haya lililokuwa lifanyike leo Mwanza Watanzania watajuaje huo umuhimu wa Katiba Mpya!? Wahuni hawa maccm wanajua fika kwamba Watanzania wengi wakiujua umuhimu huu basi kifo chao kitazidi kukaribia.
Hivi mpuuzi kama Mbowe anajua hata umuhimu wa katiba yenyewe ? Si ni huyy huyu kajeuka kuwa Mwenyekiti wa maisha ?
 
Kwa UFINYU wa akili yako. Mbowe angekuwa mpuuzi wahuni wa maccm wasingemuogopa kwa kuhakikisha uchaguzi unakuwa huru na wa haki. Watanzania hawawezi kuchagua chama kinachoongozwa na mpuuzi kwa hiyo maccm wangeshinda uchaguzi kwa kishindo, lakini maccm ukweli kuhusu Mbowe wanaujua kwamba si mpuuzi na anakubalika na Watanzania wengi sana kama Kiongozi.

Hivi mpuuzi kama Mbowe anajua hata umuhimu wa katiba yenyewe ? Si ni huyy huyu kajeuka kuwa Mwenyekiti wa maisha ?
 
yaan wananchi uelewa wa katiba bado sana yaan mtu eti anaenda kupiga kula alafu mkurugenzi wa uchaguzi anateuliwa na mgombea huu ufala unaitwa uchaguzi kwangu mm ni BIG NO

Sasa Chadema wanayajua haya yote, bado wanaandaa wagombea, wanaandaa bajeti ya kampeni nchi nzima, wanazunguka kuomba kura

Kisha wakishindwa wanakuja kusema tume ya uchaguzi haipo huru

Sasa unabaki kujiuliza huwa wanayajua haya baada ya uchaguzi au huwa wanarogwa kisha uchaguzi ukiisha ndipo fahamu huwarejea
 
Katiba ni kipaumbele kweli lakini bado wananchi hawajashirikishwa vya kutosha.

Wakishirikishwa vya kutosha nguvu itakuwa kubwa mno ktk kudai katiba,, watawala wataogopa tu.
Ww msengr rasimu ilitka wapi??!?? Ilikuako imebaki tu kuhalalisa ila rasim ilikua ni mawazo ya wananchi kama hujui
 
Katiba ni kipaumbele kweli lakini bado wananchi hawajashirikishwa vya kutosha.

Wakishirikishwa vya kutosha nguvu itakuwa kubwa mno ktk kudai katiba,, watawala wataogop
Katiba ni kipaumbele kweli lakini bado wananchi hawajashirikishwa vya kutosha.

Wakishirikishwa vya kutosha nguvu itakuwa kubwa mno ktk kudai katiba,, watawala wataogopa tu.
We msengr rasimu ilikua ni ya nan kama sio wananchi ,Katiba mpya ni hoja ambayo Tayari ilisainiwa mezani kwamba inahitajika fal wewe
 
Back
Top Bottom