CHADEMA wamtelekeza mgombea Ubunge wao Chalinze

ACHEBE

JF-Expert Member
Joined
Mar 14, 2008
Posts
348
Reaction score
76
Zikiwa zimebakia siku zisizozidi sita wananchi wa Chalinze kupiga kura kuchagua mbunge wao, ni dhahiri kuwa Viongozi wa juu wa Chadema wamemtelekeza mgombea Ubunge kwa tiketi ya Chadema jimboni humo Bw. Mathayo.

Mwananchi mmoja akilalamikia hili anasema, "..tulidhani Chadema ni Chama ya ukombozi, tukadhani maneno ya kuwa kinabagua na kutoa upendeleo kwa wachaga tu ni propaganda za CCM kumbe kweli bwana! Hivi huyu bwana angekuwa mchaga wasingeleta CHOPA hapa?,huku ni kumtelekeza Mathayo kisa sio mchaga!" Alilalamika kijana wa kimasai wa Chalinze mjini.
 
mleta mada unafikiri kwa kwa kutumia ma
ka.li.o!
 
Hapo ndo utaona sio hekima kwa rais na familia yake ya karibu kugombea nafasi zingnine wakati rais bado yuko madarakani, sio kosa la CDM ni kosa la rais na CCM kufanya mambo kama kwamba hawana vichwa au vichwa vyao ni nazi
 
Iringa mbona chopa iliruka aligombea mchaga?
 
Hampati kitu mna bai tym tu ccm maji marefu bado mnafikiria sindano za kalenga jimbo tumesha chukua ccm oye,

cc nape
cc komrade kinana
cc mwiguru
 
, tutalinda kura na chopa, tutazunguka vituo vyote kuhakikisha KURA HAZIIBIWA NA MACCM,
 
Njaa bwana unaweza kwenda kwa wakwe ukiwa mtupu.....!kwa hiyo ume narrow toka ukaskazini hadi uchaga ....kiazi mkubwa wewe
 
Alokubali kugombea ndio kajitelekeza!!!!!

Alitegemea nini? ??!!!Yaani kabisa alitegemea hao viongozi wake wanaoenda Ikulu kwa mazungumzo ya kazi zao leo watie mchanga kitumbua cha swahiba wao????!!!!

Na hata wakienda kupiga kicks of the dying donkey basi ni kwa jina la kutimiza wajibu tu!!!!

Vijana mnapenda madaraka sana tatizo hapo mwenye akili asingetia mguu asilani au kwa sasa naye atangaze kuunga mkono mwenye nguvu!!!!!

Demokrasia nchi hii bado sana!!!!
 
Si kwel, hata hapa sasa hiv namuona makamu mwenyekiti wa chadema taifa anahutubia wakazi wa chalinze
 
Miguu juu,, waache siasa za uwanaharakati kwanza, vinginevyo ndio wanapotea hivyo.
 
Wameathiliwa na kichapo cha kalenga walidhania chadema ni ile ya zamani ikiwa na mwanasiasa bora zzk kumbe imebaki ya wahuni na wananchi wamewaumbua.
 
Zikiwa zimebakia siku zisizozidi sita wananchi wa Chalinze kupiga kura kuchagua mbunge wao, ni dhahiri kuwa Viongozi wa juu wa Chadema wamemtelekeza mgombea Ubunge kwa tiketi ya Chadema jimboni humo Bw. Mathayo.

Mwananchi mmoja akilalamikia hili anasema, "..tulidhani Chadema ni Chama ya ukombozi, tukadhani maneno ya kuwa kinabagua na kutoa upendeleo kwa wachaga tu ni propaganda za CCM kumbe kweli bwana! Hivi huyu bwana angekuwa mchaga wasingeleta CHOPA hapa?,huku ni kumtelekeza Mathayo kisa sio mchaga!" Alilalamika kijana wa kimasai wa Chalinze mjini.
 
Zikiwa zimebakia siku zisizozidi sita wananchi wa Chalinze kupiga kura kuchagua mbunge wao, ni dhahiri kuwa Viongozi wa juu wa Chadema wamemtelekeza mgombea Ubunge kwa tiketi ya Chadema jimboni humo Bw. Mathayo.

Mwananchi mmoja akilalamikia hili anasema, "..tulidhani Chadema ni Chama ya ukombozi, tukadhani maneno ya kuwa kinabagua na kutoa upendeleo kwa wachaga tu ni propaganda za CCM kumbe kweli bwana! Hivi huyu bwana angekuwa mchaga wasingeleta CHOPA hapa?,huku ni kumtelekeza Mathayo kisa sio mchaga!" Alilalamika kijana wa kimasai wa Chalinze mjini.

Mod, msiunganishe hii thread na zingine, tuijadili ili kuiponya CDM na demokrasia ya nchi yetu!

kalenga walimleta mzee wa mombasa, charinze wanamleta wenje domo zege na sugu
 
MWikwabe na SAID MOHAMED wanachimba mihogo MBWEWE? PROPAGANDA MBAYA...CHOPA ingetumika ingekuwa kilio ohh matumizi mabaya,Cdm IMEWAKALIA VIBAYA.
 
Back
Top Bottom