CHADEMA wamtelekeza mgombea Ubunge wao Chalinze

Iringa mbona chopa iliruka aligombea mchaga?

Pale Iringa Mchaga kupenya ingelikuwa vigumu lakini hapa Pwani wachaga Wamezagaa Kama mchanga ,lakini watakuwa waliogopa kuweka mchaga Maana angechukua chake mapema kisha kuwazuga na kampeni Feki kisha kuzuga anapingana na matokeo ya uchaguzi.
 
Wameathiliwa na kichapo cha kalenga walidhania chadema ni ile ya zamani ikiwa na mwanasiasa bora zzk kumbe imebaki ya wahuni na wananchi wamewaumbua.

Laana ya Chadema imetokea kwa Chacha wangwe Mzimu wake Upo pale makao makuu ukimlilia mbowe, baada ya Kupiga marufuku wanachadema kumkumbuka chacha wangwe kwa lolote lile .
 
R.I.P chacha wangwe Tokea Afariki Hakuna kiongozi wa Chadema amewahi kumkumbuka hata kwa Sala ya dk 1 tu . Wanamwogopa Mbowe Maana alimchukia sana Chacha wangwe Enzi ya Uhai wake. Sasa amewalaani chaguzi zote wataangukia pua.
 
Wewe ni funza kweli na akili zako zinasadifu hilo
 
walitegemea tutahamia chalinze wote tuwaachie katiba...
Ina maana walipoenda Kalenga walimwachia nani Katiba kama thread hii inavyosema,
Kalenga...

Jana wabunge wawili, Godbless Lema (Arusha Mjini) na Mchungaji Peter Msigwa (Iringa Mjini), walitua kwa chopa jimboni humo tayari kuungana na timu ya kampeni huku viongozi wengine wa chama hicho wakitarajiwa kuanza kuwasili leo.

Ikumbukwe Mwamba G Lema anarekodi za kuisambaratisha ccm pamoja na ccm kutumia viongozi wake wa juu na nguvu kubwa za fedha katika Chaguzi ila kwa Mwamba G Lema ccm wamekuwa katika wakati mgumu sana.

Tetesi zilizozagaa hapa Kalenga ni kwamba wanachama wa ccm wanahofia Nguvu kubwa hii iliyowasili licha ya timu iliyotangulia ya vijana wa BAVICHA bado kuwapeleka mpela mpela ccm (kuzidiwa hoja) na ujio wa Mwamba wa Kaskazini na Kamanda Msigwa umezidi kuwatia hofu ccm kuzamishwa katika uchaguzi .

Ikubukwe kwamba Makamanda hawa wanaushawishi mkubwa na kujenga hoja zenye mashiko pindi wanaposhambulia jukwaa bila kusahau ulinzi shirikishi katika zoezi la upigaji wa Kura.
1966794_481828895252543_324131251_n.jpg

Kwa wajuvi wa maswala ya mapambano wanafahamu kipigo walichokipata Kalenga bado kinawafanya waweweseke kisiasa.

Hata ndiyo matatizo ya kuingia ulingoni bila hata kufahamu mazingira ya mapambano.

Tunawaomba wamiliki wa CHADEMA wasimtelekeze huyu mama baada ya kumtumia kwa sababu walitegemea angewaongezea pesa kwenye miguko yao kwa njia ya ruzuku za vyama kutoka Hazina ya Taifa.
 
R.I.P chacha wangwe Tokea Afariki Hakuna kiongozi wa Chadema amewahi kumkumbuka hata kwa Sala ya dk 1 tu . Wanamwogopa Mbowe Maana alimchukia sana Chacha wangwe Enzi ya Uhai wake. Sasa amewalaani chaguzi zote wataangukia pua.

Sokoine? Kolimba? Kombe? Walikumbukwa lini na nyie inzi wa kijani!
 
Kwani wewe ninani mpaka upewe malalamiko? je malalamiko ya Riz kukataa kuwahutubia wananchi kisa juwa nayo umeyapata? kama umeyapata umemwambia nani? otherwise wewe ni mchumia tumbo tu!
 
Zikiwa zimebakia siku zisizozidi sita wananchi wa Chalinze kupiga kura kuchagua mbunge wao, ni dhahiri kuwa Viongozi wa juu wa Chadema wamemtelekeza mgombea Ubunge kwa tiketi ya Chadema jimboni humo Bw. Mathayo.

Mwananchi mmoja akilalamikia hili anasema, "..tulidhani Chadema ni Chama ya ukombozi, tukadhani maneno ya kuwa kinabagua na kutoa upendeleo kwa wachaga tu ni propaganda za CCM kumbe kweli bwana! Hivi huyu bwana angekuwa mchaga wasingeleta CHOPA hapa?,huku ni kumtelekeza Mathayo kisa sio mchaga!" Alilalamika kijana wa kimasai wa Chalinze mjini.

