CHADEMA wanachukia sana nchi inaposonga mbele

CHADEMA wanachukia sana nchi inaposonga mbele

CC
Wakudadavuliwa:-
Hoja yako imekaa kichonganishi kama ya shankupe la kitaa ambalo linaumizwa na mambo ya wanaojitambua!
Hata ujipendekezeje, bado unakosa sifa za kuwaongoza wanaojitambua hasa watanzania wa leo.
Kuiba muibe ninyi kwa njaa zenu zisizotulia leo cdm wakiwaambia acheni wizi mnawageuza maadui wa taifa!
Nitajie mwanacdm mmoja tu aliyehusika kusaini hii mikataba ya ajabu yenye kuifilisi nchi. Mshukuruni Mungu kwa staha tuliyonayo vinginevyo ungekuwa umejificha chooni kwa aibu hii uliyoiweka hapa! Lipeni ma
Usimsikilize Oligaki
Nikusikize wewe kwa hoja ipi uliyonayo? Hizi za kukurupuka na kutumia dola kunyanyasa? Au zile za kuziba masikio ukisubiri kusifiwa? Labda nikusikilize hii ya ukiwa na cherehani basi una kiwanda! Ccm tuepukeni kwani yatosha sasa huu upumbavu wenu.
 
naona baada ya ile kiki ya uchaguzi wa kenya kubuma, sasa wamekuja na nyingine ya canada! hii nayo itabuma tu,
 
Adui yako mwombee njaa.
CCM wakifanikiwa katika kujenga uchumi wa Inchi, CHADEMA hawatachukua Utawala wa Inchi mapema.
Mimi si mpinzani wa Maendeleo na si Mwanasiasa, CHADEMA ni haki yao ya Kikatiba kuikosoa Serikali ili mradi tu hawavunji sheria.
Lakini tuweke angalizo, CHADEMA wanashindwa kuelewa kuwa upinzani wa kisiasa kama ulivyo upunzani kwenye soka au michezo mingine, si chuki. Hata CCM tuwaambia kuwa ukiwa chama Tawala usivione vyama vya upinzani kama maadui kwa sababu wakijua kuwa umewaweka katika kundi la maadui basi na wao watakushughulikia kama adui.
Rais Makufuli ni tunda la vyama vya upinzani.
Kama kusingekuepo na upinzani imara CCM wangeweka mgombea legelege.
 
Hili lipo wazi,mwenye chuki hufurahia matatizo yako, hicho chama hupenda na hufurahia serikali inapoteleza,enzi za jk walilalama kwa udhaifu wake na kusafiri kwako,sasa hiv wamebanwa bado povu haliishi,ila si sawa kuifanyia serikali yako hujuma coz gharama yake ni kubwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
993d6a2b3bd90c64d061ed07388db3b3.jpg
 
Sasa ni dhahiri Chadema ni chama kilichoshindwa kufanya siasa na kugeuka sumu. Wafuasi wengi wa Chadema sasa kupitia mitandao mbalimbali ya kijamii wanakiri na kufurahia hujuma dhidi ya Taifa lakini Mungu ni Mkuu kwani mambo yanasonga.

Ni kama wamevagawa na mapepo sasa wanakiri hujuma zao dhidi ya Taifa hadharani bila kujua kwamba wanajenga taswira hasi dhidi yao wenyewe kwani siasa zinahitaji akiba ya maneno.

Sifa yao kuu hawa viumbe wa ufipa ni kusahau haraka kuliko kuku, hatahivyo kila uchwao kundi hilo ovu dhidi ya nchi linapungukiwa watu makini ambao wanaungana na Watanzania kuijenga nchi.
Naomba unipe majibu ya maswali yafuatayo;
1.Aliyeingia mkataba ni Chadema?
2.Aliyevunja mkataba ni Chadema?
 
