CHADEMA wamtelekeza mgombea Ubunge wao Chalinze

MWikwabe na SAID MOHAMED wanachimba mihogo MBWEWE? PROPAGANDA MBAYA...CHOPA ingetumika ingekuwa kilio ohh matumizi mabaya,Cdm IMEWAKALIA VIBAYA.

walitegemea tutahamia chalinze wote tuwaachie katiba...
 
Mi nadhani sametimes muache majungu, hivi kalenga alikuwa ni mchaga? Acheni ujinga... Chalinze huwezi fananisha na kalenga...

Chalinze ni jimbo dogo ambalo linapitika kwa barabara vizuri...

Ni mtu -------- pekee anaewaza ukabila...
 
Zikiwa zimebakia siku zisizozidi sita wananchi wa Chalinze kupiga kura kuchagua mbunge wao, ni dhahiri kuwa Viongozi wa juu wa Chadema wamemtelekeza mgombea Ubunge kwa tiketi ya Chadema jimboni humo Bw. Mathayo.

Mwananchi mmoja akilalamikia hili anasema, "..tulidhani Chadema ni Chama ya ukombozi, tukadhani maneno ya kuwa kinabagua na kutoa upendeleo kwa wachaga tu ni propaganda za CCM kumbe kweli bwana! Hivi huyu bwana angekuwa mchaga wasingeleta CHOPA hapa?,huku ni kumtelekeza Mathayo kisa sio mchaga!" Alilalamika kijana wa kimasai wa Chalinze mjini.

Huu ni upuuzi mtupu mtupu.Chama kina mikakati mingi ya kisiasa.Chopa ni means of transport tu.Hivi Kalenga aligombea Mchaga?Tarime na Igunga waligombea wachaga?Busanda,Kiteto na Arumeru Mashariki waligombea wachaga?

Sasa hivi gari za M4C zipo kwenye Kata vijijini na hapa nimekaa na Mgombea anashangazwa sana na habari hii ya kijinga kabisa

CCM wakishaona hali ni ngumu kwao wanatunga uongo na kufoji hadi misiba.

Katibu Mkuu alifungua Kampeni,sasa hivi tupo na Makamu Mwenyekiti Wa Chama Taifa na makamanda wengine ambao ni viongozi mbalimbali .Wabunge wengine kuanzia kesho watatua Chalinze kuendeleza mapambano haya

No way,Lazima CCM wadhalilike safari hii maana muda wa kutapeli wananchi umekwisha sasa.
 
Yani kuna vijitu vingine ingelikuwa yupo karibu yangu anapoandika huu upuuzii ni kofi tu ningempa ili ajitambue upuuzii mtupu!
 
Mleta mada atakuwa anagegeduliwa vibaya....
 
Mi cjui kama member wengine wanatumika vipi humu!

Buku 7 at work! Pole sana ACHEBE
 
Last edited by a moderator:
Kampeni zetu zinakwenda vizuri sana na CCM wanazidi kuingiwa hofu...

Sisi twasonga mbele huku. Leo mashambulizi nyumbani kwa mkulu penyewe kabisa. Jana tumeambiwa kitu pekee alichowafanyia JK miaka yake yote nyumbani kwao yaani maeneo ya Lugoba na Msoga ni kuwajengea nyumba au hall ya kuchezea ngoma. Kwa hiyo Wakwere wote wa Chalinze na Bagamoyo kila wanapokuwa na ngoma kuwacheza watoto wao au kuwatoa wali au unyago au kitchen party wanakwenda pale kufanya sherehe yao bure. That is the biggest issue watu wa Chalinze hususan wanaoishi maeneo ya Lugoba na Msoga, could be proud of Kikwete meanwhile no water no roads.

Ingawa pia kuna manung'iniko kuwa si watu wote wanaweza kutumia nyumba hiyo isipokuwa pale Familia au ukoo wa Kikwete unapokuwa na ngoma.

Kama Chalinze kusingekuwa na hizi barabara kuu zinazopita kwenda Mbeya, Mwanza na Arusha kutokea Dar es Salaam, hakuna barabara nyingine.

Jana tulikuwa na vikao very successful ku consolidate one of the block votes zetu hapa.

Comrades hamuwezi kuamini...CCM wanayo hofu kabisa ya kuweza kushindwa.

Juzi Riz yeye mwenyewe kaongoza kikosi cha Green Guard kushambulia watu wetu pale Kilemela, Kata ya Mandela...kisa eti wameweka bendera na mabango ya CHADEMA. Walioandama naye kufanya huo uhuni walikamatwa na polisi usiku wa kuamukia jana. Lakini Rizmoko hakukamatwa.

Mkutano wa jana Chalinze mjini umewashtua CCM.

