CHADEMA wanachukia sana nchi inaposonga mbele

CHADEMA wanachukia sana nchi inaposonga mbele

CDM Mnasinikitisha sana kwa hoja nyepesi za kudandia....juzi kati kuna nyumbu mmoja hoja hana anaishia kuniambia 'lipa deni lipa deni' wakat yeye apo halipo ana madeni chungu mbovu....by the way hili ni deni la kwanza kwa Tanzania kudaiwa?.... mbona tuna matrilion nje tunadaiwa...how is it a big deal?....ebu tuache cheap politics tufanye kaz
Sijui kwa nini kiwango cha ujinga kinaongezeka kwa kasi kubwa awamu hii!
 
CC
Wakudadavuliwa:-
Hoja yako imekaa kichonganishi kama ya shankupe la kitaa ambalo linaumizwa na mambo ya wanaojitambua!
Hata ujipendekezeje, bado unakosa sifa za kuwaongoza wanaojitambua hasa watanzania wa leo.
Kuiba muibe ninyi kwa njaa zenu zisizotulia leo cdm wakiwaambia acheni wizi mnawageuza maadui wa taifa!
Nitajie mwanacdm mmoja tu aliyehusika kusaini hii mikataba ya ajabu yenye kuifilisi nchi. Mshukuruni Mungu kwa staha tuliyonayo vinginevyo ungekuwa umejificha chooni kwa aibu hii uliyoiweka hapa! Lipeni madeni.
Usimsikilize Oligaki
 
Nawewe ni Oligaki?
Lipa deni, acha porojo, porojo porojo! Whatever you mean by Oligaki, lipa deni, matusi hayajajenga hoja, lipa deni, wezi wakubwa nyie mnataka kuwaibia wawekezaji, pumba......aviation
 
Watu hawawezi kuwa WAMOJA wakati,

- Vijana wa TAIFA hili wametelekezwa

* Wamesoma lakini ajira hawapewi hata kidogo
* Walioajiriwa kwa vimishahara vya 300,000 kwa mwezi wanashurutishwa kufanya kazi na hata kufukuzwa huku HAKI zao za msingi na za kisheria na kiutu hawapewi, unawaambia wawe wavumilivu wakati Ndugu zako unaotafuna nao KEKI YA TAIFA wanalipana LAKI 5 kwa siku
* Wakati watu hawajaaribu, unawadai LOAN BOARD, Nyumba ya wazazi wao UMEBOMOA KIMARA huku wewe ukiendelea kuteua watu wa kujilia nchi
* Vijana wakisema waanze kuosha magari wajikimu na maisha WANAFUKUZWA NA POLISI
* Wakitaka kuwa MACHINGA kila wakati wanafukuzwa na migambo wa jiji

* Mtu akisema afungue kiGROCERY chake anakabwa hata mwezi haujaisha na BRELA, TRA, TFDA, NEMC, OSHA, COSOTA, FIRE nk mpaka wahakikishe ANAFUNGA

KIJANA WA KITANZANIA, MNATAKA AISHI VIPI ?

Kwa mazingira hayo usitegemee UZALENDO.
 
Wewe na vichaa wenzio mmepanga kuangamiza watu kwa sera zenu za kijinga.
Huku vijijini sukari Tshs 3200/=
mbaazi kg1 = Tshs 300/=.
Unajenga nchi ipi kama sio kuangamiza watu unasingizia CHADEMA!!!
Uko kijiji gani?
 
Watu hawawezi kuwa WAMOJA wakati,

- Vijana wa TAIFA hili wametelekezwa

* Wamesoma lakini ajira hawapewi hata kidogo
* Walioajiriwa kwa vimishahara vya 300,000 kwa mwezi wanashurutishwa kufanya kazi na hata kufukuzwa huku HAKI zao za msingi na za kisheria na kiutu hawapewi, unawaambia wawe wavumilivu wakati Ndugu zako unaotafuna nao KEKI YA TAIFA wanalipana LAKI 5 kwa siku
* Wakati watu hawajaaribu, unawadai LOAN BOARD, Nyumba ya wazazi wao UMEBOMOA KIMARA huku wewe ukiendelea kuteua watu wa kujilia nchi
* Vijana wakisema waanze kuosha magari wajikimu na maisha WANAFUKUZWA NA POLISI
* Wakitaka kuwa MACHINGA kila wakati wanafukuzwa na migambo wa jiji

* Mtu akisema afungue kiGROCERY chake anakabwa hata mwezi haujaisha na BRELA, TRA, TFDA, NEMC, OSHA, COSOTA, FIRE nk mpaka wahakikishe ANAFUNGA

KIJANA WA KITANZANIA, MNATAKA AISHI VIPI ?

Kwa mazingira hayo usitegemee UZALENDO.
Kuna pori kubwa sana Tanzania halijalimwa!
 
