CHADEMA wanachukia sana nchi inaposonga mbele

61ac477dba782ba2fa1826dd0fe02e2d.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa ni dhahiri Chadema ni chama kilichoshindwa kufanya siasa na kugeuka sumu. Wafuasi wengi wa Chadema sasa kupitia mitandao mbalimbali ya kijamii wanakiri na kufurahia hujuma dhidi ya Taifa lakini Mungu ni Mkuu kwani mambo yanasonga.

Ni kama wamevagawa na mapepo sasa wanakiri hujuma zao dhidi ya Taifa hadharani bila kujua kwamba wanajenga taswira hasi dhidi yao wenyewe kwani siasa zinahitaji akiba ya maneno.

Sifa yao kuu hawa viumbe wa ufipa ni kusahau haraka kuliko kuku, hatahivyo kila uchwao kundi hilo ovu dhidi ya nchi linapungukiwa watu makini ambao wanaungana na Watanzania kuijenga nchi.
 
Binafsi nahisi wengi wetu tunazongwa na mihemuko ya ushabiki wa kisiasa zaidi ya kuchambua hoja ya msingi.Yupi anayehujumu taifa kati ya yule anayesababisha kodi za wsnanchi. kutumika kulipa deni ambalo limesababishwa na uzembe wa.mtu mmoja kwa kuvunja mkataba kinyume na taratibu na huyu anayekemea au kuwajuza. wansanchi namna kodi zinavyotumika kinyume na makusudio?Mzalendo ni yupi kati ya hao wawili.Tulio wengi tunachangia tu kishabiki kwa vile bombadier imezuiwa.
 
Kama serkali inawafungia watu biashara zao kwa kushindwa kulipa kodi nayo hainabudi kuwajibishwa inaposhindwa kulipa madeni
 
Sasa ni dhahiri Chadema ni chama kilichoshindwa kufanya siasa na kugeuka sumu. Wafuasi wengi wa Chadema sasa kupitia mitandao mbalimbali ya kijamii wanakiri na kufurahia hujuma dhidi ya Taifa lakini Mungu ni Mkuu kwani mambo yanasonga.

Ni kama wamevagawa na mapepo sasa wanakiri hujuma zao dhidi ya Taifa hadharani bila kujua kwamba wanajenga taswira hasi dhidi yao wenyewe kwani siasa zinahitaji akiba ya maneno.

Sifa yao kuu hawa viumbe wa ufipa ni kusahau haraka kuliko kuku, hatahivyo kila uchwao kundi hilo ovu dhidi ya nchi linapungukiwa watu makini ambao wanaungana na Watanzania kuijenga nchi.
Hivi hawa CHADEMA wanazipata wapi siri za serikali?Wananchi wengi wamepanic baada ya kusikia tunadaiwa bilioni 90 ukizingatia na ugumu wa maisha uliopo.

Je wale waliotusababishia hasara hii ya bilioni 90 watafikishwa ktk mahakama ya mafisadi?
 
Anayeamini katika chadema akapimwe akili

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahahaaa, hivi utajiskiaje kukuta kumbe wazazi wako wanaamini CDM? Nyie kila anayepingana na maamuzi mabovu ya Serikali mnamuita CHADEMA, Kwa nini asiwe vyama vingine kama CUF, NCCR au ACT?

Poor you. Tulieni sindano iingie, wakati ushauri unatolewa wa kisheria namna ya kushikiria makinikia mliziba maskio, sasa bomberdie Q400 iliyolipiwa mabilion ya wananchi imeshikiriwa, mtakuja kushtuka pale sheria itakaposema deposit yetu IMF ichukuliwe.

Mungu ibariki Tanzania, Mungu mpe hekima JPM

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa ni dhahiri Chadema ni chama kilichoshindwa kufanya siasa na kugeuka sumu. Wafuasi wengi wa Chadema sasa kupitia mitandao mbalimbali ya kijamii wanakiri na kufurahia hujuma dhidi ya Taifa lakini Mungu ni Mkuu kwani mambo yanasonga.

