CHADEMA wanafanya adabrakadabra

Kamura

JF-Expert Member
Apr 26, 2011
506
52
Imeelezwa Bungeni kwamba Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) wanafanya adabrakadabra, yaani wimbo wa mazingaombwe (kiini macho) kwa wananchi ili waamini wanayosema wakati si kweli. Wabunge waliochangia wanasema baadhi wa wanaCHADEMA ni madalali wa siasa waliofadhiliwa kuvuruga amani nchini na wanapeana nafasi za viti maalumu kwa ukabila na mahusiano ya damu.
 
Kabla haujadharauliwa, tueleze wewe unasemaje? (maana umetupa maelezo ya kile kilichosemwa bungeni plus maneno yako ya uzushi)
 
Hata mimi nilisikia mbunge mmoja wa ccm, sikumbuki ni nani, kuwa viti maalum chadema wamepeana kindugu. Kama kuna anaefahamu zaidi atusimulie.
 
Imeelezwa Bungeni kwamba Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) wanafanya adabrakadabra, yaani wimbo wa mazingaombwe (kiini macho) kwa wananchi ili waamini wanayosema wakati si kweli. Wabunge waliochangia wanasema baadhi wa wanaCHADEMA ni madalali wa siasa waliofadhiliwa kuvuruga amani nchini na wanapeana nafasi za viti maalumu kwa ukabila na mahusiano ya damu.

Labda wanataka katiba mpya iwe va vipengele vya ukabia, kwa sababu mpaka sasa hivi ni hatari ndani ya CHADEMA. MTEI na MBOWE, SLAA na KAMILI, NDESAMBURO NA OWENYA, MABERE NA WENJE, LETICIA NYERERE NA MANYERERE, CHRISTINA LISSU na TINDU LISSU,

Kweli Nyani haoni-------,Hawa jamaa wana propaganda za urafiki kwenye uongozi wakati wao wanaongoza kwa undugunization. Je tunataka kuunda katiba itakayokataza uswahiba lakini inaruhusu undunization? Watanzania tuwe wachambuzi wa mambo na siyo kukimbia kuyabusu mabango yanayachochea vurugu nchini.
UKICHEZA NA KICHAA na wewe ni KICHAA.
 
Chadema wanataka kuleta uwangaji wa damu!

Juzi nimemuona Mwenyeki wa Bavicha, Heche, Mlimani Tv akimwaga pumba zake za udaga..

Eti anasema siku ile polisi wasingewazua kufanya maandamano wangejuta.

Walikuwa wamejiandaa kufanya fujo mji mzima Chadema hatubeep..

Hivi kiongozi mwenye maadili anaweza kumwaga pumba kama hizi kweli
 
mi naona chama twawala ndio kitakacho leta vita bongo hutaki subiri uone..
 
Labda wanataka katiba mpya iwe va vipengele vya ukabia, kwa sababu mpaka sasa hivi ni hatari ndani ya CHADEMA. MTEI na MBOWE, SLAA na KAMILI, NDESAMBURO NA OWENYA, MABERE NA WENJE, LETICIA NYERERE NA MANYERERE, CHRISTINA LISSU na TINDU LISSU,

Kweli Nyani haoni-------,Hawa jamaa wana propaganda za urafiki kwenye uongozi wakati wao wanaongoza kwa undugunization. Je tunataka kuunda katiba itakayokataza uswahiba lakini inaruhusu undunization? Watanzania tuwe wachambuzi wa mambo na siyo kukimbia kuyabusu mabango yanayachochea vurugu nchini.
UKICHEZA NA KICHAA na wewe ni KICHAA.

poleni sana! najua roho inavyowauma,pamoja na propoganda uchwara wananchi hawaelewi na ndo wanazidi kuiamini CDM yaani kama vile kupigia mbuzi gitaa! nakumbuka na mimi nilivyokuwa nawashawishi watu wa kijijini kwetu waisapoti chadema miaka hiyo,hawakuwa maskini wakielewa! lakini leo,ukitaka ukosane nao iseme vibaya chadema uone.nilivyoenda likizo mwaka huu mpaka nikafanyiwa tambiko na wazee la kunibariki kwamba kweli nilikuwa natumia kaelimu nilikopata kuwasaidia na kuwatetea! kweli wahenga walisema asiyejua maana...........................
 
Back
Top Bottom