Hayo ni matokeo ya mpasuko pia kukosrkana kwa umoja wa kitaifa mkubwa tulonao kwa sasa nchi ni Tanzania.
Ukumbuke mambo unyama anaoyafanya ndugai pale bungeni, kumbuka mambo yanayofanywa na polisi kila pahala nchi ni dhidi ya wapinzani,
Kumbuka mahakama zinavyofanya dhidi ya watu, refer wanayofanyiwa CUF, aliyofanyiwa mh lema, Mdee, wafuasi wa CUF, bulaya, heche, n.k
Refer wanayofanyiwa wafanyakazi, wanafunzi vyuo n.k
Kifupi si chadema tu wanaofuraia kukwama kwa serikali Bali ni wengi sana.
Ktk mazingira haya uzalendo utatoka wapi ndg wewe.

Tuko wengi tunataka tukwame kwani madhira kwetu ni mengi,

chadema wasamehe tu bure

Sent using Jamii Forums mobile app
 
....by the way hili ni deni la kwanza kwa Tanzania kudaiwa?.... mbona tuna matrilion nje tunadaiwa...how is it a big deal?....ebu tuache cheap politics tufanye kaz
Ficha upumbavu wako. kama tulikopa tukafanyia miradi ni sawa na hili la fine?
 
niseme tu ukweli hata tukivamiwa na na jeshi la nje kama bado ni rais ...nawaunga mkono watuvulumishe tuuu...huwezi kuwa na kiongozi anaetesa raia big nooo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na kwa hizi chuki na hila zao chama chao kinakwenda kufa soon.

Uliona wapi chama kinalilia mikutano ya hadhara wakati sio muda wa kampeni?hizi ni dalili za kuishiwa hoja na kupoteza mwelekeo.

2020 ni CCM vs ACT.

CCM bado itaiongoza sana hii nchi kwa staili hiyo.
 
Ukweli mchungu huu
 
Hayo ni matokeo ya mpasuko pia kukosrkana kwa umoja wa kitaifa mkubwa tulonao kwa sasa nchi ni Tanzania.
Ukumbuke mambo unyama anaoyafanya ndugai pale bungeni, kumbuka mambo yanayofanywa na polisi kila pahala nchi ni dhidi ya wapinzani,
Kumbuka mahakama zinavyofanya dhidi ya watu, refer wanayofanyiwa CUF, aliyofanyiwa mh lema, Mdee, wafuasi wa CUF, bulaya, heche, n.k
Refer wanayofanyiwa wafanyakazi, wanafunzi vyuo n.k
Kifupi si chadema tu wanaofuraia kukwama kwa serikali Bali ni wengi sana.
Ktk mazingira haya uzalendo utatoka wapi ndg wewe.

Tuko wengi tunataka tukwame kwani madhira kwetu ni mengi,

chadema wasamehe tu bure

Sent using Jamii Forums mobile app
Unajichanganya sana
 
Sasa ni dhahiri Chadema ni chama kilichoshindwa kufanya siasa na kugeuka sumu. Wafuasi wengi wa Chadema sasa kupitia mitandao mbalimbali ya kijamii wanakiri na kufurahia hujuma dhidi ya Taifa lakini Mungu ni Mkuu kwani mambo yanasonga.

Ni kama wamevagawa na mapepo sasa wanakiri hujuma zao dhidi ya Taifa hadharani bila kujua kwamba wanajenga taswira hasi dhidi yao wenyewe kwani siasa zinahitaji akiba ya maneno.

Sifa yao kuu hawa viumbe wa ufipa ni kusahau haraka kuliko kuku, hatahivyo kila uchwao kundi hilo ovu dhidi ya nchi linapungukiwa watu makini ambao wanaungana na Watanzania kuijenga nchi.

KUNUNUA ndege kwa cash sio kusonga mbele., kukataa kulipa madeni uliyoamriwa kisheria sio kusonga mbele. Unawaonea chadema bure tu.

Sehemu pekee tumesonga mbele wakati wa Magufuli ni nidhamu kwenye baadhi ya kada za utumishi wa Umma. Kwengine kote ni MAJANGA MATUPU.
 
Back
Top Bottom