Ni kama wamevagawa na mapepo sasa wanakiri hujuma zao dhidi ya Taifa hadharani bila kujua kwamba wanajenga taswira hasi dhidi yao wenyewe kwani siasa zinahitaji akiba ya maneno.

Sifa yao kuu hawa viumbe wa ufipa ni kusahau haraka kuliko kuku, hatahivyo kila uchwao kundi hilo ovu dhidi ya nchi linapungukiwa watu makini ambao wanaungana na Watanzania kuijenga nchi.

HAO UNAOWADHANIA WAMEJUAJE SWALA LA KUBANANISHWA KWA DENI?????
HAO HAO WENZIO WA NDANI UNAOWAAMINI NA USIWADHANIA NDIO WAMEVUJISHA HIO SIRI[emoji3]
NA WAO WAMECHOKA MNO NA UENDESHAJI WENU HADI WANAUATOA YA NDANI[emoji3]
TAFAKARI KWANZA KABLA YA KUBWABWAJA[emoji1321]
 
Kweli kabisa zamani nilikuwa nakipenda sana hiki chama

wakati umenipa majibu sahihi
 
CDM Mnasinikitisha sana kwa hoja nyepesi za kudandia....juzi kati kuna nyumbu mmoja hoja hana anaishia kuniambia 'lipa deni lipa deni' wakat yeye apo halipo ana madeni chungu mbovu....by the way hili ni deni la kwanza kwa Tanzania kudaiwa?.... mbona tuna matrilion nje tunadaiwa...how is it a big deal?....ebu tuache cheap politics tufanye kaz
Kwa hiyo lipeni basi.
 
kisiasa chadema wamekosa ubunifu, wanasubiri serikali imesema/imefanya nini, wapate pa kutokea.
 
Watu wa chama cha zamani wanachekesha kweli kweli!!!! Eti kwao Nyeusi ni nyeupe na kinyume chake!!!!!! Lipa deni ..... Mambo mengine baadae

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa ni dhahiri Chadema ni chama kilichoshindwa kufanya siasa na kugeuka sumu. Wafuasi wengi wa Chadema sasa kupitia mitandao mbalimbali ya kijamii wanakiri na kufurahia hujuma dhidi ya Taifa lakini Mungu ni Mkuu kwani mambo yanasonga.

Ni kama wamevagawa na mapepo sasa wanakiri hujuma zao dhidi ya Taifa hadharani bila kujua kwamba wanajenga taswira hasi dhidi yao wenyewe kwani siasa zinahitaji akiba ya maneno.

Sifa yao kuu hawa viumbe wa ufipa ni kusahau haraka kuliko kuku, hatahivyo kila uchwao kundi hilo ovu dhidi ya nchi linapungukiwa watu makini ambao wanaungana na Watanzania kuijenga nchi.
9502ea637393de3f57bc48f648dd9ac2.jpg
 
Nyie ma ccm fanyeni mzaha tuu,YONO mnao wapa kazi ya kunadi mali za Lugumi,watapewa kazi na Canada ya kunadi hicho kidege chenu,shauri yenu
 
Sasa ni dhahiri Chadema ni chama kilichoshindwa kufanya siasa na kugeuka sumu. Wafuasi wengi wa Chadema sasa kupitia mitandao mbalimbali ya kijamii wanakiri na kufurahia hujuma dhidi ya Taifa lakini Mungu ni Mkuu kwani mambo yanasonga.

Ni kama wamevagawa na mapepo sasa wanakiri hujuma zao dhidi ya Taifa hadharani bila kujua kwamba wanajenga taswira hasi dhidi yao wenyewe kwani siasa zinahitaji akiba ya maneno.

Sifa yao kuu hawa viumbe wa ufipa ni kusahau haraka kuliko kuku, hatahivyo kila uchwao kundi hilo ovu dhidi ya nchi linapungukiwa watu makini ambao wanaungana na Watanzania kuijenga nchi.
Dawa ya deni ni kulipa lipeni madeni
 
Back
Top Bottom