Monday, March 31, 2014

Mathayo Mang'unda Torongey awakuna wanaChalinze

Ally Bananga, mgombea wa Chadema Mathayo torongey na
viogozi wengine wakiwa katika kampeni Jimbo la Chalinze.

Mgombea nafasi ya Ubunge Jimbo la Chalinze kupitia Chama Cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA ndugu Mathayo Mang'unda Torongey akiendelea na mikutano ya Kampeni Jimboni Chalinze, Ijumaa Machi 28, 2014,

c.c
mahakama ya kazi

c.c Ritz

Mbowe mbona kakimbia Chalinze, wapi Mohamedi Mtoi wapi Mwita Maranya wapi Ben Saanane wapi Yericko Nyerere wapi Mzito Kabwela wapi Mag3 wa Mungi Tumaini Makene wapi Matola wapi Godbless J Lema wapi Joshua Nassari wapi Tundu Lissu wapiDr.W.Slaa wapi Josephine
at 10:25 AM

Ina maana walipoenda Kalenga walimwachia nani Katiba kama thread hii inavyosema,

1966794_481828895252543_324131251_n.jpg

Kwa wajuvi wa maswala ya mapambano wanafahamu kipigo walichokipata Kalenga bado kinawafanya waweweseke kisiasa.

Hata ndiyo matatizo ya kuingia ulingoni bila hata kufahamu mazingira ya mapambano.

Tunawaomba wamiliki wa CHADEMA wasimtelekeze huyu mama baada ya kumtumia kwa sababu walitegemea angewaongezea pesa kwenye miguko yao kwa njia ya ruzuku za vyama kutoka Hazina ya Taifa.

Mkuu MwanaDiwani , usiwe unakumbushia kumbushia mambo ambayo yalikwisha kupita, Sio vizuri!
 
Last edited by a moderator:
Zikiwa zimebakia siku zisizozidi sita wananchi wa Chalinze kupiga kura kuchagua mbunge wao, ni dhahiri kuwa Viongozi wa juu wa Chadema wamemtelekeza mgombea Ubunge kwa tiketi ya Chadema jimboni humo Bw. Mathayo.

Mwananchi mmoja akilalamikia hili anasema, "..tulidhani Chadema ni Chama ya ukombozi, tukadhani maneno ya kuwa kinabagua na kutoa upendeleo kwa wachaga tu ni propaganda za CCM kumbe kweli bwana! Hivi huyu bwana angekuwa mchaga wasingeleta CHOPA hapa?,huku ni kumtelekeza Mathayo kisa sio mchaga!" Alilalamika kijana wa kimasai wa Chalinze mjini.

mleta mada ni msen.e kwani Tendega mchaga? kakazwe mbele
 
்Ndugu zangu watanzanIanIa wenzangu mie mwenzenua nasema kinaga ubaga kwamba chadomo nine Chapman chenye nia mbaya na umoja na mshikamano wetu. hii ni Saccos ya wajanja wachache tusiwaamini kabisa maana wanataka kututumia ili waweze kupata dola kwa maslahi yao binafsi angalieni libya na mataifa mengine wanavyoteseka. Tusidanganyike kabisaaaaaaaaaaaaaa
 
Zikiwa zimebakia siku zisizozidi sita wananchi wa Chalinze kupiga kura kuchagua mbunge wao, ni dhahiri kuwa Viongozi wa juu wa Chadema wamemtelekeza mgombea Ubunge kwa tiketi ya Chadema jimboni humo Bw. Mathayo.

Mwananchi mmoja akilalamikia hili anasema, "..tulidhani Chadema ni Chama ya ukombozi, tukadhani maneno ya kuwa kinabagua na kutoa upendeleo kwa wachaga tu ni propaganda za CCM kumbe kweli bwana! Hivi huyu bwana angekuwa mchaga wasingeleta CHOPA hapa?,huku ni kumtelekeza Mathayo kisa sio mchaga!" Alilalamika kijana wa kimasai wa Chalinze mjini.
Zikiwa zimebakia siku zisizozidi sita wananchi wa Chalinze kupiga kura kuchagua mbunge wao, ni dhahiri kuwa Viongozi wa juu wa Chadema wamemtelekeza mgombea Ubunge kwa tiketi ya Chadema jimboni humo Bw. Mathayo.

Mwananchi mmoja akilalamikia hili anasema, "..tulidhani Chadema ni Chama ya ukombozi, tukadhani maneno ya kuwa kinabagua na kutoa upendeleo kwa wachaga tu ni propaganda za CCM kumbe kweli bwana! Hivi huyu bwana angekuwa mchaga wasingeleta CHOPA hapa?,huku ni kumtelekeza Mathayo kisa sio mchaga!" Alilalamika kijana wa kimasai wa Chalinze mjini.
security guard, una ID nyingi wewe!!!
 
Back
Top Bottom