Mwana Mtoka Pabaya
JF-Expert Member
- Apr 22, 2012
- 15,117
- 16,506
Tusi lipo wapi hapo mamaangu? Nipanic kwani mimi nadaiwa peke yangu hizo 87bn?Jenga hoja bila kutukana,umepanik na mini?
Tusi lipo wapi hapo mamaangu? Nipanic kwani mimi nadaiwa peke yangu hizo 87bn?Jenga hoja bila kutukana,umepanik na mini?
Sasa ni dhahiri Chadema ni chama kilichoshindwa kufanya siasa na kugeuka sumu. Wafuasi wengi wa Chadema sasa kupitia mitandao mbalimbali ya kijamii wanakiri na kufurahia hujuma dhidi ya Taifa lakini Mungu ni Mkuu kwani mambo yanasonga.
Ni kama wamevagawa na mapepo sasa wanakiri hujuma zao dhidi ya Taifa hadharani bila kujua kwamba wanajenga taswira hasi dhidi yao wenyewe kwani siasa zinahitaji akiba ya maneno.
Sifa yao kuu hawa viumbe wa ufipa ni kusahau haraka kuliko kuku, hatahivyo kila uchwao kundi hilo ovu dhidi ya nchi linapungukiwa watu makini ambao wanaungana na Watanzania kuijenga nchi.
Tumia akili zako wacha kudesaWenye kujua maana halisi na dhana ya "Uzalendo/Patriotism" walisema haya:
Uzalendo una maana ya kusimama na nchi. Haimaanishi kusimama na rais au afisa mwingine yeyote wa umma, ila hasa kwa kiwango ambacho yeye mwenyewe anasimama na nchi. Ni uzalendo kumuunga mkono kama yeye hutumika vilivyo kwa ufanisi nchi. Ni kukosa uzalendo kwa kiwango hicho hicho kutofautiana na mawazo yake kama anashindwa katika wajibu wake kusimama na nchi. Katika tukio hilo lolote, ni kukosa uzalendo kutosema, iwe juu ya rais au mtu mwingine yeyote.
Theodore Roosevelt, 1858-1919
Sasa ni dhahiri Chadema ni chama kilichoshindwa kufanya siasa na kugeuka sumu. Wafuasi wengi wa Chadema sasa kupitia mitandao mbalimbali ya kijamii wanakiri na kufurahia hujuma dhidi ya Taifa lakini Mungu ni Mkuu kwani mambo yanasonga.
Ni kama wamevagawa na mapepo sasa wanakiri hujuma zao dhidi ya Taifa hadharani bila kujua kwamba wanajenga taswira hasi dhidi yao wenyewe kwani siasa zinahitaji akiba ya maneno.
Sifa yao kuu hawa viumbe wa ufipa ni kusahau haraka kuliko kuku, hatahivyo kila uchwao kundi hilo ovu dhidi ya nchi linapungukiwa watu makini ambao wanaungana na Watanzania kuijenga nchi.
Mkuu USA ndio taifa kubwa duniani kuliko taifa lo lote katika sayari yetu hii ya dunia,Acha kelele, acha kelele, LIPA DENI, LIPA MADENI, LIPA MADENI, ACHA POROJO PLEASE
Nchi inasonga kwa mwendo wa farasiinasonga kwenda matakoni! Uwe na Rais kama huyu upate maendeleo?
Ni vipigo tu<
-Samaki wa wachina
-Kivuko cha bagamoyo
Na sasa kuvunja mikataba bila hekima
Bado Makinikia mbaando hadi paka asuke mabutu!!
Madeni yanalipwa, ucheleweshaji wa hapa na pale hautozuwia maendeleo.Acha kelele, acha kelele, LIPA DENI, LIPA MADENI, LIPA MADENI, ACHA POROJO PLEASE
Bora asiyesoma.Huna hata robo ya Elimu yangu
Madeni yanayoongelewa hapa ni yale yanayosababishwa na maamuzi mabovu ya viongozi wetu...mfano kuvunja mikataba na matokeo yake tunadaiwa pesa nyingi.....Mkuu USA ndio taifa kubwa duniani kuliko taifa lo lote katika sayari yetu hii ya dunia,
USA hiyo hiyo pamoja na uimara wake kiuchumi ,ndilo taifa pia linaloongoza kwa madeni duniani .
Hivyo deni mkuu no sehemu ya maisha ya binadamu na nchi
Hakuna nchi isiyodaiwa wala hakuna nchi iliyokwisha maliza kulipa madeni yote, hivyo Tanzania kudaiwa sio ajabu na kushindwa kulipa deni kwa wakati Tanzania sio nchi ya kwanza na wala sio nchi ya mwisho .
ngoja aendelee kuwanyooshaJitu la kaleeeee lenye midevuuuuu![]()
Upo dogo?Dawa ya deni ni kulipa lipeni madeni
Tanzania mpya ya maziwa na asali.Kusonga mbele kuelekea wapi mkuu? hebu tupe mwelekeo tujue