CHADEMA wanaandamana upinga ushindi wa Makongoro

kama kweli nawapongeza kwa mara ya kwanza mana watu wa dar mmezubaa sana kwenye demokrasia
 
Mbona hamkupinga wala CCM hawakupinga Hukumu ya Tundu Lisu Singida Mashariki, na kule Katavi na Kagera? Achani ushabiki mahakama zetu zipo huru hazifanyi kazi kwa jazba. Kumbe nyie lengo lenu ni vurugu za kuvunja amani. Sasa mtapambana na watunza amani ila msilalamike maana haya mnayatafuta kwa bei nafuu!!!!!!!!! Chadema power hungry!!!
 
Jamani watanzania mkoje sheria imeishachukua mkondo wake,angalia msipigwe mabomu maana hayo maandamano si halali
 
Nipo na makamanda wezangu tunaelekea makaomakuu yc cdm

Hizo mahakama Jamani zina wataalam mbona mnataka kuwa waendesha Mashtaka kwani kesi zote za cdm lazima washinde tuwe wastaarabu Mnyonge Mnyongeni haki yake Mpeni.
 
Mikoa yote yenye gahawa, kashata, juice ya tende na wazee wa misuli washindao vibarazani iko nyuma kimabadiliko. Shame on you Tanga, Pwani, Lindi, Mtwara, Dsm and others who are in love with Magamba.

Yan we Mouddymtoi umenichekesha sana bana! huogopi uchawi weye eeh! Shauri yako, ukweli unauma bana!Utawaona sasa hivi wanakushambulia, kwa mizinga yao ya kienyeji
 
Mikoa yote yenye gahawa, kashata, juice ya tende na wazee wa misuli washindao vibarazani iko nyuma kimabadiliko. Shame on you Tanga, Pwani, Lindi, Mtwara, Dsm and others who are in love with Magamba.

asante kwa kujionyesha jinsi gani ulivyo na ubaguzi wa kikanda na mikoa,lakini kumbuka ni mungu aliyetupangia kuzaliwa huku na wala HATUJUTI-TUNAMSHUKURU MOLA!maana si vyote vingaavyo ni dhahabu,kwa hiyo kama hiyo mikoa ambayo hukuitaja ndo unaiona iko poa,endelea,lakini pamoja na kutudhihaki,bado unakaa ktk nchi ambayo rais ni wa mikoa hiyohiyo,si uhame basi!
 
Hovyo kabisa.. Chadema ikishinda hukumu MAHAKAMA IMETENDA HAKI...... ikishindwa Kelele,,

Sasa nyinyi wanasiasa gani!???? au wapiga makelele tu
 
acheni ushabiki nyie, kila kitu maandamano?? mpaka tutayazoea sasa..kama vile hamjaenda shule bwana..jaji kutoa hukumu infavour of chadema ndio kutenda haki?? yaani mnategemea jibu moja tu inregardless ya facts?? sheria haiko hivyo ndugu zanguni, jaribuni kujitambua kwanza mnataka kufanya nini na kwa njia gani..mambo hayako hivyo bwana..

Yaani afadhali umeisaidia jamaa hawa wanakera sana wanasababisha chama kinaonekana cha kihuni kila siku maandamano sijui wanataka nini?wakipigwa na watunza amani wanaanza kulalamikia serikali wakati wao ndo waanzishaji wa fujo.hivi kweli jamani viongozi wa chadema ni wa safi kiasi hicho kinachowapa jeuri wafuasi wao? I wish siku moja nayafahamu uozo wao auweke hadharani.
 
Mikoa yote yenye gahawa, kashata, juice ya tende na wazee wa misuli washindao vibarazani iko nyuma kimabadiliko. Shame on you Tanga, Pwani, Lindi, Mtwara, Dsm and others who are in love with Magamba.
Mikoa yote ya wapenda ulevi wa pombe na kula nyamafu imejaa mafisadi na watu wanairudisha nyuma nchi kwa wizi na tamaa ! Shame on you !!
 
acheni ushabiki nyie, kila kitu maandamano?? mpaka tutayazoea sasa..kama vile hamjaenda shule bwana..jaji kutoa hukumu infavour of chadema ndio kutenda haki?? yaani mnategemea jibu moja tu inregardless ya facts?? sheria haiko hivyo ndugu zanguni, jaribuni kujitambua kwanza mnataka kufanya nini na kwa njia gani..mambo hayako hivyo bwana..

Coward!!!! Kwa hiyo mtu akiibiwa hata mchana kweupe anyamaze tu hata kelele asipige? acha uwenda ulimbukeni wa kiCCM mkuu
 
Nina wasiwasi na timu ya Mpendazoe kweenye kesi hii... Haikujipanga vizuri..

Mkuu kesi ya mbuzi ikishaingiliwa na mfalme wa mbwa mwitu haina cha timu ya mbuzi kujipanga vizuri wala nini ni uonevu kwenda mbele
 
Katika nchi hii mhimili unaoonekana kufanya kazi walau kwa kuridhisha kidogo ni BUNGE, hii mingine inaelekea iinafanya kazi kwa maslahi ya watu wachache
Unajua ni kwanini, Ni kwasababu kuna upinzani na watanzania wengi wanafatilia....
 
Jamani watanzania mkoje sheria imeishachukua mkondo wake,angalia msipigwe mabomu maana hayo maandamano si halali

Ila kumbuka kiendachi juu hurudi chini, Chadema itakapochukua nchi, sheria hizo hizo zitachukua mkondo wake, tamu sana hiyo au unasemaje?
 
acheni ushabiki nyie, kila kitu maandamano?? mpaka tutayazoea sasa..kama vile hamjaenda shule bwana..jaji kutoa hukumu infavour of chadema ndio kutenda haki?? yaani mnategemea jibu moja tu inregardless ya facts?? sheria haiko hivyo ndugu zanguni, jaribuni kujitambua kwanza mnataka kufanya nini na kwa njia gani..mambo hayako hivyo bwana..

Kwani umesikiliza kesi hiyo na maelezo yake japo kidogo???? ingekuwa nafuu sehemu zingine zote ccm wakashinda lakini sio ile hali ya segerea, mtu kushikwa na masanduku yamefunguliwa, Returning officer kusema aliagizwa atangaze matokeo kabla ya saa 8 mchana, hivyo kutangaza kabla ya kumaliza kujumlisha, mtu mmoja kushikwa na mihuri ya tume eneo la kuhesabia kura, karatasi rasmi za kuandikia matokeo kutotumika/kukosekana na hivyo matokeo kuandikwa kwenye karatasi za kawaida/may be kuchana kwenye daftari la shule.

Kama ni muungwana na akili yako haiko tumboni au akili yako haiko kwenye masaburi yako, ungeuona ukweli japo kwa siku moja
 
Back
Top Bottom