CHADEMA wanachukia sana nchi inaposonga mbele

Wakudadavuwa

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2016
Posts
17,505
Reaction score
16,005
Sasa ni dhahiri Chadema ni chama kilichoshindwa kufanya siasa na kugeuka sumu. Wafuasi wengi wa Chadema sasa kupitia mitandao mbalimbali ya kijamii wanakiri na kufurahia hujuma dhidi ya Taifa lakini Mungu ni Mkuu kwani mambo yanasonga.

Ni kama wamevagawa na mapepo sasa wanakiri hujuma zao dhidi ya Taifa hadharani bila kujua kwamba wanajenga taswira hasi dhidi yao wenyewe kwani siasa zinahitaji akiba ya maneno.

Sifa yao kuu hawa viumbe wa ufipa ni kusahau haraka kuliko kuku, hatahivyo kila uchwao kundi hilo ovu dhidi ya nchi linapungukiwa watu makini ambao wanaungana na Watanzania kuijenga nchi.
 
Acha kelele, acha kelele, LIPA DENI, LIPA MADENI, LIPA MADENI, ACHA POROJO PLEASE
 
Sasa ni dhahiri Chadema ni chama kilichoshindwa kufanya siasa na kugeuka sumu. Wafuasi wengi wa Chadema sasa kupitia mitandao mbalimbali ya kijamii wanakiri na kufurahia hujuma dhidi ya Taifa lakini Mungu ni Mkuu kwani mambo yanasonga.

Ni kama wamevagawa na mapepo sasa wanakiri hujuma zao dhidi ya Taifa hadharani bila kujua kwamba wanajenga taswira hasi dhidi yao wenyewe kwani siasa zinahitaji akiba ya maneno.

Sifa yao kuu hawa viumbe wa ufipa ni kusahau haraka kuliko kuku, hatahivyo kila uchwao kundi hilo ovu dhidi ya nchi linapungukiwa watu makini ambao wanaungana na Watanzania kuijenga nchi.
kama kuna hujuma katika maendeleo ya nchi hii,ni sisi wenyewe tumejihujumu kupitia ccm.usisingizie chadema as if ndiyo waliisaini mikataba.chadema ni wakupongezwa,maana wao wamekuwa washauri tangu zamani hatawakawa wanataka hiyo mikataba iwe wazi.ni ccm ndiyo wamekuwa wakifanya siri kwa manufaa yao binafsi.ukiwalaumu chadema ndugu yangu unatenda dhambi ya uongo.ccm ndiyo wakulaumiwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa mwanaccm hapo ndio kajikunja na kusugua kichwa hatimaye kufikilia kuanzisha thread kama hii. Hapo ametumia zaid ya asilimia 95 ya akili yake. Hongera sana.
 
Sasa ni dhahiri Chadema ni chama kilichoshindwa kufanya siasa na kugeuka sumu. Wafuasi wengi wa Chadema sasa kupitia mitandao mbalimbali ya kijamii wanakiri na kufurahia hujuma dhidi ya Taifa lakini Mungu ni Mkuu kwani mambo yanasonga.

Ni kama wamevagawa na mapepo sasa wanakiri hujuma zao dhidi ya Taifa hadharani bila kujua kwamba wanajenga taswira hasi dhidi yao wenyewe kwani siasa zinahitaji akiba ya maneno.

Sifa yao kuu hawa viumbe wa ufipa ni kusahau haraka kuliko kuku, hatahivyo kila uchwao kundi hilo ovu dhidi ya nchi linapungukiwa watu makini ambao wanaungana na Watanzania kuijenga nchi.
Lipeni madeni ya watu, msitafute huruma za kijinga na kinafiki

Katika hili mtajikamyaga sana CCM, Lissu Yuko sahihi. Acheni kutumia wanasheria uchwara wanaligharimu taifa. Kisha kalipeni deni haraka. Mnalialia nini? After all watanzania tuliochoka kiuchumi hivi ndege sio mambo yetu kabisa. Acha walichukue tu kama mmeshindwa kulipa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
dawa ya deni ni kulipa no propaganda kwa wazungu mnabaki nyie watu weusi mna shida sana sasa unalalamika nini wakati kweli unadaiwa?toa solution serikali ifanye nini?sio unaleta uccm wako humu kwa magreater thinker

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa ni dhahiri Chadema ni chama kilichoshindwa kufanya siasa na kugeuka sumu. Wafuasi wengi wa Chadema sasa kupitia mitandao mbalimbali ya kijamii wanakiri na kufurahia hujuma dhidi ya Taifa lakini Mungu ni Mkuu kwani mambo yanasonga.

Ni kama wamevagawa na mapepo sasa wanakiri hujuma zao dhidi ya Taifa hadharani bila kujua kwamba wanajenga taswira hasi dhidi yao wenyewe kwani siasa zinahitaji akiba ya maneno.

Sifa yao kuu hawa viumbe wa ufipa ni kusahau haraka kuliko kuku, hatahivyo kila uchwao kundi hilo ovu dhidi ya nchi linapungukiwa watu makini ambao wanaungana na Watanzania kuijenga nchi.
CCM mnachekesha sana.
 
CDM Mnasinikitisha sana kwa hoja nyepesi za kudandia....juzi kati kuna nyumbu mmoja hoja hana anaishia kuniambia 'lipa deni lipa deni' wakat yeye apo halipo ana madeni chungu mbovu....by the way hili ni deni la kwanza kwa Tanzania kudaiwa?.... mbona tuna matrilion nje tunadaiwa...how is it a big deal?....ebu tuache cheap politics tufanye kaz
 
CC
Wakudadavuliwa:-
Hoja yako imekaa kichonganishi kama ya shankupe la kitaa ambalo linaumizwa na mambo ya wanaojitambua!
Hata ujipendekezeje, bado unakosa sifa za kuwaongoza wanaojitambua hasa watanzania wa leo.
Kuiba muibe ninyi kwa njaa zenu zisizotulia leo cdm wakiwaambia acheni wizi mnawageuza maadui wa taifa!
Nitajie mwanacdm mmoja tu aliyehusika kusaini hii mikataba ya ajabu yenye kuifilisi nchi. Mshukuruni Mungu kwa staha tuliyonayo vinginevyo ungekuwa umejificha chooni kwa aibu hii uliyoiweka hapa! Lipeni madeni.
 
Back
Top Bottom