Walikuwa wanauliza kwa nini tunafanya sana silent campaign? Tumewezaje kuwafanya wananchi wa Chalinze jana wakavumilia kunyeshewa mvua wakisikiliza mkutano wa mkutano wa CHADEMA bila kuondoka. Wanasema ule ujasiri wa Arusha au maeneo mengine tumeuhamishia Chalinze?

Jana tumepata briefing kutoka vyanzo vya uhakika kuwa kazi iliyofanywa na akina Ole Sendeka na Lekule Leizer haijafanikiwa kuwabadili Wamasai pamoja kuwatisha kwamba eti wanaishi Chalinze kwa hisani na kudra za CCM hivyo wasipopiga kura CCM, watafukuzwa maeneo yao. Imeshindikana.

Wameanza kuwaomba viongozi wa dini ambao ni Wamasai waje kushawishi Wamasai. Viongozi hao wamegoma. Wamesema hawawezi kushushwa kwenye level ya kuagizwa kumwombea kura kijana yule... kuombea kura CCM wakati nuru na giza ya ufisadi havipatani...Lila na Fila havitangamani. Wamesema.
 
Attachments

  • 1396288486411.jpg
    1396288486411.jpg
    102.7 KB · Views: 122
  • 1396288527807.jpg
    1396288527807.jpg
    105.7 KB · Views: 119
Zikiwa zimebakia siku zisizozidi sita wananchi wa Chalinze kupiga kura kuchagua mbunge wao, ni dhahiri kuwa Viongozi wa juu wa Chadema wamemtelekeza mgombea Ubunge kwa tiketi ya Chadema jimboni humo Bw. Mathayo.

Mwananchi mmoja akilalamikia hili anasema, "..tulidhani Chadema ni Chama ya ukombozi, tukadhani maneno ya kuwa kinabagua na kutoa upendeleo kwa wachaga tu ni propaganda za CCM kumbe kweli bwana! Hivi huyu bwana angekuwa mchaga wasingeleta CHOPA hapa?,huku ni kumtelekeza Mathayo kisa sio mchaga!" Alilalamika kijana wa kimasai wa Chalinze mjini.

Mwenezi acha unafiki.!
 
Kampeni zetu zinakwenda vizuri sana na CCM wanazidi kuingiwa hofu...

Sisi twasonga mbele huku. Leo mashambulizi nyumbani kwa mkulu penyewe kabisa. Jana tumeambiwa kitu pekee alichowafanyia JK miaka yake yote nyumbani kwao yaani maeneo ya Lugoba na Msoga ni kuwajengea nyumba au hall ya kuchezea ngoma. Kwa hiyo Wakwere wote wa Chalinze na Bagamoyo kila wanapokuwa na ngoma kuwacheza watoto wao au kuwatoa wali au unyago au kitchen party wanakwenda pale kufanya sherehe yao bure. That is the biggest issue watu wa Chalinze hususan wanaoishi maeneo ya Lugoba na Msoga, could be proud of Kikwete meanwhile no water no roads.

Ingawa pia kuna manung'iniko kuwa si watu wote wanaweza kutumia nyumba hiyo isipokuwa pale Familia au ukoo wa Kikwete unapokuwa na ngoma.

Kama Chalinze kusingekuwa na hizi barabara kuu zinazopita kwenda Mbeya, Mwanza na Arusha kutokea Dar es Salaam, hakuna barabara nyingine.

Jana tulikuwa na vikao very successful ku consolidate one of the block votes zetu hapa.

Comrades hamuwezi kuamini...CCM wanayo hofu kabisa ya kuweza kushindwa.

Juzi Riz yeye mwenyewe kaongoza kikosi cha Green Guard kushambulia watu wetu pale Kilemela, Kata ya Mandela...kisa eti wameweka bendera na mabango ya CHADEMA. Walioandama naye kufanya huo uhuni walikamatwa na polisi usiku wa kuamukia jana. Lakini Rizmoko hakukamatwa.

Mkutano wa jana Chalinze mjini umewashtua CCM.

Walikuwa wanauliza kwa nini tunafanya sana silent campaign? Tumewezaje kuwafanya wananchi wa Chalinze jana wakavumilia kunyeshewa mvua wakisikiliza mkutano wa mkutano wa CHADEMA bila kuondoka. Wanasema ule ujasiri wa Arusha au maeneo mengine tumeuhamishia Chalinze?

Jana tumepata briefing kutoka vyanzo vya uhakika kuwa kazi iliyofanywa na akina Ole Sendeka na Lekule Leizer haijafanikiwa kuwabadili Wamasai pamoja kuwatisha kwamba eti wanaishi Chalinze kwa hisani na kudra za CCM hivyo wasipopiga kura CCM, watafukuzwa maeneo yao. Imeshindikana.