Sasa ni dhahiri Chadema ni chama kilichoshindwa kufanya siasa na kugeuka sumu. Wafuasi wengi wa Chadema sasa kupitia mitandao mbalimbali ya kijamii wanakiri na kufurahia hujuma dhidi ya Taifa lakini Mungu ni Mkuu kwani mambo yanasonga.

Ni kama wamevagawa na mapepo sasa wanakiri hujuma zao dhidi ya Taifa hadharani bila kujua kwamba wanajenga taswira hasi dhidi yao wenyewe kwani siasa zinahitaji akiba ya maneno.

Sifa yao kuu hawa viumbe wa ufipa ni kusahau haraka kuliko kuku, hatahivyo kila uchwao kundi hilo ovu dhidi ya nchi linapungukiwa watu makini ambao wanaungana na Watanzania kuijenga nchi.
haijawahi kuendelea wala kusonga mbele kwa miaka 55+ ikiwa chini ya ccm ndo uchumi umedidimia kabisa mikataba yenu inazidi kutuingizza matatizoni ipo siku watanzania tutakataa ujinga huu .................
 
CDM Mnasinikitisha sana kwa hoja nyepesi za kudandia....juzi kati kuna nyumbu mmoja hoja hana anaishia kuniambia 'lipa deni lipa deni' wakat yeye apo halipo ana madeni chungu mbovu....by the way hili ni deni la kwanza kwa Tanzania kudaiwa?.... mbona tuna matrilion nje tunadaiwa...how is it a big deal?....ebu tuache cheap politics tufanye kaz
tudaiwe madeni ambayo ni genuine.haiwezekani deni lisababishwe na mpuuzi mmoja tu kwa kushindwa kujielewa halafu tushabikie. kwanza anatakiwa kukamatwa kwa kuisababishia serikali hasara.
 
IMG_20170821_220743_467.JPG
 
Mkishauriwa mnasema msipangiwe, mkifanya wenyewe mkakosea mnalaumu CDM, nyie ni binadamu wa aina gani?
 
Sasa ni dhahiri Chadema ni chama kilichoshindwa kufanya siasa na kugeuka sumu. Wafuasi wengi wa Chadema sasa kupitia mitandao mbalimbali ya kijamii wanakiri na kufurahia hujuma dhidi ya Taifa lakini Mungu ni Mkuu kwani mambo yanasonga.

Ni kama wamevagawa na mapepo sasa wanakiri hujuma zao dhidi ya Taifa hadharani bila kujua kwamba wanajenga taswira hasi dhidi yao wenyewe kwani siasa zinahitaji akiba ya maneno.

Sifa yao kuu hawa viumbe wa ufipa ni kusahau haraka kuliko kuku, hatahivyo kila uchwao kundi hilo ovu dhidi ya nchi linapungukiwa watu makini ambao wanaungana na Watanzania kuijenga nchi.

Tanzania itapiga hatua siku itakapopata wabunge waadilifu,wenye uchungu na raslimali zao kama Lissu,wenye maono na nchi hao.Na Siku ambayo vizazi na Makonda ya watawala wa CCM watakapokwisha kwenye uongozi.

Siku wabunge kama Nyingi mtakaporudi uraiani.Siku vijana wasioshabikia Rushwa,ufisadi,ubadhirifu,ukabila,chuki na visasi watakaposhika hatamu za nchi.

Na mlaaniwe wanaccm wote mbalirudisha nyuma Taifa letu kwa sababu ya tumbo
 
Mnaacha Kumpa Ushauri Mzur Rais Ma Dc Wanapiga Walimu Hovyo Walimu Wanaacha Kazi Nyie Mnang'ang'ana Na Chadema Tu Dc Wa Arumeru Anapiga Marufuku Vikao Vya Madiwan Vya Maendeleo Kwa Wananch Sasa Hayo Maendeleo Yap Unayazungumzia?
 
Siku tutakapopata Polisi,Jeshi,Mahakama na lenye muelekeo wa KITAIFA ndipo siku Taifa letu litaanza songs mbele.

Siku watu kama Mutungi.Ndugai na wengine kama hawa watakapokuwa hawapo kwenye USO wa dunia hii ndipo siku uchumi wetu utakapokuwa wa viwanda
 
Kuna pori kubwa sana Tanzania halijalimwa!
- Hilo pori halina mwenyewe ?

- Ukienda huko pori unalala wapi, unakula wapi ? ( Lets assume ulime kwa mkono )

- Halafu hilo PORI Kina DOTTO, JOKATE, SHAKA HAMDU SHAKA na MAMA LWAKATARE hawalioni ?
 
Ha ha, yaani ni CHADEMA tu, si CUF ya Lipumba wala UDP ya akina Cheyo! Fumbo mfumbie mjinga......
 
Back
Top Bottom