Wameanza kuwaomba viongozi wa dini ambao ni Wamasai waje kushawishi Wamasai. Viongozi hao wamegoma. Wamesema hawawezi kushushwa kwenye level ya kuagizwa kumwombea kura kijana yule... kuombea kura CCM wakati nuru na giza ya ufisadi havipatani...Lila na Fila havitangamani. Wamesema.

mfa maji hakosi tapatapa.
 
Huu ni upuuzi mtupu mtupu.Chama kina mikakati mingi ya kisiasa.Chopa ni means of transport tu.Hivi Kalenga aligombea Mchaga?Tarime na Igunga waligombea wachaga?Busanda,Kiteto na Arumeru Mashariki waligombea wachaga?

Sasa hivi gari za M4C zipo kwenye Kata vijijini na hapa nimekaa na Mgombea anashangazwa sana na habari hii ya kijinga kabisa

CCM wakishaona hali ni ngumu kwao wanatunga uongo na kufoji hadi misiba.

Katibu Mkuu alifungua Kampeni,sasa hivi tupo na Makamu Mwenyekiti Wa Chama Taifa na makamanda wengine ambao ni viongozi mbalimbali .Wabunge wengine kuanzia kesho watatua Chalinze kuendeleza mapambano haya

No way,Lazima CCM wadhalilike safari hii maana muda wa kutapeli wananchi umekwisha sasa.

Duh! Washkaji mna roho ngumu kama Shetani! Maana shetani hafi kwa bunduki wala mishale lakini anakufa kwa mikemeo! Mtatandikwa hadi mkome agizieni mapema vijana toka Arusha na Moshi waje kulinda kura halafu wajiteke kama kawaida yenu!
 
CHADEMA wameanza kupata akili baada ya kupata hasara kubwa jimboni Kalenga.

Ni imani yangu hata kwenye chaguzi za mwaka 2015 watawekeza kaskazini tu maana ndiko wapo wapiga kura wao.
 
Huu ni upuuzi mtupu mtupu.Chama kina mikakati mingi ya kisiasa.Chopa ni means of transport tu.Hivi Kalenga aligombea Mchaga?Tarime na Igunga waligombea wachaga?Busanda,Kiteto na Arumeru Mashariki waligombea wachaga?

Sasa hivi gari za M4C zipo kwenye Kata vijijini na hapa nimekaa na Mgombea anashangazwa sana na habari hii ya kijinga kabisa

CCM wakishaona hali ni ngumu kwao wanatunga uongo na kufoji hadi misiba.

Katibu Mkuu alifungua Kampeni,sasa hivi tupo na Makamu Mwenyekiti Wa Chama Taifa na makamanda wengine ambao ni viongozi mbalimbali .Wabunge wengine kuanzia kesho watatua Chalinze kuendeleza mapambano haya

No way,Lazima CCM wadhalilike safari hii maana muda wa kutapeli wananchi umekwisha sasa.

mfuasi wa Lema wazee wa kugawa vocha za tigo. Mpoooooo. Mombasa moja ila kumbukeni pia ni rushwa
 
Nakula kiapo humu, kama CHADEMA ikipata hata asilimia 5 kwenye uchaguzi wa jimbo la Chalinze, basi natupa kadi yangu ya CCM na naamia rasmi CHADEMA.

Nitafanya hivyo maana nitaamini kweli CHADEMA kina ushawishi.
 
Huu ni upuuzi mtupu mtupu.Chama kina mikakati mingi ya kisiasa.Chopa ni means of transport tu.Hivi Kalenga aligombea Mchaga?Tarime na Igunga waligombea wachaga?Busanda,Kiteto na Arumeru Mashariki waligombea wachaga?

Sasa hivi gari za M4C zipo kwenye Kata vijijini na hapa nimekaa na Mgombea anashangazwa sana na habari hii ya kijinga kabisa

CCM wakishaona hali ni ngumu kwao wanatunga uongo na kufoji hadi misiba.

Katibu Mkuu alifungua Kampeni,sasa hivi tupo na Makamu Mwenyekiti Wa Chama Taifa na makamanda wengine ambao ni viongozi mbalimbali .Wabunge wengine kuanzia kesho watatua Chalinze kuendeleza mapambano haya

No way,Lazima CCM wadhalilike safari hii maana muda wa kutapeli wananchi umekwisha sasa.

Ben Saanane, Usisahau kutupa updates siku ya uchaguzi.
 
Last edited by a moderator:
Hapo ndo utaona sio hekima kwa rais na familia yake ya karibu kugombea nafasi zingnine wakati rais bado yuko madarakani, sio kosa la CDM ni kosa la rais na CCM kufanya mambo kama kwamba hawana vichwa au vichwa vyao ni nazi

Kwani rais amekataza chama kingine kisigombee ChaLinze??
 
Back
Top Bottom